Ndugu zangu natamani nianze na mfano halisi wa kile ambacho nimewahi kushuhudia
nikiwa secondary alikuwepo kijana mmoja mpole na vijana wenzeke walikuwa wanamnyanyasa sana mara wanaficha mfuko wake wa madaftari mara wanamsingizia lakini hakuwa anafanya chochote na siku moja aliwahi kuchapwa kwa kosa ambalo hakufanya.
Siku moja kijana mmoja aliyezoea kumnyanyasa alimnyang'anya begi lake na kuanza kulipiga kama mpira kilichotokea huwezi kuamini jama alipohamaki na kuwa mbogo hakuna aliyedhani kwamba angaweza kupambana na yule jamaa aliyezoea kumnyanyasa. siku hiyo kijana aliyeonekana hawezi alitoa kipigo kitakatifu hadi kila mmoja akamweshimu.
CCM wanatumia vibaya uvumilivu wa wananchi, wamekuwa wakifanya chokochoko nyingi sana huku wakiamini kwamba wana vyombo vya dola hivyo hakuna wa kuwafanya chochote ila wamesahau kwamba hakuna vyombo vya dola kote duniani vyenye nguvu kuliko raia. wameonyesha kiburi cha wazi kwa kufanya wanavyotaka maadam wananchi ni wavumilivu na wapole basi. hivyo wamekuwa wakiita uvumilivu wa watanzania amani....huku wakidhulumu haki za wanyonge maana hawatafanywa chochote ila siku inakuja hawa waliowaona wapole na wavumilivu watawaonyesha na kuwaambia tumechoka na dharahu yenu na kiburi chenu.
CCM ACHENI KIBURI NA KUWADHULUMU WATU HAKI ZAO