Ccm inamiliki bunduki na mabomu

Dec

Member
Jul 13, 2011
66
26
Chama cha mapinduzi CCM kimedhihirishia umma wa watanzania kwamba wanatumia BUNDUKI MABOMU ktk kutawala na kuongoza nchi.

Makada wakuu wafuatao wamewai kutumia vibaya bunduki na mabomu yao-
  • AESHI HILAL,
  • ESTER BULAYA,
  • DITOPILE MZUZURI NA
  • ADEN RAGE.
Hawa ni baadhi tu ya makada walio lipotiwa kutumia vibaya bunduki zao kwa kutisha wananchi masikini wa Tanzania. Tunashangaa kusikia wao ndio watu wakwanza kusema Tanzania kuna amani! Je mbona wanatembea na mabomu na risasi nzito nzito za moto? Je kwanin wanatishia amani na usalama wa wananchi?

Tz hatupendi vita tafadhali wanyang'anywe BUNDUKI NA MABOMU.
 
Mukama alishasema wanaleta Makomando hakuwa na maana ya CDM maana magamba ni wepesi kusahau inawezekana alijua anawasilisha Agenda za mikutano yao ya ndani kumbe yupo kwenye Public Media.
,
 
Hawa politicians wasitupotezee muda jaman,,,,waachen na mambo zao,na sie tutafute ugali wetu
 
Hawa politicians wasitupotezee muda jaman,,,,waachen na mambo zao,na sie tutafute ugali wetu
Hututakuwa huru kuutafuta huo ugali wetu iwapo amani haitakuwepo na inavurugwa na viongozi tuliowachagua wenyewe
 
Chama cha mapinduzi ccm kimeziilishia umma wa watanzania kwamba wanatumia BUNDUKI MABOMU ktk kutawala na kuongoza nchi. Makada wakuu wafuatao wamewai kutumia vibaya bunduki na mabomu yao-AESHI HILAL ESTER BULAYA DITOPILE MZUZUL NA ADEN RAGE. Hawa ni baadhi tu ya makada walio lipotiwa kutumia vibaya bunduki zao kwa kutisha wananchi masikini wa tanzania. Tunashangaa kusikia wao ndio watu wakwanza kusema tanzania kuna amani! Je mbona wanatembea na mabomu na risasi nzito nzito za moto? Je kwanin wanatishia amani na usalama wa wananchi? Tz hatupendi vita tafadhari wanyang'anywe BUNDUKI NA MABOMU.

Wana kifaa kingine kinaitwa Zombe, wamekitetea kwa gharama ya kuifanyia vurugu hiki ya uhuru wa majaji kutoa hukumu.
Kada huyu wa ccm, hauwi tu bali anauwa na kupora mali.
.
 
wanasema, kufanikiwa,
"You either live within the system or with the system"
System ikiwa corrupt na wewe uende nayo hivyo.
Lakini - Watanzania wa leo tunata serikali yenye
msimamo, na si kufuata serikali kipofu.
 
Back
Top Bottom