CCM ina resources zote za kuendelea kutawala Tanzania

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakuu.

Tupo Dodoma kushuhudia vikao na mikutano ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020.

Tayari tumewapata maRais kwa upande wa Zanzbar na pia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Dr. Hussein Ali Mwinyi na Dr. John Pombe Magufuli.

CCM ina resources nyingi sana za kuendelea kuongoza na kutawala hapa Tanzania :-

1. Wazee waasisi wa Taifa letu

2. Wanachama zaidi ya 40 mil

3. Ina sera na ilani inayogusa na kusolve matatizo ya wananchi

4. Ina pesa na mali

5. Ina uthubutu na maamuzi magumu hasa katika kupokezana vijiti katika uongozi. Hakuna mapapa.

6. Imetekeleza miradi mikubwa sana inayoonekana

7. Imezaliwa upya


Kwa ninayoyaona Dodoma , aisee wajipange hawa Upinzani.
 
Kungekuwa na tume huru ya uchaguzi,CCM ingekuwa ilishaondolewa zamani,Hilo ndilo linalowabeba
 
Bila vyombo vya dola ccm haipo. Hakuna marefu yasiokua na ncha, watakuja kapatikana viongozi wa dola Kama wa Malawi ambao walikataa kutumiwa na chama tawala
 
Iliyofanya miradi si CCM ni Serikali,
Serialiya Chadema au ACT inaweza kufanya makubwa kuliko hayo.
Act na Chadema wafanye makubwa yapi,wakati hata kujenga makao makuu ya chama hawawezi wanapanga miaka yote?
 
Back
Top Bottom