CCM inatafuta ushindi, wa kusubiri kuletewa ushindi anguko lenu lipo karibu

K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Messages
227
Points
250
K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2019
227 250
Tumeshuhudia mara nyingi kila CCM inaposhinda lawama zote ni kwa tume ya taifa ya uchaguzi hususani wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo ambao ni wakurugenzi. Lawama hizi hazina ukweli kulingana na uhalisia. Uhalisia unaendana na mchakato mzima wa uchaguzi. Mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia kupiga kura mpaka utangazwaji matokeo upo wazi, ni ngumu kwa mkurugenzi kushiriki wizi wa kura kwa sababu rufaa ya matokeo inaweza kukatwa.

Hofu waliyokuwa nayo wapinzani ni kuwa na mchecheto mkubwa wa kujua matokeo ilhali zoezi la uhesabuji kura na taratibu nyingine zikiwa zinaendelea na hivyo kuwa na hisia kuwa zoezi linacheleweshwa kutokana na kuchakachua matokeo. Moja ya sifa kubwa ya mshindani ni kukubali kushindwa na sio kulazimisha ushindi. Sifa hii wapinzani hawana.

Kimsingi wakurugenzi ni watangazaji tu wa matokeo ambayo yamejumlishwa na kuthibitishwa na mawakala wa vyama vyote. Kama ni lawama, vyama vya upinzani ni bora ikawalaumu mawakala wao na si tume ya taifa ya uchaguzi na wakurugenzi ambao ni wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo.

Kwa hiyo, kwa kuangazia mchakato huo kwa ufupi, naomba nikiri kusema kuwa CCM inatafuta ushindi na haipewi ushindi. Ushuhuda ni shamrashamra za kampeni na kuangazia wingi wa wanachama wake. Wanachama Zaidi ya million 12 wa CCM, wakati wa kampeni wanalengo moja tu nalo ni kusaka, kutafuta na kuleta ushindi kwa CCM

CCM inashinda kwa sababu inagharamia ushindi. CCM inagharamia ushindi kwa kuzunguka kila kijiji wakati wa kampeni wakijinadi na kuinadi ilani ya chama. Watanzania wanakubaliana na ilani yenye mipango na mikakati mizuri ya kuwakomboa kiuchumi na kuipigia kura tena na tena.

Ushindi ni gharama. Kuna vyama vingine vinaona CCM inashinda bila kugharamia ushindi huo kwa maana ya kwmba inapewa ushindi wa mezani na wakurugenzi. Mawazo kama hayo ndio yanayofanya upinzani kudai ushindi hata kama wameshindwa, nawahakikishia anguko lenu lipo karibu. Hamuwezi kushiriki mbio ndefu bila kuhakisha uimara wa afya na miguu yenu na imethibitika afya zenu haziruhusu kushiriki mbio hizo.
 
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
3,568
Points
2,000
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
3,568 2,000
laiti kama upinzani wangechaguliwa kushika dola leo leo ungekuwa ni mwendo wa makanusho tu. mngekanusha kila mnaposhindwa kwa kusema hatukuahidi hivyo kwa sababu kusingekuwa na ilani ya kurejelea ahadi
Yetu macho!
 
Jahman85

Jahman85

Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
68
Points
125
Jahman85

Jahman85

Member
Joined Jul 23, 2018
68 125
Tumeshuhudia mara nyingi kila CCM inaposhinda lawama zote ni kwa tume ya taifa ya uchaguzi hususani wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo ambao ni wakurugenzi. Lawama hizi hazina ukweli kulingana na uhalisia. Uhalisia unaendana na mchakato mzima wa uchaguzi. Mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia kupiga kura mpaka utangazwaji matokeo upo wazi, ni ngumu kwa mkurugenzi kushiriki wizi wa kura kwa sababu rufaa ya matokeo inaweza kukatwa.

Hofu waliyokuwa nayo wapinzani ni kuwa na mchecheto mkubwa wa kujua matokeo ilhali zoezi la uhesabuji kura na taratibu nyingine zikiwa zinaendelea na hivyo kuwa na hisia kuwa zoezi linacheleweshwa kutokana na kuchakachua matokeo. Moja ya sifa kubwa ya mshindani ni kukubali kushindwa na sio kulazimisha ushindi. Sifa hii wapinzani hawana.

Kimsingi wakurugenzi ni watangazaji tu wa matokeo ambayo yamejumlishwa na kuthibitishwa na mawakala wa vyama vyote. Kama ni lawama, vyama vya upinzani ni bora ikawalaumu mawakala wao na si tume ya taifa ya uchaguzi na wakurugenzi ambao ni wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo.

Kwa hiyo, kwa kuangazia mchakato huo kwa ufupi, naomba nikiri kusema kuwa CCM inatafuta ushindi na haipewi ushindi. Ushuhuda ni shamrashamra za kampeni na kuangazia wingi wa wanachama wake. Wanachama Zaidi ya million 12 wa CCM, wakati wa kampeni wanalengo moja tu nalo ni kusaka, kutafuta na kuleta ushindi kwa CCM

CCM inashinda kwa sababu inagharamia ushindi. CCM inagharamia ushindi kwa kuzunguka kila kijiji wakati wa kampeni wakijinadi na kuinadi ilani ya chama. Watanzania wanakubaliana na ilani yenye mipango na mikakati mizuri ya kuwakomboa kiuchumi na kuipigia kura tena na tena.

Ushindi ni gharama. Kuna vyama vingine vinaona CCM inashinda bila kugharamia ushindi huo kwa maana ya kwmba inapewa ushindi wa mezani na wakurugenzi. Mawazo kama hayo ndio yanayofanya upinzani kudai ushindi hata kama wameshindwa, nawahakikishia anguko lenu lipo karibu. Hamuwezi kushiriki mbio ndefu bila kuhakisha uimara wa afya na miguu yenu na imethibitika afya zenu haziruhusu kushiriki mbio hizo.
Mungu akusamehe tuu bure, Au basi sawa ili game iwe fair kubali kuwepo tume huru.

Mungu akusamehe tuu bure
 
N

Nteko

Member
Joined
Mar 16, 2019
Messages
37
Points
125
N

Nteko

Member
Joined Mar 16, 2019
37 125
Ccm wakubari maamuzi ya mahakama kuu,wasikate rufaa,ilichaguzi ziseme ukweli
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,177
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,177 2,000
Tumeshuhudia mara nyingi kila CCM inaposhinda lawama zote ni kwa tume ya taifa ya uchaguzi hususani wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo ambao ni wakurugenzi. Lawama hizi hazina ukweli kulingana na uhalisia. Uhalisia unaendana na mchakato mzima wa uchaguzi. Mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia kupiga kura mpaka utangazwaji matokeo upo wazi, ni ngumu kwa mkurugenzi kushiriki wizi wa kura kwa sababu rufaa ya matokeo inaweza kukatwa.

Hofu waliyokuwa nayo wapinzani ni kuwa na mchecheto mkubwa wa kujua matokeo ilhali zoezi la uhesabuji kura na taratibu nyingine zikiwa zinaendelea na hivyo kuwa na hisia kuwa zoezi linacheleweshwa kutokana na kuchakachua matokeo. Moja ya sifa kubwa ya mshindani ni kukubali kushindwa na sio kulazimisha ushindi. Sifa hii wapinzani hawana.

Kimsingi wakurugenzi ni watangazaji tu wa matokeo ambayo yamejumlishwa na kuthibitishwa na mawakala wa vyama vyote. Kama ni lawama, vyama vya upinzani ni bora ikawalaumu mawakala wao na si tume ya taifa ya uchaguzi na wakurugenzi ambao ni wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo.

Kwa hiyo, kwa kuangazia mchakato huo kwa ufupi, naomba nikiri kusema kuwa CCM inatafuta ushindi na haipewi ushindi. Ushuhuda ni shamrashamra za kampeni na kuangazia wingi wa wanachama wake. Wanachama Zaidi ya million 12 wa CCM, wakati wa kampeni wanalengo moja tu nalo ni kusaka, kutafuta na kuleta ushindi kwa CCM

CCM inashinda kwa sababu inagharamia ushindi. CCM inagharamia ushindi kwa kuzunguka kila kijiji wakati wa kampeni wakijinadi na kuinadi ilani ya chama. Watanzania wanakubaliana na ilani yenye mipango na mikakati mizuri ya kuwakomboa kiuchumi na kuipigia kura tena na tena.

