Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,868
- 6,480
Yetu macho!laiti kama upinzani wangechaguliwa kushika dola leo leo ungekuwa ni mwendo wa makanusho tu. mngekanusha kila mnaposhindwa kwa kusema hatukuahidi hivyo kwa sababu kusingekuwa na ilani ya kurejelea ahadi