CCM inajuhumiwa pakubwa! Swali je ninani anafanya hivi? Kwa maslahi gani?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
146,248
2,000
Pamoja na kwamba kidunia tunaambiwa adui yako mwombee njaa lakini kiimani tunafundishwa kumpenda adui kama nafsi zetu
Bila kujali CCM imeshindaje uchaguzi lakini ndio chama kilichopo madarakani kikiongoza serikali... Kwahiyo chama hiki kina impact kubwa kwa lolote linalotokea nchini liwe baya ama zuri.... CCM ikiyumba, tunayumba wote.... CCM ikiweza tunaweza wote... CCM ikiharibu, ikichemka, ikishindwa.... Vyovyote vile nasi kama taifa tutacheza mziki huohuo.... Kuna mahali ikibidi kuisaidia CCM basi tuisadie ili nasi tupate kupona.... Tupate kupona
Na kuboronga kwa hiki chama
Na aibu ya hiki chama
Na kushindwa kwa hiki chama
Na lawama za hiki chama
Na ufedhuli, fitina, majungu, roho mbaya nknk
Kuna hii ishu ya TAL, sijui kwanini chama kikubwa chenye wasomi, wataalamu, viongozi na wajuzi wa kila aina wenye uzoefu wa kutosha kabisa wameshindwa kwa umoja na ukubwa wao kui handle kwa akili, hekima, busara na werevu ili kuweza kwenda sawa na mirindimo ya TAL....
Chama hiki kina wasemaji wasomi
Chama hiki kina washauri makini
Chama hiki kina viongozi mashuhuri mpaka ngazi za kimataifa
Chama hiki kina watatuzi wa migogoro Kimataifa wanaoaminiwa na jumuiya za Kimataifa
Chama hiki kina kitengo cha propaganda
Sasa kinashindwa wapi? Kinafeli wapi? Mpaka kinawaachia vijana wachovu na barobaro mitandaoni kujibu hoja za TAL? Hawa vijana chama kimewaokota wapi? Wana hoja za kipuuzi hasa... Hawana akili, hawana fikra hawajui hata wanajibu nini... Zaidi ya kuanzisha nyuzi zilizojaa vituko, vijembe na upuuzi wa kila aina kumhusu TAL
Yaani hawa badala ya kukisaidia chama ndio wanazidi kukiumiza na kufanya kizidi kuchukiwa
Yani hawa badala ya kumshusha Lisu ndio kwanza wanazidi kumtangaza na kumpaisha... Viongozi wa chama wapo kimya... Wanaangalia tu vijana wanavyoharibu.. Hawawakemei wala kuwaelekeza namna bora ya kujibu makombora... Hoja kwa hoja.... Mjadala kwa mjadala... Point kwa point.....!!!
Aliyeunda hili kundi la mitandaoni anakihujumu chama na kukimaliza kwa staili ya aina yake... Je ni nani huyu? Ama ni nani hawa?
Ni wale walioachwa kwenye keki hii ya sasa?
Ni wale waliozibiwa mianya yao ya ulaji na upigaji chamani?
Ni wale CCM asilia? CCM kindakindaki? Ama CCM makinikia? Bila kuwasahau ccm maslahi.... Ni hawa? wanawalipa bei gani hawa vijana wasiojua hata matumizi ya herufi kubwa na ndogo? Matumizi ya sarufi, na hata ngeli za kiarifa? Hizi mada za kupambana na TAL wanaandika wenyewe ama wanaandikiwa? Je zinahakikiwa na yeyote kabla hazijapelekwa mitandaoni?
Kwa vyovyote afanyaye yote haya hatoki nje ya CCM ni mtu wa ndani kabisa.... Mzee baba GUTUKA...!!! kikulacho ki nguoni mwako.....!!!!!

Kidumu Chama cha Mapinduzi....!!!!!

Jr
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,776

Ni hoja zote wanajibu utumbo tu hii ya Lissu ndiyo wanakoleza moto, mkuu hebu pitia nyuzi za Mgambilwa ni mntu, au clips za musiba ni utumbo tu
 
tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,332
2,000
mshana jr ww ni mtu wa dini au niseme unajua mambo ya dini. kinachotokea sasa hivi ni mnara wa babeli!!

na kikubwa cha kukijua ni kwamba.
hakuna kazi ngumu kama kuutetea uovu.
na hakuna kazi ngumu kama kutenda dhambi.
wote watendao dhambi huzifanya gizani.

hili la TAL limewashika pabaya sababu waliwakabidhi washamba kuikamilisha misheni na sasa kujibu wameachiwa wale wale washamba maana ni weupe kichwani. wale wenye akili zao huogopa kuchafuka. neno lao ni moja tuu kama majibu kwa wenzao hawa wasiotumia akili nalo ni!!

MMEKITIA AIBU CHAMA NA SERIKALI SASA PAMBANENI WENYEWE TUKIJIINGIZA TUTAONEKANA WOTE WAJINGA KUPANGA MISSION YA HOVYO KAMA HII
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom