CCM inaongoza mpaka sasa Majimbo 4 yaliyofanya Uchaguzi kiporo wa Ubunge

Ushindi Daima

Member
May 4, 2013
92
27
Mpaka sasa jumla ya Majimbo 5 yamefanya uchaguzi kati ya Majimbo 7 ya Tanzania Bara na 1 la Zanzibar ambayo hayakufanya uchaguzi kutokana na sababu mbalimbali Tarehe 25 October 2015.

1. LULINDI-MTWARA

ACT 213
CCM 17715✔
CUF 714
NLD 1638

2. LUSHOTO-TANGA

ACT 375
CCM 19775✔
CDM 4402
CUF 350

3. ULANGA-MOROGORO

ACT 626
CCM 25902✔
CDM 10592

4. HANDENI MJINI-TANGA

ACT 194
CCM 12698✔
CDM 632
CUF 2522
TLP 13

5. ARUSHA MJINI-ARUSHA

ACT 359
CCM 34849
CDM 67250✔
CUF 96

Katika Majimbo haya 5 ni kwamba CCM imeshinda Majimbo 4 na CHADEMA 1.
CCM imepata jumla ya KURA 110939 na CHADEMA imepata KURA 82876 kwenye Majimbo yote 5 yaliyofanya uchaguzi ingawa katika Jimbo la Lulindi CHADEMA hawakusimamisha mgombea.
CCM ipo mbele kwa tofauti ya KURA 28663.

Majimbo ya MASASI na LUDEWA yanategemea kufanya uchaguzi wake Jumapili ya Tarehe 20 December 2015.

Hakika CCM inastahili pongezi na hata ushindi wa Dk Magufuli hauna tatizo katika matokeo ya Uchaguzi Mkuu kama ambavyo wapinzani wanadai.
 
Ccm siku zote wanaendelea kupoteza majimbo kwa kwa upinzani.... Fungua ubongo wewe mleta mada kwa kuwa once wao ndio waliokuwa wana majimbo yote Tanzania nzima.
 
....

....Mkuu mhurumie kipigo cha Arusha kimewachanganya !!!
 
Hapo kwenye red mbona unajihami?

Itoshe tu kusema mlikuwa mmepigwa mshukruni sana yule mzee mwenye mizizi kichwani!! Lakini hiyo dhambi itamwandama mpaka kaburini!!
 
....

....Mkuu mhurumie kipigo cha Arusha kimewachanganya !!!

.

✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌
 
Ccm siku zote wanaendelea kupoteza majimbo kwa kwa upinzani.... Fungua ubongo wewe mleta mada kwa kuwa once wao ndio waliokuwa wana majimbo yote Tanzania nzima.

Amaa Kweli Ujinga ni Maradhi Mabaya, Mleta mada kafanya kosa gani, ametupa updates, kama unauwezo wa kukosowa hizo data zake , basi tujuze. Lakini sio kuja na lugha za kikebehi.

Atakaye shinda ni mtanzania, na ata represent watanzania wote wa jimbo aliloshinda, au siku hizi kuna siasa za kuwa chama kitakoshindwa, basi wanachama wake watakuwa hawana haki kwenye hilo jimbo lilochagua upinzani???

Uchaguzi umeisha we are all Tanzanians and one family period, lets grow up
 
Kwa wale wanaosema kuna NEC Zanzibar, watwambie uchaguzi wa ubunge jimbo la Kijitoupele Zanzibar utafanyika lini?
 
Kwa tofauti hii ndogo ya Kura, naweza sema ccm imeporomoka. Pamoja na utumbuaji majipu woottee tofauti ya Kura kiduchu hivyo, tena kwa majimbo matano???? Kweli ccm is RIPing slowly.
 
Watanganyika ni walewale na bado wanaamini chama kimoja!!! Mkosamali alisema tuletewe consultant apime uwezo wetu wa kufikiri kama tutaichagua ccm tena mwaka huu. Na ndiyo kimetokea!!!!! Upinzani ufanye kazi ya ziada kipindi hiki ili ukabalike 2020!!!
Mpaka sasa jumla ya Majimbo 5 yamefanya uchaguzi kati ya Majimbo 7 ya Tanzania Bara na 1 la Zanzibar ambayo hayakufanya uchaguzi kutokana na sababu mbalimbali Tarehe 25 October 2015.

1. LULINDI-MTWARA

ACT 213
CCM 17715✔
CUF 714
NLD 1638

2. LUSHOTO-TANGA

ACT 375
CCM 19775✔
CDM 4402
CUF 350

3. ULANGA-MOROGORO

ACT 626
CCM 25902✔
CDM 10592

4. HANDENI MJINI-TANGA

ACT 194
CCM 12698✔
CDM 632
CUF 2522
TLP 13

5. ARUSHA MJINI-ARUSHA

ACT 359
CCM 34849
CDM 67250✔
CUF 96

Katika Majimbo haya 5 ni kwamba CCM imeshinda Majimbo 4 na CHADEMA 1.
CCM imepata jumla ya KURA 110939 na CHADEMA imepata KURA 82876 kwenye Majimbo yote 5 yaliyofanya uchaguzi ingawa katika Jimbo la Lulindi CHADEMA hawakusimamisha mgombea.
CCM ipo mbele kwa tofauti ya KURA 28663.

Majimbo ya MASASI na LUDEWA yanategemea kufanya uchaguzi wake Jumapili ya Tarehe 20 December 2015.

Hakika CCM inastahili pongezi na hata ushindi wa Dk Magufuli hauna tatizo katika matokeo ya Uchaguzi Mkuu kama ambavyo wapinzani wanadai.
 
hongera kwa tathmini iliyoenda shulee

Mpaka sasa jumla ya Majimbo 5 yamefanya uchaguzi kati ya Majimbo 7 ya Tanzania Bara na 1 la Zanzibar ambayo hayakufanya uchaguzi kutokana na sababu mbalimbali Tarehe 25 October 2015.

1. LULINDI-MTWARA

ACT 213
CCM 17715✔
CUF 714
NLD 1638

2. LUSHOTO-TANGA

ACT 375
CCM 19775✔
CDM 4402
CUF 350

3. ULANGA-MOROGORO

ACT 626
CCM 25902✔
CDM 10592

4. HANDENI MJINI-TANGA

ACT 194
CCM 12698✔
CDM 632
CUF 2522
TLP 13

5. ARUSHA MJINI-ARUSHA

ACT 359
CCM 34849
CDM 67250✔
CUF 96

Katika Majimbo haya 5 ni kwamba CCM imeshinda Majimbo 4 na CHADEMA 1.
CCM imepata jumla ya KURA 110939 na CHADEMA imepata KURA 82876 kwenye Majimbo yote 5 yaliyofanya uchaguzi ingawa katika Jimbo la Lulindi CHADEMA hawakusimamisha mgombea.
CCM ipo mbele kwa tofauti ya KURA 28663.

Majimbo ya MASASI na LUDEWA yanategemea kufanya uchaguzi wake Jumapili ya Tarehe 20 December 2015.

Hakika CCM inastahili pongezi na hata ushindi wa Dk Magufuli hauna tatizo katika matokeo ya Uchaguzi Mkuu kama ambavyo wapinzani wanadai.
 
Kwa wale wanaosema kuna NEC Zanzibar, watwambie uchaguzi wa ubunge jimbo la Kijitoupele Zanzibar utafanyika lini?

Kwa znz ni kigugumizi na mkanganyiko wa kisheria, kurudia uchaguzi wa jimbo wakati matokeo yote yamefutwa ni kituko. Maccm yalikurupuka sasa yanaona utata uliopo.
 
Jimbo moja raa rusha sawa na majimbo .80 Yale waliyo shinda magamba ccm upizani tunaringa miji muhimu tumeshinda Dr. Arusha...iringa. Mbeya Sumba wanga kagera.
 
Back
Top Bottom