CCM Inawathamini Na Kuwaheshimu Sana Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,220
9,648
Ndugu zangu watanzania,

CCM Itaendelea kuwepo na Kusalia madarakani kwa miaka mingi sana,kwa kuwa CCM imeonyesha kuwathamini na Kuwaheshimu Sana Watanzania,ndio maana ilani yake inabeba mambo na vitu vinavyogusa maisha ya watanzania.

CCM wakati wote imekuwa ikizungumzia ajenda,kero, changamoto na matatizo ya watu pamoja na suluhu zake.Viongozi wa CCm wakisimama majukwaani wanazungumzia habari za shida za watu na namna ya kuyatatua,wanazungumzia mizigo ya watu na namna ya kuwatua watanzania,wanazungumzia vilio vya watu na kuwafuta machozi.

CCM Ni chama kisichopenda kuona Wala kuwa Tayari kuona mtanzania akionewa au kuzulumiwa au kunyonywa au kuumizwa au kulizwa.Ndio maana kimekuwa kikipinga na kukemea dhuluma waziwazi bila haya Wala aibu, ndio maana ukienda migodini utaikuta CCM ikiwatetea wachimbaji wadogo wadogo wanaozulumiwa,utaikuta CCM ikiwatetea na kuwasemea vijana wasio na sauti wanaohitaji kupewa nguvu,utaikuta CCM ikiwakingia kifua wanaonewa na wawekezaji wanaokiuka Sheria za uwekezaji,utaikuta CCM ikiwasemea wajasiriamali,mamalishe, machinga,bodaboda n.k.

Ndio maana kila mwenye kuonewa anafahamu kuwa ukienda katika ofisi za CCM Ni lazima utapata msaada,mwenye kulizwa anafahamu ya kuwa Ni katika ofisi za CCM utakapofutwa machozi na kupewa msaada,Mwenye kunyimwa haki anafahamu kuwa Ni CCM pekee inayoweza kukusaidia kupata haki yako kwa kuwa Ni CCM ndio iliyounda serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na viongozi wote wa serikali wanapaswa kuwatumikia watanzania kwa haki na utumishi uliotukuka pasipo ubaguzi wa Aina yoyote Ile.

Ndio sababu CCM imekuwa kimbilio la wanyonge na sauti yao, ndio maana CCM imekuwa faraja na Tumaini la watanzania,ndio maana CCM inaendelea kuaminika na kubeba Imani ya watanzania,ndio maana CCM inaendelea kuungwa mkono,kuchaguliwa na kupita katika kila uchaguzi,ndio maana CCM inaendelea kuwa chama kiongozi hapa nchini na Barani Afrika,ndio maana CCM inaendelea kuwa chama Cha kupigiwa mfano Barani Afrika na ndio maana CCM Inaheshimika Sana Barani Afrika na ndio maana wengi huja Tanzania kujifunza kutoka CCM na ndio maana CCM haina mbadala wake hapa nchini.

Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Naunga mkono hoja
P
 
..Samia anatarajia kutumia mabilioni ya kodi zetu kujenga " Samia Complex " ktk ikulu ya Dodoma.

..Je, hicho ni kipaumbele cha wananchi, au kipaumbele cha Samia na genge lake?

..Je, matumizi ya kodi zetu kujenga "Samia Complex" ndio kutuheshimu wananchi?
 
Mkuu joka kuu lazima ufahamu kuwa faida zake zitakuwa ni kubwa Sana kutokana na uwekezaji huo wa kihistoria,ukiwa kiongozi Ni lazima uishi mbele ya wakati na kuwa na maono ya mbali ,lazima utazame ambako wengine hawawezi kuona faida zake kwa wakati huo,Huo ndio uongozi.Ukiangalia gharama tu bila kuangalia faida zake mbele ya safari utajikuta Hakuna mradi wa Aina yoyote Ile unaotekelezwa kwa wakati wote na nchi itabaki eneo moja tu Kama maji ya mvua yaliyotuama.
 
Luca umeshafika na porojo zako.Hivi umekula kweli mchana au ulishinda na njaa ukitafakari mustakabali wa Tanzania?
NB:Hizo namba hapo chini unatoa huduma za kifedha/uwakala?
 
