CCM ina nguvu lakini CHADEMA ina maarifa; watawala wanapaswa kuwa makini

Kwahiyo sabaya yupo romande kwa sababu ya chadema?????
Watanzania ni watu wa hovyo sanaa?
Sitaki kuamini kwamba NDUGAI alistahili kuwa speaker wa bunge la DARUSO enzi zile 2000s?
 
Baptist ukikuwa wapi?

Ok hayo maarifa yao yamewasaidia kufanikisha kitu gani?
Kufanikisha uwepo wao katikati ya nguvu za serekali, majeshi, bunge na dola vilivyotaka kuifuta lakini wakashindwa
 
Ccm ina nguvu kwa wajinga ambao ni wengi
1623627160694.png

CCM na WAJINGA
 
Wewe!

Huoni ushawishi alionao mama baada ya dhalimu wako kufariki?

Si unaona jinsi anavyotenda haki?

Si unaona ccm sasa ina ushawishi hadi miongoni mwa wana chadema,?

Huoni kila kona sasa ni makofi kwa mama?

Wewe ni mataga nini? Kwa nini unakashfu chama cha mama kinachotenda haki namna hii?

Kwa taarifa yako huyo mama hiyo ni roho yake wala usitake kumchanganya na tabia za kiccm. Kama ingekuwa ccm ina ushawishi wa hivyo, msingeruhusu dhalimu atumie tabia zake za kishenzi kuiendesha hiyo ccm. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea lile jitu liovu.
 
Back
Top Bottom