CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

Kule anakotoka [ BANYAMBALA] huyu bwana sio watu wa kusukumwasukumwa na wajinga kwahiyo sidhani kuwa huu uzushi ni kweli!!
 
Mwakasege anaheshimika sana Arusha hawezi kukubali kutumika kisiasa isitoshe chama chenyewe CCM?

CCM hata wamsimamaishe nani still watashindwa manake Arusha wao hawaitaki CCM na sio wagombea wa CCM.
 
CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee

ovyo kabisa. Next time tumia akili. ulevi wa siasa mbaya sana!
 
Wewe kilaza kweli mm cdm damdam lakini kumuweka YESU KRISTO kama mfano unakosea sana omba radhi
 
[QUOTE=Baba V
NDUGU KIUKWELI CCM HATUIPENDI KUTOKANA NA MWENENDO WAKIUONGOZ WALIO JIWEKEA, KWELI NI WACHAFU NA HAITUFAI KABISA, NAKATIKA FIKRA ZETU TUNAEZA KUWAZA JUU YA KIUMBE CHOCHOTE KUTUMIKA NA CCM LAKIN SIO HUYU AMBAYE HATA WEWE HUMFAHAMU NI NANI KIUNDANI, YESU KRISTO, MI'NAKUOMBA KWA DHATI HUYO USIMUHUSISHE NA UJINGA WA ULIMWENGU KAMA HUU UKIMDHIHAKI, CCM,CDM,ARUSHA NA VYOTE UJUAVYO NI CHINI YAKE.
 
Mie sidhani CCM in watu wenge akili na hata kama wapo wengi wao hawana nafasi kwa sasa. Chama kimepoteza mwelekeo. CCM kama chama kilichopo madarakani kinahitaji kuperform ili sisi ambao hata hatuna chama tuone mabadiliko, otherwise they better stay out. We are tired! Natokea Arusha mjini. I am telling you people, hata CCM wakimleta malaika hawatapata. Watu wamechoka!!
 
Chadema watashinda Arusha kwa kumuweka mgombea yeyote, CCM kushinikiza Lema aenguliwe ni aibu kwao.
 
hata mumlete reignhard bonke lazima chadema ishinde!


Sikioni kile kitufe cha LIKE maana hii nimeipenda sana JB!
Huyu hawezi kamwe kukubali kurudia matapishi yake!
Ameshawahi kushikilia uongozi ngazi ya juu kwenye serikali ya awamu ya pili ya ufisadi ilikoanzia na alipoona Raia wananyanyaswa na serikali yake na ndipo alipoachia ngazi na akasema namtumikia Mwenyenzi MUNGU mpk mwisho wa uhai wake!

Huyu mtumishi anayejiita MWALIMU hakika hebu hawa mafisadi wamfuate na tutasikia majibu watakayorudi nayo.

Hakunaga siri chini ya jua! Tutasikia tu watakachojibiwa na huyu Mwalimu!
 
Chadema ni chama cha siasa ambacho leo kipo kesho chaweza toweka. Hii kufuru ya kusema kuwa hata nani aje (wengine waki imply hata Mungu) ni mbaya sana.
angalia msije mkapata pigo kutoka kwa Mungu kwa kufuru na majivuno haya.
kama Ribla na masada zilianguka basi muwe wanyenyekevu.
 
Mwakasege akichukua fomu ya CCM basi nitaamini yeye ni mganga wa kienyeji kama alivyo Prof Maji Marefu. Hakuna mtu wa mungu atakayeona CCM kinafaa. hakuna. Infact Mwakasege anatakiwa atoe tamko ama kukanusha hii habari au kuithibitisha maana kitendo cha jina lake kuhusishwa na ccm kinaniharibia imani yangu.
 
Kweli mfa maji haishi kutapatapa, CCM wanajaribu kila ramli kuona nani atawaokoa.
Nimemsikia mtu mmoja wa Arusha akisema watu wa arusha ni kama wa israel, hawawezi rudi misri kwa farao ccm
 
Yesu ni juu ya yote, ni mfalme wa wafalme, na ufalme wake si wa ulimwengu huu. Tafadhali tusikwazane..
 
sidhani kama mtumshi mwakasege anaweza kuingizwa mkenge na magamba yaani sana wakimfuata kumshawishi agombe atawaamia wapi magoti awaombe washindwe na hayo mawazo ya kumtaka agombee A.town usiongelee mambo ya magamba wewe sema peoplezzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Kama kweli ni mpango wa Mungu, hili litawezekana. Ila Mungu hajawahi kusimama pasipo haki. Na Kama kweli CCM ina hofu ya Mungu, tusingekuwa na mashaka katika yote yanayosimamiwa/ kufanywa na kutetewa nayo.
 
Back
Top Bottom