Ushindi ni gharama. Kuna vyama vingine vinaona CCM inashinda bila kugharamia ushindi huo kwa maana ya kwmba inapewa ushindi wa mezani na wakurugenzi. Mawazo kama hayo ndio yanayofanya upinzani kudai ushindi hata kama wameshindwa, nawahakikishia anguko lenu lipo karibu. Hamuwezi kushiriki mbio ndefu bila kuhakisha uimara wa afya na miguu yenu na imethibitika afya zenu haziruhusu kushiriki mbio hizo.
Basi kama Wakurugenzi hawasaidii ccm we acha hukumu itekelezwe CCM waendelee kutafuta ushindi kama zamani tu lakini bila Wakurugenzi.

Sijui mwaka huu mtakuja na hoja gani aisee.
 
superbug

superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Messages
2,568
Points
2,000
superbug

superbug

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2018
2,568 2,000
Hii hukumu iliyotolewa na mahakama ya kuwazuia wakurugenzi kusimamia uchaguzi haitafanikiwa hata kidogo,
Ccm wenyewe nasema piga uwa hawatakubali hukumu hii na wanadai hata iweje wakurugenzi wataendelea kusimamia uchaguzi
Wanawatafutia ded matatizo watapigwa risasi hovyo mitaani watz wanabadilika siku hadi siku busara na hekima vitumike
 
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
1,785
Points
2,000
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
1,785 2,000
Tumeshuhudia mara nyingi kila CCM inaposhinda lawama zote ni kwa tume ya taifa ya uchaguzi hususani wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo ambao ni wakurugenzi. Lawama hizi hazina ukweli kulingana na uhalisia. Uhalisia unaendana na mchakato mzima wa uchaguzi. Mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia kupiga kura mpaka utangazwaji matokeo upo wazi, ni ngumu kwa mkurugenzi kushiriki wizi wa kura kwa sababu rufaa ya matokeo inaweza kukatwa.

Hofu waliyokuwa nayo wapinzani ni kuwa na mchecheto mkubwa wa kujua matokeo ilhali zoezi la uhesabuji kura na taratibu nyingine zikiwa zinaendelea na hivyo kuwa na hisia kuwa zoezi linacheleweshwa kutokana na kuchakachua matokeo. Moja ya sifa kubwa ya mshindani ni kukubali kushindwa na sio kulazimisha ushindi. Sifa hii wapinzani hawana.

Kimsingi wakurugenzi ni watangazaji tu wa matokeo ambayo yamejumlishwa na kuthibitishwa na mawakala wa vyama vyote. Kama ni lawama, vyama vya upinzani ni bora ikawalaumu mawakala wao na si tume ya taifa ya uchaguzi na wakurugenzi ambao ni wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo.

Kwa hiyo, kwa kuangazia mchakato huo kwa ufupi, naomba nikiri kusema kuwa CCM inatafuta ushindi na haipewi ushindi. Ushuhuda ni shamrashamra za kampeni na kuangazia wingi wa wanachama wake. Wanachama Zaidi ya million 12 wa CCM, wakati wa kampeni wanalengo moja tu nalo ni kusaka, kutafuta na kuleta ushindi kwa CCM

CCM inashinda kwa sababu inagharamia ushindi. CCM inagharamia ushindi kwa kuzunguka kila kijiji wakati wa kampeni wakijinadi na kuinadi ilani ya chama. Watanzania wanakubaliana na ilani yenye mipango na mikakati mizuri ya kuwakomboa kiuchumi na kuipigia kura tena na tena.

Ushindi ni gharama. Kuna vyama vingine vinaona CCM inashinda bila kugharamia ushindi huo kwa maana ya kwmba inapewa ushindi wa mezani na wakurugenzi. Mawazo kama hayo ndio yanayofanya upinzani kudai ushindi hata kama wameshindwa, nawahakikishia anguko lenu lipo karibu. Hamuwezi kushiriki mbio ndefu bila kuhakisha uimara wa afya na miguu yenu na imethibitika afya zenu haziruhusu kushiriki mbio hizo.
Kwa Mfano,rufaa ya matokeo ya urais inakatwa Wapi?I know wadanganyika bado tupo kitandani
 
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
1,785
Points
2,000
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
1,785 2,000
Hii hukumu iliyotolewa na mahakama ya kuwazuia wakurugenzi kusimamia uchaguzi haitafanikiwa hata kidogo,
Ccm wenyewe nasema piga uwa hawatakubali hukumu hii na wanadai hata iweje wakurugenzi wataendelea kusimamia uchaguzi
Hivi ccm ni kikundi cha watu au siku hizi ndo nchi?Je kwenye katiba ya JMT ccm imetajwa kwenye kifungu kipi?mimi ni mgeni please msaada wenu unahitajika
 
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
4,083
Points
2,000
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
4,083 2,000
Tumeshuhudia mara nyingi kila CCM inaposhinda lawama zote ni kwa tume ya taifa ya uchaguzi hususani wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo ambao ni wakurugenzi. Lawama hizi hazina ukweli kulingana na uhalisia. Uhalisia unaendana na mchakato mzima wa uchaguzi. Mchakato mzima wa uchaguzi kuanzia kupiga kura mpaka utangazwaji matokeo upo wazi, ni ngumu kwa mkurugenzi kushiriki wizi wa kura kwa sababu rufaa ya matokeo inaweza kukatwa.

Hofu waliyokuwa nayo wapinzani ni kuwa na mchecheto mkubwa wa kujua matokeo ilhali zoezi la uhesabuji kura na taratibu nyingine zikiwa zinaendelea na hivyo kuwa na hisia kuwa zoezi linacheleweshwa kutokana na kuchakachua matokeo. Moja ya sifa kubwa ya mshindani ni kukubali kushindwa na sio kulazimisha ushindi. Sifa hii wapinzani hawana.

Kimsingi wakurugenzi ni watangazaji tu wa matokeo ambayo yamejumlishwa na kuthibitishwa na mawakala wa vyama vyote. Kama ni lawama, vyama vya upinzani ni bora ikawalaumu mawakala wao na si tume ya taifa ya uchaguzi na wakurugenzi ambao ni wasimamizi wa uchaguzi ngazi za majimbo.

Kwa hiyo, kwa kuangazia mchakato huo kwa ufupi, naomba nikiri kusema kuwa CCM inatafuta ushindi na haipewi ushindi. Ushuhuda ni shamrashamra za kampeni na kuangazia wingi wa wanachama wake. Wanachama Zaidi ya million 12 wa CCM, wakati wa kampeni wanalengo moja tu nalo ni kusaka, kutafuta na kuleta ushindi kwa CCM

CCM inashinda kwa sababu inagharamia ushindi. CCM inagharamia ushindi kwa kuzunguka kila kijiji wakati wa kampeni wakijinadi na kuinadi ilani ya chama. Watanzania wanakubaliana na ilani yenye mipango na mikakati mizuri ya kuwakomboa kiuchumi na kuipigia kura tena na tena.

Ushindi ni gharama. Kuna vyama vingine vinaona CCM inashinda bila kugharamia ushindi huo kwa maana ya kwmba inapewa ushindi wa mezani na wakurugenzi. Mawazo kama hayo ndio yanayofanya upinzani kudai ushindi hata kama wameshindwa, nawahakikishia anguko lenu lipo karibu. Hamuwezi kushiriki mbio ndefu bila kuhakisha uimara wa afya na miguu yenu na imethibitika afya zenu haziruhusu kushiriki mbio hizo.
Du huyu mtanzania kweli kaandika hivi?? Anatoka nchi gani wakuu wa mikoa. Wilaya na MaDED ndio and wanaopanga safu nzima kwa tume yanayofanyika yanaonekana. Kama kweli mnawanachama 12 M mbona wapiga kura hawazidi 6M. Kama kweli mnawatu 12 M basi acheni tume huru hata uchaguzi mmoja tu. Akitoka DED watu wanatoa TISS, Polisi na and watumishi wengine mpaka tume iwe huru.
 
Jahman85

Jahman85

Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
68
Points
125
Jahman85

Jahman85

Member
Joined Jul 23, 2018
68 125
CCM inapigiwa kura baada ya kuinadi ilani ya chama chetu kwa wananchi, na ilani hiyo inabaki kumbukumbu ya ahadi zetu kwa wananchi ndio maana wanashawishika kutuchagua kila uchaguzi. naomba nione ilani ya chama chochote cha upinzani
Kubalini tume huru kama hamjakimbia na kyupi mkononi mchana kweupeeee
 
Forum statistics

Threads 1,295,655
Members 498,337
Posts 31,218,562
Top