CCM inaendelea na mikutano ili Corona isambae?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,641
22,240
Wiki inayoishia tarehe 05/04 CCM imefanya mkutano miwili mkubwa mmoja Dodoma kumkaribisha Sumaye na mwingine Mara kuwakaribisha wanachama toka upinzani, ni dhahiri mkutano hii ingafanywa na wapinzani hatua za kuisambaratisha na kulaaniwa zingechukuliwa haraka sana lakini kwa kuwa ni CCM imesifiwa na kupongezwa! Je, tutaweza kuikabiri Corona kwa mtindo huu?
 
Wenye nchi ni CCM,
 
Vigezo na masharti vilizingatiwa!
 
Mbona bavichaa wamewakusanya waandishi wa habari kwenye kachumba kadogo ufipa juzi lakini husemi?
 
Back
Top Bottom