Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,793
- 71,207
Hivi huko CCM mnasumbuliwa na nini hadi wale wenye uwezo wa kuonyesha ufahamu mnawa dump kabisa na kufurahishwa na watu wa vichekesho na mizaha?
Watu wenye exposure ya mambo ya kidunia hamuwataki kabisa ila wale wa category ya Kibajaj, Msukuma au mzee baba ambao hata kutoka mbele za wenzetu wa nje wanajihofia kwa aibu.
Nimemsikiliza Membe na kujiuliza inakuwaje wenye uwezo wa kujieleza kama huyu mnafanya mizengwe hata kumpa fomu tuu ni kasheshe?
Kweli mnaweza kutema Big G kwa Karanga za kuonja?
Angalieni na mahojiano haya ya mgombea wenu mwingine anayegombea kuongoza vyombo vya dola