😆😆😆😆 Nimeshakula Tayari na Kuendelea kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kumfanya Rais Samia kuzaliwa Tanzania na kuwa mtanzania na Rais wetu,maana mambo anayoyafanya Ni makubwa Sana katika Taifa letu,kwa hakika amejitoa na kujitolea maisha yake kwa ajili ya watanzania,Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu Sana,watu Aina ya Rais Samia hawazaliwi kila siku na Wala hawapatikani kila mahali.
 
Mkuu joka kuu lazima ufahamu kuwa faida zake zitakuwa ni kubwa Sana kutokana na uwekezaji huo wa kihistoria,ukiwa kiongozi Ni lazima uishi mbele ya wakati na kuwa na maono ya mbali ,lazima utazame ambako wengine hawawezi kuona faida zake kwa wakati huo,Huo ndio uongozi.Ukiangalia gharama tu bila kuangalia faida zake mbele ya safari utajikuta Hakuna mradi wa Aina yoyote Ile unaotekelezwa kwa wakati wote na nchi itabaki eneo moja tu Kama maji ya mvua yaliyotuama.

..kujenga ikulu Dodoma unaita uwekezaji?

..sasa nikuulize ikulu ya Chamwino iliyojengwa na Nyerere ilileta faida gani kwa walipa kodi?

..mwambieni ukweli Mwenyekiti wenu na Raisi badala ya kumuendekeza na kuiumiza nchi.

..tunaibebesha nchi gharama zisizo na ulazima.
 
Kwa hiyo mkuu hutaki tujenge makao makuu? Hujuwi hapo Ni kwa ajili ya kuwapokea na kuwahudumia watanzania?
 
Ndugu zangu watanzania,

CCM Itaendelea kuwepo na Kusalia madarakani kwa miaka mingi sana,kwa kuwa CCM imeonyesha kuwathamini na Kuwaheshimu Sana Watanzania,ndio maana ilani yake inabeba mambo na vitu vinavyogusa maisha ya watanzania.

CCM wakati wote imekuwa ikizungumzia ajenda,kero, changamoto na matatizo ya watu pamoja na suluhu zake.Viongozi wa CCm wakisimama majukwaani wanazungumzia habari za shida za watu na namna ya kuyatatua,wanazungumzia mizigo ya watu na namna ya kuwatua watanzania,wanazungumzia vilio vya watu na kuwafuta machozi.

CCM Ni chama kisichopenda kuona Wala kuwa Tayari kuona mtanzania akionewa au kuzulumiwa au kunyonywa au kuumizwa au kulizwa.Ndio maana kimekuwa kikipinga na kukemea dhuluma waziwazi bila haya Wala aibu, ndio maana ukienda migodini utaikuta CCM ikiwatetea wachimbaji wadogo wadogo wanaozulumiwa,utaikuta CCM ikiwatetea na kuwasemea vijana wasio na sauti wanaohitaji kupewa nguvu,utaikuta CCM ikiwakingia kifua wanaonewa na wawekezaji wanaokiuka Sheria za uwekezaji,utaikuta CCM ikiwasemea wajasiriamali,mamalishe, machinga,bodaboda n.k.

Ndio maana kila mwenye kuonewa anafahamu kuwa ukienda katika ofisi za CCM Ni lazima utapata msaada,mwenye kulizwa anafahamu ya kuwa Ni katika ofisi za CCM utakapofutwa machozi na kupewa msaada,Mwenye kunyimwa haki anafahamu kuwa Ni CCM pekee inayoweza kukusaidia kupata haki yako kwa kuwa Ni CCM ndio iliyounda serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na viongozi wote wa serikali wanapaswa kuwatumikia watanzania kwa haki na utumishi uliotukuka pasipo ubaguzi wa Aina yoyote Ile.

Ndio sababu CCM imekuwa kimbilio la wanyonge na sauti yao, ndio maana CCM imekuwa faraja na Tumaini la watanzania,ndio maana CCM inaendelea kuaminika na kubeba Imani ya watanzania,ndio maana CCM inaendelea kuungwa mkono,kuchaguliwa na kupita katika kila uchaguzi,ndio maana CCM inaendelea kuwa chama kiongozi hapa nchini na Barani Afrika,ndio maana CCM inaendelea kuwa chama Cha kupigiwa mfano Barani Afrika na ndio maana CCM Inaheshimika Sana Barani Afrika na ndio maana wengi huja Tanzania kujifunza kutoka CCM na ndio maana CCM haina mbadala wake hapa nchini.

Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Asante Nabii Tito kwa ujumbe
 
Kwa hiyo mkuu hutaki tujenge makao makuu? Hujuwi hapo Ni kwa ajili ya kuwapokea na kuwahudumia watanzania?

..makao makuu tayari tulikuwa nayo, lakini Magufuli akatumia mabilioni kujenga ikulu Dodoma ili aibe, na aonekane zaidi ya watangulizi wake.

..sasa Samia naye anataka aonekane amefanya zaidi ya Magufuli ndio amekuja na hiyo " Samia Complex."

..Viongozi wetu ni WABINAFSI kupitiliza. Hatuwafikirii wananchi wa kawaida. Wanajifikiria wao na magenge yao.
 
I
Ndugu zangu watanzania,

CCM Itaendelea kuwepo na Kusalia madarakani kwa miaka mingi sana,kwa kuwa CCM imeonyesha kuwathamini na Kuwaheshimu Sana Watanzania,ndio maana ilani yake inabeba mambo na vitu vinavyogusa maisha ya watanzania.

CCM wakati wote imekuwa ikizungumzia ajenda,kero, changamoto na matatizo ya watu pamoja na suluhu zake.Viongozi wa CCm wakisimama majukwaani wanazungumzia habari za shida za watu na namna ya kuyatatua,wanazungumzia mizigo ya watu na namna ya kuwatua watanzania,wanazungumzia vilio vya watu na kuwafuta machozi.

CCM Ni chama kisichopenda kuona Wala kuwa Tayari kuona mtanzania akionewa au kuzulumiwa au kunyonywa au kuumizwa au kulizwa.Ndio maana kimekuwa kikipinga na kukemea dhuluma waziwazi bila haya Wala aibu, ndio maana ukienda migodini utaikuta CCM ikiwatetea wachimbaji wadogo wadogo wanaozulumiwa,utaikuta CCM ikiwatetea na kuwasemea vijana wasio na sauti wanaohitaji kupewa nguvu,utaikuta CCM ikiwakingia kifua wanaonewa na wawekezaji wanaokiuka Sheria za uwekezaji,utaikuta CCM ikiwasemea wajasiriamali,mamalishe, machinga,bodaboda n.k.

Ndio maana kila mwenye kuonewa anafahamu kuwa ukienda katika ofisi za CCM Ni lazima utapata msaada,mwenye kulizwa anafahamu ya kuwa Ni katika ofisi za CCM utakapofutwa machozi na kupewa msaada,Mwenye kunyimwa haki anafahamu kuwa Ni CCM pekee inayoweza kukusaidia kupata haki yako kwa kuwa Ni CCM ndio iliyounda serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na viongozi wote wa serikali wanapaswa kuwatumikia watanzania kwa haki na utumishi uliotukuka pasipo ubaguzi wa Aina yoyote Ile.

Ndio sababu CCM imekuwa kimbilio la wanyonge na sauti yao, ndio maana CCM imekuwa faraja na Tumaini la watanzania,ndio maana CCM inaendelea kuaminika na kubeba Imani ya watanzania,ndio maana CCM inaendelea kuungwa mkono,kuchaguliwa na kupita katika kila uchaguzi,ndio maana CCM inaendelea kuwa chama kiongozi hapa nchini na Barani Afrika,ndio maana CCM inaendelea kuwa chama Cha kupigiwa mfano Barani Afrika na ndio maana CCM Inaheshimika Sana Barani Afrika na ndio maana wengi huja Tanzania kujifunza kutoka CCM na ndio maana CCM haina mbadala wake hapa nchini.

Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
INawathamini vipi?
Kwa hiyo hali za kimaisha za viongozi wa ccm na raia wa kawaida zipo sawa?
Achana na propaganda.
 
Kabisa yaani ! ndio maana tuna maendeleo kama haya

FB_IMG_1575390792397.jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kabisa yaani ! ndio maana tuna maendeleo kama haya

View attachment 2630591

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Erythrocyte naona saiz mmeamua kumzila na kumsusa Tundu lissu mpaka mmeacha kumtengenezea majukwaa na kubakia kumuwekea mamiti yaliyoooza ili yamdondoshe 😆😆😆 ,nimeona hata lissu mwenyewe alikuwa anaogopa kupanda likichanja lenu
 
Kwani Nani uliye na ushahidi Naye wa kinyaraka kuwa Ni fisadi na bado yupo mitaani
Huu ubadhirifu ambao miaka nenda rudi ofisi ya CAG imekuwa ikiusema, naona una baraka zote za ccm. CCM ni Chama Cha Mafisadi, na wewe ni mwizi mwingine ndio maana unatafuta mlango wa kuingia kwenye himaya ya majizi
 
Wote wanaobainika Kuchezea Fedha za Umma lazima wawajibishwe
 
Ndugu zangu watanzania,

CCM Itaendelea kuwepo na Kusalia madarakani kwa miaka mingi sana,kwa kuwa CCM imeonyesha kuwathamini na Kuwaheshimu Sana Watanzania,ndio maana ilani yake inabeba mambo na vitu vinavyogusa maisha ya watanzania.

CCM wakati wote imekuwa ikizungumzia ajenda,kero, changamoto na matatizo ya watu pamoja na suluhu zake.Viongozi wa CCm wakisimama majukwaani wanazungumzia habari za shida za watu na namna ya kuyatatua,wanazungumzia mizigo ya watu na namna ya kuwatua watanzania,wanazungumzia vilio vya watu na kuwafuta machozi.

CCM Ni chama kisichopenda kuona Wala kuwa Tayari kuona mtanzania akionewa au kuzulumiwa au kunyonywa au kuumizwa au kulizwa.Ndio maana kimekuwa kikipinga na kukemea dhuluma waziwazi bila haya Wala aibu, ndio maana ukienda migodini utaikuta CCM ikiwatetea wachimbaji wadogo wadogo wanaozulumiwa,utaikuta CCM ikiwatetea na kuwasemea vijana wasio na sauti wanaohitaji kupewa nguvu,utaikuta CCM ikiwakingia kifua wanaonewa na wawekezaji wanaokiuka Sheria za uwekezaji,utaikuta CCM ikiwasemea wajasiriamali,mamalishe, machinga,bodaboda n.k.

Ndio maana kila mwenye kuonewa anafahamu kuwa ukienda katika ofisi za CCM Ni lazima utapata msaada,mwenye kulizwa anafahamu ya kuwa Ni katika ofisi za CCM utakapofutwa machozi na kupewa msaada,Mwenye kunyimwa haki anafahamu kuwa Ni CCM pekee inayoweza kukusaidia kupata haki yako kwa kuwa Ni CCM ndio iliyounda serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na viongozi wote wa serikali wanapaswa kuwatumikia watanzania kwa haki na utumishi uliotukuka pasipo ubaguzi wa Aina yoyote Ile.

Ndio sababu CCM imekuwa kimbilio la wanyonge na sauti yao, ndio maana CCM imekuwa faraja na Tumaini la watanzania,ndio maana CCM inaendelea kuaminika na kubeba Imani ya watanzania,ndio maana CCM inaendelea kuungwa mkono,kuchaguliwa na kupita katika kila uchaguzi,ndio maana CCM inaendelea kuwa chama kiongozi hapa nchini na Barani Afrika,ndio maana CCM inaendelea kuwa chama Cha kupigiwa mfano Barani Afrika na ndio maana CCM Inaheshimika Sana Barani Afrika na ndio maana wengi huja Tanzania kujifunza kutoka CCM na ndio maana CCM haina mbadala wake hapa nchini.

Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ccm inasalia madarakni kwa msaada wa wizi wa kura, na ndio maana inaogopa tume huru ya uchaguzi.
We chawa tu wa kijani
 
Hata ije tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itashinda kwa kishindo kutokana na kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania wanyonge. Ukaribu wa CCM kwa wananchi pamoja na usikivu wake kwa wananchi kunaifanya CCM Kuendelea kuwa katika mioyo ya watanzania na Kuendelea kuaminika na kukubalika mbele za watanzania.
 
Back
Top Bottom