CCM inawawashia taa nyekundu Ester Matiko na John Heche Tarime

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
IMG-20180525-WA0069.jpg

IMG-20180525-WA0065.jpg

IMG-20180525-WA0062.jpg


Huo ni umati wa Wana CCM. wakimlaki Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tarime, Comred Ngicho
 
kwenye huo umati uliza ni wananchi wangapi wenye vitambulisho vya kupiga kura. hutopata wananchi 50+
 
Upinzani utapoteza majimbo mengi sana, ukiachana na utambulisho wa kuwa wao ni wapinzani, wabunge wa upinzani hawajafanikiwa kuonesha utofauti wao ambao tungestahili kuuona.
 
Leteni porojo zoote mpendavyo lkn ccm bila kukubali tuwe na tume huru ya uchaguzi isiyobambikiwa watendaji/watumishi na serikali, uchaguzi wetu utaendelea kuwa "Uhuni" tu na hakuna mantiki kwa vyama vingine kukubali kushiriki chaguzi feki kama hizo.

Bila ya hilo kufanyika, ccm na viongozi wao wataendelea kuonekana tu kama "War Lords" wasiokuwa na "Lawful Mandate" ya kuongoza kwani kuendelea kwao kukataa tume huru na kukomalia kanuni hovyo za uchaguzi inadhihirisha wazi kuwa ni watu wenye kuiba tu kura siku zote, hawashindi kihalali.
 
Back
Top Bottom