Elections 2010 Ccm inawapaka wanawake mafuta kwa mgongo wa chupa

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Ati umefika wakati wa mwanamke kushika muhimili mmoja wa dola. Ratiba hiyo anayo nani? Ikiwa ipo, tuambiwe basi ni lini CCM imepanga mwanamke awe Jaji Mkuu. Si vibaya pia, CCM ikatanabaisha ni lini imepanga mwanamke apitishwe kugombea urais au umakamu wa rais.

Hizi hakika ni dalili za chombo kinachozama. Haingii akilini kumfanya mwanamke ni mtu wa kupangiwa saa ya kula, kujisomea, kucheza na kulala. Kwa hiyo leo CCM imeona mwanamke anafaa kuwa Spika; kwani wanawake hao hao hawakuwa na uwezo huo hata mwaka 1995? Huu ni uongo na udhalilishaji wa kijinsia.

Chiligati na Makamba watupe ratiba ya mwana mama kuwa Rais wa Tanzania, na Jaji Mkuu ili tujue kweli CCM inawependa wanawake.

Mapendekezo: Mwanamke ateuliwe na CCM kuwania nafasi ya Rais mwaka 2015 na awe Jaji Mkuu baada ya Jaji Ramadhani.
 
Nasikia hasira kwa hizi rafu na kamari wanacheza ccm hawajui kusoma hata alama za nyakati na kujua wananchi wanataka nini na kwa wakati gani ni vizuri kuwapa wanawake nafasi ila lazima kuwa waangalifu na kuangalia madhaifu ya mwanamke kama aliyowekewa na muumba tangu mwanzo wako wanaoweza ila kwa ccm.ni kimasilahi maaumu zaid na hata kuvuliana nguo inapobidi na ndiyo maana utaona ccm. Imepata angalao kura kiasi fulani sehemu zenye wanawake wengi hasa sehemu uswalini zaidi maana utaona makahaba na mashangingi wamepewa hizo nafasi na wanazitumia vizuri sana kujinufaisha binafsi na siyo kumsaidia mwanamke wa hali ya kawaida kijijini na mjin kifupi wanachemka sana
 
Katika hao wanawake watatu napata mashaka nikimwangalia Ana Makinda hana msimamo nadhani CCM wamemuweka pale ili wamtumie wanavyotaka
 
Katika hao wanawake watatu napata mashaka nikimwangalia Ana Makinda hana msimamo nadhani CCM wamemuweka pale ili wamtumie wanavyotaka

Si mchezo first lady. Mbona wanamtumia siku nyingi tu? Kasahatumiwa sana, karibu ataisha.
 
Wanawake na maendeleo tusonge mbele eeeeee,
lele lele leeee wanawake lele leee wanawakeeeee

Viti Maalum HIVYOO, Uspika nao HUOO na urais naona unanukia. haya kina mama wakati wenu huo wa kujimwaga..

.
 
Katika hao wanawake watatu napata mashaka nikimwangalia Ana Makinda hana msimamo nadhani CCM wamemuweka pale ili wamtumie wanavyotaka

Wanawake viongozi ndani ya CCM wanatumiwa kama wanavyotakwa na ndiyo maana mwisho wa yote wanashia kuwa SEX Partners!

KK alizaa na Sophia S
Malecela aka Tingax2 kaondoka na Anna K
Khatib kapata mchumba Aisha K
Pius Msekwa kamyanganya Rashi (RIP) Anna A
e.t.c

Zipo sex-partnerships nyingi tu underground!
 
Acha waweke mwanamke wawe wanamwendesha kwa remote control ,mafuta yatakapochemka watatafutana . Sababu mojawapo ya kuachwa mhe. 6 ni kwamba badala Ha kusimamia mijadala bungeni eti alikuwa anashabikia . Hayo yalikuwa yakisemwa LIVE kwenye TV na kizee kimoja kikongwe cha Kigagagigikoko kilichopitwa na wakati , na bado wanakiona kinaweza kuwashauri.
 
Tuliyajua haya, maana Chenge yuko kwenye kamati ya maadili ya CCM. Katika wanawake hawa hakuna anayeweza, CCM wameweka watakayemuendesha wanavyotaka - yaani atakuwa mechanical, but in the end itakula kwao CCM. Wananchi wa siku hizi wanasikiliza, wanatafakari, na wanaamua. Hapa wametaka madhambi yasisemwe bungeni, lakini sehemu za kuyasemea ni nyingi tu.
Ni afadhali wasiyafunike bungeni ili wananchi wasikie hoja zote mbili for and angainst. Kutegemea kumlisha mTZ wa sasa side moja tu ya story na utegemee akubali?
La pili ni huu mfumo wa kumchagua spika. Tunaambiwa mihimili mitatu inapaswa kuchungana, lakini hapa Rais ambaye ni kiongozi wa mhimili mmojawapo (serikali) anashiriki moja kwa moja kumteua kiongozi wa mhimili mwingine (bunge), tena mhimili unaotunga sheria! Pia rais huyo huyo ndiye humteua jaji mkuu mabye ni kiongozi wa mhimili wa tatu (mahakama). Maana yake rais ambaye ni kiongozi wa mhimili mmoja anawaweka madarakani viongozi wa mihimili mingine miwili - ni wazi atakuwa juu yao na kuwaamulia nini wafanye - tumeliona hili katika kesi ya mgombea huru, na sasa linajitokeza wazi katika bunge.
Wakumbuke kuwa alichokuwa anafanya sitta kiliisaidia sana serikali maana wananchi walihisi kuwa kilio chao kinaongelewa hata kama hakikupata ufumbuzi (waliishi kwa matumaini). Watakapoona kuwa hawana pa kusemea na kusikilizwa - WATALIPUKA! Take note.
 
Wanawake viongozi ndani ya CCM wanatumiwa kama wanavyotakwa na ndiyo maana mwisho wa yote wanashia kuwa SEX Partners!

KK alizaa na Sophia S
Malecela aka Tingax2 kaondoka na Anna K
Khatib kapata mchumba Aisha K
Pius Msekwa kamyanganya Rashi (RIP) Anna A
e.t.c

Zipo sex-partnerships nyingi tu underground!

Dr. Gharib Bilal amemuoa Dr. Zainab Gama. Welaaaaaaaaaaaaaaaaa sitoi bila helaaaaaaaaaaaaa au sitoi bila ###&&&<>*
 
Haya ni makusudi ya ccm ili kufinya uhuru wa bunge. inaudhi sana kuona tunatumiwa kwa kuwa ni wanawake na kupitisha agenda za siri, i hate ccm kwa hizi spin zao. na wanawake utakuta wanafurahi eti tunapewa nafasi kumbe ni kufaidisha maslahi ya wachache, lakini iwe iwavyo kaburi lenu mwalichimba wenyewe.
 
Wanamtumia SHE ku-absorb mitikisikoiliyosababishwa na vita dhidi ya mafisadi, makundi ndani ya CCM na kuficha uchafu wa kina Lowasa. Iwapo wanataka kambi mbili yaani Upinzani na UCCM, kina Mwakyembe, Sita, Kilango etc watarudia mtindo wa miaka ilee - Kulala usingizi.
 
Chozi langu kwa S. Sitta litafutwa tutakapompata Spika Mabere Marando wabunge msiniangushe jamani
 
Na mgombea wa urais 2015 wamuweke mwanamke kama hawata ***** nyoka na mshauri wa spika atakuwa Shangazi double SS.Kaaaaaaaaaazi kweili kweli, bunge full vidole juuuu safari hii.
 
Back
Top Bottom