CCM inafeli kutekeleza ilani yake......

M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,132
Likes
1,577
Points
280
Age
51
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,132 1,577 280
Moja: Elimu.....Mikopo kwa elimu ya juu imefeli

Na Hali ni wazi kabisa kuwa TCU ni taasisi ya serikali na imechaguwa wanafunzi kujiunga chuo kikuu, ila HESLB ni taasisi ya serikali, wamekataa kutoa mikopo....WAMEFELI

Mbili: Afya.....Wamefeli....---MSD inawadai Serikali na bado dawa ni adimu hospitali nyingi mikoani...

Tatu: ajira.....Serikali imefeli..kila mtu anajua

nne: Kuongeza kipato cha wananchi...hakuna fursa kwa vijana na watanzania kwa ujumla....

Tano: Viwanda imefeli...Serikali haijabadili sera kuwezesha viwanda kufufuka....zile sababu zilizosababisha viwanda kufa bado zipo....Mfano...Umeme ghali, Makaa ya mawe ghali, gesi asili ghali.....Linganisha bei ya umeme Ethiopia na Tanzania, Ethiopian is cheaper

Sita: Kilimo: Kilimo imefeli.....hakuna tija....hakuna mikakati ya kuwezesha watanzania kufanya kilimo. Mashamba mengi makubwa Serikali imekumbatia na Mashamba mengi wamepewa wageni na vigogo...Watanzania wengi wanaitwa wavamizi..na kupigwa na FFU

Saba: Madini: Serikali imeshindwa kukusanya kodi, na nchi inaibiwa..Viongozi wa CCM wamewapa wageni machimbo na kodi hakuna. Watanzania wanapigwa mabomu na kuitwa wavamizi....Kama watanzania wanachimba dhahabu, waelimishwe na kupewa leseni....

nane: Utititi wa kodi...Mfano Mfanyakazi

Kodi ya PAYE

VAT ya bidhaa zote

VAT kutoa pesa ATM

VAT ya simu
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,620
Likes
18,001
Points
280
Age
19
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,620 18,001 280
mbona hufeli kila siku na serikali yake.swissme
 
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,132
Likes
1,577
Points
280
Age
51
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,132 1,577 280
Watanzania wote bila kujali chama au dini...mtanunua bidhaa ghali mpaka mkome

Tatizo la Viwanda ni kubwa na watanzania mmejionea aina ya viongozi mlio nao. Viongozi wa Tanzania hawajali wananchi wa maisha ya chini (aka Mtetezi wa wanyonge)....

Mifano iko mingi:

Sakata la sukari: sukari ilikuwa kawaida madukani bei 2000....serikali ikatia mdomo..angalieni sasa sukari madukani ni bei gani?

Mafuta ya kupikia: Alizeti ni bei sawa na Fresh.... 13500 tshs kwa lita 3.

Mafuta lita 3 yalikuwa ni 10000 mpaka 11,000

Kodi ilipandishwa July 2016.

VAT kwenye vocha: waziri mpango akasema makampuni ya simu yatalipa, ila sasa hivi wananchi wanalizwa..

Mikopo ya wanafunzi: watoto wa masikini wengi wamekosa vyuo, wako nyumbani wanangoja malaika ashuke (afunge mitandao ya jamii)...

Cementi: DANGOTE aliahidi kuuza cementi bei nzuri ya 8000 kwa mfuko, hata hivyo hakuweza. Pamoja na hayo DANgote amefanya cementi ipungue kwa 30%

Figusu figusu za Huyu Muhongo ni za ajabu sana......Muhongo angalia watanzania wanaishi kwenye nyumba za tembe, Dodoma, Morogoro, Shinyanga, Tanga vijijini

Hizo ni Ngome za CCM

Ilani ya CCM itakwama na Slogani ya Tanzania ya viwanda ni hadaa ya kupata kura
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
28,726
Likes
19,516
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
28,726 19,516 280
Weka vipengele vya Ilani na uvikosoe sio kutajataja majina tu...Magufuli aliahidi elimu bure kutoka msingi hadi form four...je elimu ni bure au la?

Kuhusu mikopo...kama wewe ni kilaza uliyefeli ukaenda chuo kama KIU kutegemea mkopo wa serikali imekula kwako.
 
M

Mgango

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Messages
2,345
Likes
1,040
Points
280
Age
61
M

Mgango

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2016
2,345 1,040 280
Mimi sijaiona hii. Macho yanauma
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,527
Likes
16,337
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,527 16,337 280
Tumieni redio zoooote na magazeti yooote msisahau na ma TV yooooooote museme kwa sauti kuuu ya kwamba:-

"ELIMU BURE MPAKA CHUO KIKUU SIYO SERA YA CCM, NI SERA YA UKAWA MLIOWANYIMA KURA"
Weka vipengele vya Ilani na uvikosoe sio kutajataja majina tu...Magufuli aliahidi elimu bure kutoka msingi hadi form four...je elimu ni bure au la?

