CCM Inaongozwa Kijeshi?

Dear ALL

I like your observations/analysis through this 'Jamii Forum'. Just to add on what has been said, always remember what sisiem members/top leaders say during all previous election campaigns-That 'CCM ushindi ni lazima'. To me, this was evident in the last election and what has been said in various occasions by the CCM/Government leaders. In fact they are ready for every trick-including 'war' to remian on power. Ndugu zangu, hata katiba ambayo tunafikiri inaweza kuwa suluhisho la matatizo mengi-hawa jamaa hawako tayari Kabisa-refer Hiza Tambwe ( particularly when he says the new constitution was not among of their top agenda for election and yet voters elected CCM). CCM inajua kabisa bila katiba mpya uchaguzi 2015 ni mgogolo zaidi ilivyokuwa 2010; kama si vita wanataka nini?
 
Uongozi wa juu CCM umekuwa ukihaha kubatiza vyama vingine sifa za kutunga kuligawa taifa: Ukabila, Udini n.k! Je, kwa safu ya uongozi wao hapo juu..nasi tuamini CCM ni chama cha Kijeshi?

Mwenyekiti: Luteni Kanali Jakaya Kikwete
Katibu Mkuu: Luteni Yusuph Makamba
Naibu Katibu Mkuu: Kapteni George Mkuchika
Katibu Itikadi/Uenezi: Kapteni John Chiligati
Meneja Kampeni: Kanali Abdulhamani Kinana!!

Umesahau pia wakuu wa mikoa na wilaya; wengi wao wakiwa wanajeshi
 
CCM waliamua baada ya kuona (sio rasmi - informally) kuwa Jeshi la Wananchi (TPDF) ndio taasisi pekee ambayo inaweza kuwafanya wasiwepo madarakani.

Wao ni wajamaa, wamejifunza kwa Wajamaa wenzao wa China hivi; "respect the power". So they only show "respect" to TPDF's "power" here!
 
Uongozi wa juu CCM umekuwa ukihaha kubatiza vyama vingine sifa za kutunga kuligawa taifa: Ukabila, Udini n.k! Je, kwa safu ya uongozi wao hapo juu..nasi tuamini CCM ni chama cha Kijeshi?

Mwenyekiti: Luteni Kanali Jakaya Kikwete
Katibu Mkuu: Luteni Yusuph Makamba
Naibu Katibu Mkuu: Kapteni George Mkuchika
Katibu Itikadi/Uenezi: Kapteni John Chiligati
Meneja Kampeni: Kanali Abdulhamani Kinana!!

Kwa set up hii ya uongozi, hakika hata asiyekuwa na chama atakubali kuwa jibu ni ndiyo-CCM ni chama cha kijeshi!!!!!!!!!Wakuu wa mikoa na wilaya kadhalika!!!!!!!!!!!!!!
Ndiyo maana chama hiki hakina mwelekeo, wala dira!!!! Wanajeshi siku zote ni watekeleza amri, wala si watengeneza amri-amri hutengenezwa na wanasiasa ambao ndiyo wabunifu- wanajeshi ni watumia hoja za nguvu, si watumia nguvu za hoja, kwa sababu huwa hawana hoja, na si wenye subira kusubiri hoja zipatikane kwanza kwa njia za kistaarabu!!!!!!!!!!!!! Pole CCM!!!!,Ndiyo maana mmoja wa wanasiasa wakongwe ndani ya CCM, ambao ni miongoni mwa waliowekwa pembeni kwa kuwa si mwanajeshi, Cleopa Msuya ametabiri kifo cha CCM-sisi tunajiandaa kukizika kama warusi walivyozika chama cha akina Breznev!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu wa wilaya walikotoka na waliko sasa hii inaonesha ni kitu ya zamani sana kuliweka jeshi kwenye siasa!

Luteni Winfrid Ligubi (Handeni kwenda Urambo),
Kanali mstaafu Edmund Mjengwa (Shinyanga kwenda Mbinga)
Meja Bahati Matala (Sumbawanga kwenda Kahama),
Luteni Kanali Serenge Mrengo (Bagamoyo kwenda Ilemela),
Kapteni Geoffrey Ngatuni (Hanang kwenda Musoma),
Luteni Kanali John Mzurikwao (Kibondo kwenda Mpanda),
Kapteni Seif Mpembenwe (Kondoa kwenda Handeni),
Luteni Kanali Benedict Kitenga (Rorya)
Luteni Kanali Cosmas Kayombo (Mbarali).
 
Leo nilliangalia sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya kuzaliwa kwa CCM. Wale vijana wa CCM walikuwa wamevaa sare zao mchanganyiko.Wengine T-Shirts za blue,Kijani,Suruali nyeusi zenye mwonekano kama za mgambo,Kofia kama za mgambo.

Cha ajabu walipiga kwata la kijeshi kabisa. Sasa najiuliza ni chama cha kijeshi? Na kwa kufanya hivyo lengo ni nini?
 
Leo nilliangalia sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya kuzaliwa kwa CCM. Wale vijana wa CCM walikuwa wamevaa sare zao mchanganyiko.Wengine T-Shirts za blue,Kijani,Suruali nyeusi zenye mwonekano kama za mgambo,Kofia kama za mgambo.

Cha ajabu walipiga kwata la kijeshi kabisa. Sasa najiuliza ni chama cha kijeshi? Na kwa kufanya hivyo lengo ni nini?

Nani wanaotisha hao waliovalia nguo rangi tofauti matching yao kama watoto wa shule au hao magamba na vazi lao wanayavaa kila siku utadhani viongozi wa kikoloni?
 
Colleagues,

There are all indicators to believe that this country is indirectly military ruled. This is supported by the following reasons:
1) Recall military statement during the last general election in 2010
2) What happened in Arusha during Chadema demonstrations and rude actions by the Police officers.
3) Continued police use of excessive force to turn down people's power/people's rights in recent incidents of Mwanza, Arumeru, Lindi...
4) Ministers alleged of corruption without any action by the Police, TAKUKURU....


I really fail to know why the president can not take any immediate ecision against the alleged corrupt ministers in his ministerial cabinet. Where is he getting all this confidence despite the pressure from people's power (the voice of majority MPs from all political parties)?
Conclusion: Probably he will take action, if he won’t do then there must be unbelievable forces behind what we superficially see. 2015 is far for him to end his term in such situation!
 
Back
Top Bottom