CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

CCM tuna hazina kubwa - by the way hatupigani kwa ajili ya kulichukuwa jimbo la Arusha mjini Bali maendeleo kwa wana-Arusha.
 
Mwl.Mwakasege hawezi kuwakubalia ccm,anajielewa sana mtumishi wa Mungu.ccm ni mashetani,anawajua!Hawezi kuwa kubalia hata kidogo
 
HII HABARI NI YA MWAKA 2012

Mwakasege hawezi kuingia kwenye Siasa achilia mbali kuwa mwanaCCM
 
Back
Top Bottom