Kuhusu mikopo...kama wewe ni kilaza uliyefeli ukaenda chuo kama KIU kutegemea mkopo wa serikali imekula kwako.
 
MR MAJANGA

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Messages
2,292
Likes
3,522
Points
280
MR MAJANGA

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2014
2,292 3,522 280
Mimi naona wamefanikiwa maana mpaka Leo Lema yupo ndani, tundu lissu na viongozi wengine wa upinzani wamewekwa ndani, kwa hiyo tegemea wakijinadi Wakati wa uchaguzi wamefanikiwa kuwadhibiti wapinzani
 
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Messages
6,818
Likes
1,680
Points
280
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined May 21, 2009
6,818 1,680 280
Ilani ni agenda tu chama kinakusudia kufanya nini.

Sera ni mkakati wenye maelezo ni namna gani agenda itafanikiwa kwa mipango inayoeleweka, budget inayofikika, watu wenye skills sahihi watakao simamia, control ya deviation, vipimo vya muda mfupi na mrefu, usimamizi wake wa nje, etc.

Hakuna evidence hizo ni kusema tu kesho tumetenga sh/b 20 ya budget ambazo not means tested halafu unalalama wamejitokeza wengi. Sasa ulitegemea nini au sijui tumezuia uagizaji wa dawa kwa sababu ya ufisadi kabla ya hata kuwa na mechanism in place ya new logistic ni kuunga unga tu as we go. Tatizo wataalamu.
 
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,132
Likes
1,577
Points
280
Age
51
M

MPadmire

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,132 1,577 280
Kodi inayokusanywa ni pesa za wananchi....Hao viongozi ni kama wahasibu tu wameajiriwa na wananchi kupangia majukumu kulingana na mahitaji..

Viongozi wa Tanzania wanatabia ya kujisahau na kuona eti kutimiza wajibu ni hisani kwa wananchi...

Bila kodi za wananchi, hivyo vitambiu mngepata wapi?

Kwa hiyo, wananchi wana haki ya kuhoji matumizi ya hizo pesa. Je Kwa nini wanafunzi wakose mikopo?

Watoto wa wanyonge wamekosa mikopo

Ipo misukule na vilazer wasio na akili hawajitambui.....Mtanzania akihoji kodi yake, misukule ya kule Lumumber inakuja na kashfa.
Come on.......Hujui thamani ya kodi unayolipa?
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,701
Likes
18,488
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,701 18,488 280
Watanzania wote bila kujali chama au dini...mtanunua bidhaa ghali mpaka mkome

Tatizo la Viwanda ni kubwa na watanzania mmejionea aina ya viongozi mlio nao. Viongozi wa Tanzania hawajali wananchi wa maisha ya chini (aka Mtetezi wa wanyonge)....

Mifano iko mingi:

Sakata la sukari: sukari ilikuwa kawaida madukani bei 2000....serikali ikatia mdomo..angalieni sasa sukari madukani ni bei gani?

Mafuta ya kupikia: Alizeti ni bei sawa na Fresh.... 13500 tshs kwa lita 3.

Mafuta lita 3 yalikuwa ni 10000 mpaka 11,000

Kodi ilipandishwa July 2016.

VAT kwenye vocha: waziri mpango akasema makampuni ya simu yatalipa, ila sasa hivi wananchi wanalizwa..

Mikopo ya wanafunzi: watoto wa masikini wengi wamekosa vyuo, wako nyumbani wanangoja malaika ashuke (afunge mitandao ya jamii)...

Cementi: DANGOTE aliahidi kuuza cementi bei nzuri ya 8000 kwa mfuko, hata hivyo hakuweza. Pamoja na hayo DANgote amefanya cementi ipungue kwa 30%

Figusu figusu za Huyu Muhongo ni za ajabu sana......Muhongo angalia watanzania wanaishi kwenye nyumba za tembe, Dodoma, Morogoro, Shinyanga, Tanga vijijini

Hizo ni Ngome za CCM

Ilani ya CCM itakwama na Slogani ya Tanzania ya viwanda ni hadaa ya kupata kura

Kwa hiyo umefurahishwa au umesikitishwa?
 
T

treborx

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,541
Likes
2,096
Points
280
T

treborx

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,541 2,096 280
Weka vipengele vya Ilani na uvikosoe sio kutajataja majina tu...Magufuli aliahidi elimu bure kutoka msingi hadi form four...je elimu ni bure au la?

Kuhusu mikopo...kama wewe ni kilaza uliyefeli ukaenda chuo kama KIU kutegemea mkopo wa serikali imekula kwako.
Mkuu, unajaribu kumkosoa jamaa with very weak points. think of something more stronger..
 
Forum statistics

Threads 1,274,097
Members 490,586
Posts 30,500,880