CCM ina hazina tele ya vijana

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
346
380
Ukifuatilia kauli za Nape Mnauye katika kampeni anazofanya, unaona kabisa kuwa CCM ina hazina ya vijana ambao wakilelewa vizuri ndani ya chama cha mapinduzi, Upinzani utachukua muda sana kusettle. Kama alivyosema mzee mmoja wa CCM (mkongwe) "Vijana kama hawa, CCM iwatunze. Mapungufu yao, waitwe wakosolewe, tuwe na moyo wa huruma kuwasamehe na kuwapa fursa tena wajenge zaidi chama"

Mtazame Mwigulu, January, Nape, Msukuma, Bashe, Kigwangala na wengineo. Hawa naamini wakipikwa vizuri na kuishi katika misingi ya Dr. John Pombe Magufuli, hii itakuwa timu yao ya ushindi miaka michache ijayo. Mh. Magufuli, wasamehe wanapokosea, waite waonye mwenyewe hawa. Unawamudu kabisa. Usiache wachukuliwe na upinzani watachafua hali ya hewa ndani ya chama chako. Binafsi, nawaombea mafanikio, ngoja niendelee kupambana na hali yangu.

Mungu ibariki Tanzania
 
Sasa ccm badala ya kuwajenga vijana wao wa ccm wanawanunua vijana waliojengwa na chadema, hii ina maana chadema wanajua kuwaandaa vijana
 
Ukifuatilia kauli za Nape Mnauye katika kampeni anazofanya, unaona kabisa kuwa CCM ina hazina ya vijana ambao wakilelewa vizuri ndani ya chama cha mapinduzi, Upinzani utachukua muda sana kusettle. Kama alivyosema mzee mmoja wa CCM (mkongwe) "Vijana kama hawa, CCM iwatunze. Mapungufu yao, waitwe wakosolewe, tuwe na moyo wa huruma kuwasamehe na kuwapa fursa tena wajenge zaidi chama"

Mtazame Mwigulu, January, Nape, Msukuma, Bashe, Kigwangala na wengineo. Hawa naamini wakipikwa vizuri na kuishi katika misingi ya Dr. John Pombe Magufuli, hii itakuwa timu yao ya ushindi miaka michache ijayo. Mh. Magufuli, wasamehe wanapokosea, waite waonye mwenyewe hawa. Unawamudu kabisa. Usiache wachukuliwe na upinzani watachafua hali ya hewa ndani ya chama chako. Binafsi, nawaombea mafanikio, ngoja niendelee kupambana na hali yangu.

Mungu ibariki Tanzania

Magufuli kagunduwa mwenyewe hawezi si alijifanya alienated mwenyewe kuchukua fomu mwambie hao vijana ni mitumba na wananchi wana hasira nao kweli
 
Tunaomba basi baada ya kuwachukua akina Katambi muache uchaguzi uwe huru bila polisi tuone jinsi watu wanavyoipenda CCM. Kama CCM inajiamini iache uwanja wa mapambano ya kura uwe huru ili tuone nani ni nani kati ya CCM na upinzani. Naamini CCM hawataamini kitakachotokea. Watapata kipido cha mbwa mwizi.
 
Hilo hawatathubutu kulifanya
 
Mkuu wewe unazungumzia upinzani gani? huu wa sasa au ujao?
 
Huu wa sasa ambao unaisumbua sana serikali ya ccm hadi kuamua kisaidiwa na polisi! Kwanini apige marufuku mikutano ya kisiasa kama hakuna upinzani wenye nguvu? Punguza kujidanganya!
 
Back
Top Bottom