CCM inatapika na kumeza tena

PAPAKINYI - SJUT 2013

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
367
250
na chadema pia inahusika kwa kiasi kikubwa sana kuustawisha sababu inawakaribisha na kuwapa vyeo na kuwaabudu na kuwalinda.....kama wangekuwa wanakataliwa kila mahali ufisadi ungepungua sn. chadema imewasema kina lowassa sn tu (kutapika) na imewakumbatia na kuwasifia vzr tu (kula matapishi) mara baada ya kujiunga nao. kwa hali hiyo wataogopaje watu kuvurunda ikiwa wana uhakika wa kukaribishwa sehemu fulani ili mradi uwe na hela tu!!!!!
 
tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,824
2,000

Na CCM hiyo hiyo yenye polisi, mahakama na magereza imeshindwa kuwakamata, kuwafungulia mashtaka na kuwafunga.
Chama Cha Mafisadi (CCM)
 
PAPAKINYI - SJUT 2013

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
367
250
Na CCM hiyo hiyo yenye polisi, mahakama na magereza imeshindwa kuwakamata, kuwafungulia mashtaka na kuwafunga.
Chama Cha Mafisadi (CCM)
na wanasheria mashuhuri wenye elimu ya kutosha tu kutoka chadema wanatumia maguvu makubwa kutetea mafisadi kwa kutumia (kupotosha) vifungu vya kisheria ili mradi tu watu wao wabaki salama. mafisadi wanajua wakipelekwa mahakamani watawapa hela wanasheria wa chadema ili wawatetee!!!
 
nygax

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,070
2,000
Ufisadi wooote tunaousikia ndani ya Bongoland, uliasisiwa, ukapaliliwa na kustawishwa kwa Chama Cha Mafisadi (CCM). Kutulagai wananchi kwa kujifanya mnashughulika na Makinikia na Escrow, ni sawa na kula matapishi.
[HASHTAG]#hatuitakiccm[/HASHTAG]
mtu akitenda dhambi, wajibu wake mkuu ni kutambua makosa aliyotenda na kutubu dhambi zake.
Unamaanisha mtu akitubu dhambi zake ni sawa na kula matapishi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom