CCM Inashindwa Kujitathimini Kwanini Imechoka na Kuchokwa?

Kwa akili yako FUPI ni CHAMA kipi Ambacho wewe unakiona ni MBADALA wa CCM kwa sasa??????.......subiri mpaka siku mbadala wa CCM akipatikana ndio CCM itatoka madarakani na hii ni baada ya miaka isiyo pungua au zaidi ya hamsini ijayo...Maana ndani ya CCM kuna VICHWA balaa......Na CCM mpya ndiyo hiyo inazaliwa

Mkuu hivyo vichwa ndio vimechangia nchi yetu kuwa masikini mpaka leo? Mkuu au mimi ndio sielewi maana ya vichwa?
 
Mkuu hivyo vichwa ndio vimechangia nchi yetu kuwa masikini mpaka leo? Mkuu au mimi ndio sielewi maana ya vichwa?
Sasa unasubiri nani akufanye uwe TAJIRI chadema au??????Acha kuwa na mawazo mgando UMASKINI umejisababishia mwenyewe
 
Sasa unasubiri nani akufanye uwe TAJIRI chadema au??????Acha kuwa na mawazo mgando UMASKINI umejisababishia mwenyewe

Kwa bahati mbaya huyo aliyekupa kibarua kakuambia kila mwenye mtazamo tofauti na wewe ni cdm. Na kwa mtazamo wako kila anayechangia tofauti na jinsi unavyotaka wewe basi ni maskini. Huo ushabiki unaoleta hapa wa kusifia wanaume wenzio sijui ndio vichwa ni kama unawachoresha na kujichora mwenyewe. Kama kwako hao ndio vichwa na ndio waliokuwa madarakani muda wote huo lakini bado nchi yetu inaitwa maskini ni kama huna hoja zaidi za siasa za kitoto.
 
Mkuu kwanza SAMAHANI sana kwa kunielewa vibaya naipenda CCM maana sioni mbadala wake iyo moja...Mbili nawaona ni VICHWA kwa sababu HAKUNA kama wao ndani ya nchi hii....
 
Mkuu kwanza SAMAHANI sana kwa kunielewa vibaya naipenda CCM maana sioni mbadala wake iyo moja...Mbili nawaona ni VICHWA kwa sababu HAKUNA kama wao ndani ya nchi hii....

Mkuu pole kwa kukwaza kwa mapenzi yako kwa ccm. Mkuu unajaribu kusema hata kama darasa wanafunzi wote wamepata division four kuna vichwa wa hiyo division four. Samahani nilidhani unamaanisha huo uvichwa wao wamesaidia nchi hii kutoka kwenye lindi la umaskini, kumbe ni vinara wa wengine katika nchi iliyokwama. Au kwa maneno marahisi wao ndio wenye afadhali zaidi ndani ya kundi la wajinga. Tafuta namna nyingine ya kuwasifia vinginevyo utaishia kukwazika.
 
Mkuu Chakaza usitegemee kipya chochote kutoka kwa chama cha mafisi, wezi, watoa rushwa na wapokea rushwa, mafisadi, wanaotaka Watanzania tuishi kama mashetani, majangili na wahuni.

13912358_1568011230171684_8702212615280387452_n-jpg.451029

Ni ukweli usio pingika kuwa Chama cha Mapinduzi ndio chama kikongwe na chenye hazina ya wanasiasa wengi sana wenye uzoefu kwa vile wamekuwa katika uendeshaji wa nchi hii ndani na nje kwa miongo zaidi ya mitano.
Tukiona picha za vikao vya Halmashauri yao kuu au Kamati kuu, tunawaona watu kama Salim Ahmed Salim, Warioba, Butiku, Kikwete, Mwinyi, Msuya nk nk ambao ni wabobezi na tunaamini kwa nafasi walizokuwa nazo mpaka kustaafu hawana njaa kwani wanatunzwa vyema na pension ya serikali.
Sasa sababu ni nini wabobezi wanashindwa kujitathmini na kujua kuwa chama chao kimechoka na kuchokwa na kuwa uongozi wake wa sasa unakwenda ndivyo sivyo katika kuendesha Serikali hivyo kufanya watumishi wa umma kufanya kazi kwa Unafiki na kujikomba badala ya kutumia UBUNIFU ili kusaidia kukuza uchumi?
Au lengo ni kuwa mkikabidhi nchi 2020 iwe ime collapse na hoi kabisa kiuchumi? CCM inaweza kuchukua maamuzi magumu ya kumshughulikia wanaye muona anakifanya chama kishindwe kusimamia serikali ipasavyo hata kama hatua hizo zitasababisha uchaguzi ufanyike mapema kabla ya 2020 kwa manufaa ya nchi.
 
Mkuu Chakaza usitegemee kipya chochote kutoka kwa chama cha mafisi, wezi, watoa rushwa na wapokea rushwa, mafisadi, wanaotaka Watanzania tuishi kama mashetani, majangili na wahuni.

13912358_1568011230171684_8702212615280387452_n-jpg.451029
Ni kweli kabisa mkuu BAK. Hawa watu hawajawahi kuwa na nia njema kabisa ila ajabu ni kuwa bado wana pata uungwaji mkono na kada ya watu wa chini kadhaa ambao ni wahanga wa matendo hayo. Jee ni matatizo ya akili kama ugonjwa au ufahamu mdogo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom