CCM imezidi kupoteza umaarufu Arusha, ukifanyika uchaguzi sasa kitaambulia asilima 5 tu

Hivi Lema amepona huko gerezani nasikia jamaa wa huko wanakuwa nahamu kupindukia kutokana na kifungo akitokea mbaba mwenye umbo zuri kama mbunge wetu ni balaa tupu
 
hahahahaha wewe kweli unaota mchana, sasa mlishindwa nini kuchukua jimbo 2010? kwa arusha sasa mlisahau hilo jimbo

mkuu usiwe na muda wa kujibizana na vilaza kama mwana jamii. Unapoteza energy yako bure.
 
kikwete umezidi upole chunguza uraia wa Mbowe na Dr balaa sio watanzania

Hivi Lema amepona huko gerezani nasikia jamaa wa huko wanakuwa nahamu kupindukia kutokana na kifungo akitokea mbaba mwenye umbo zuri kama mbunge wetu ni balaa tupu

Lema atapoteza umaarufu

CCM itapata asilimia 68 hakuna wa kuizuia

umaarufu wa Mbowe unashuka Arusha alikimbia alipowaona polisi na kuwaacha kondoo wakikimbia kila mmoja na njia yake kusalimisha maisha, chadema imeshuka umaarufu Arusha kwa kitendo hiki

kuanzia jana CCM haina mpinzani Arusha Chadema wamekwisha tawanyika na kupotezana

kuunda jeshi upya sio kazi ndogo chadema hawana makamanda wa kuwaongoza kwa shida na raha

mtatumwa sana mwaka huu na hao mabibi zenu....imekuuma eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Lema aliiba kura kwa kushirikiana na tume ya uchaguzi Arusha leo uchaguzi ukirudiwa ataanguka

umaarufu wa CCM unaongezeka hapa jamiiforums na Tanzania nzima

katika siku za karibuni umaarufu wa CCM hapa JF umeongezeka

Kama kawaida ndani ya dakika 15 post 15, We ni noma!!!!!!!!!
nauliza tena unalipwa kwa IDADI YA POST?
 
Huyo jamaa anayewalipa hawa vilaza kulingana na idadi ya post zao namshauri abadili vigezo vya malipo haya kwani kapurwa hawa wakiwa wanawasilisha mawazo yao mengimengi kwa mfululizo wanajikuta wanawasilisha mapumba kwa sababu wanakuwa hawana muda wa kufikiri kabla ya kunena haya wanayoyanena kwani wanatawaliwa na papara juu ya malipo wanayotarajia kuingiza per day as green guard.
 
jaji mkuu,mwema na manumba watua arusha
ndugu zaungu wapiganaji hapa niko hoteli ya impala ambapo hao watu watatu niliowataja hapo juu naona wameingia mda si mrefu kuna ulinzi mkali sana,so habari za kuaminika kesho lema anatoka na kuelekea dodoma moja kwa moja bila hata kuongea na mke wake,kama anataka ataongea nae dodoma
 
May God bless,
Bless Godbless Lema.
 
Wadau: baada ya sakata la Arusha, wengi wanasema kuwa kukubalika kwa CCM mjini humo umezidi kushuka sana kiasi kwamba uchaguzi ukifanyika siku yoyote kuanzia leo CCM inaweza ikaambulia si zaidi ya asilimia tano ya kura zote!

Haya ndio mategemeo ya vijichama vya kiukoo. Wao hutegemea mkoa mmoja au miwili tu, wakaishikia na kuleta vurugu hata kwa jambo lisilohitajiwa vurugu ili mradi tu chama Tawala kitumie nguvu na kuonekana kama inanyanyasa wananchi wa mkoa/mikoa hiyo.

Hapo CHADEMA wanajiharibia sana kwani watathibitisha kwa wananchi kuwa ni chama cha Mikoa miwili tu yaani Arusha na Moshi. Kama CHADEMA imeenea nchi nzima kwanini hayo maandamano na vurugu zisitokee Kigoma, Dodoma, singida au Mrogoro?

Ndugu zanguni hayo ni mambo ya kupangwa na yapo kwenye ajenda za chama hicho. Tukidharau chama hiki na tukigeuzie mgongo.
 
Malaya ubongoni wewe si mzima .Ujinga wenu kuna siku utaliletea Taifa hili shida kubwa .Udini , ukabila , matumizi makubwa ya jeshi la polisi , iko siku mtajua uchungu nyie endeleeni na names calling nk .
 
Haya ndio mategemeo ya vijichama vya kiukoo. Wao hutegemea mkoa mmoja au miwili tu, wakaishikia na kuleta vurugu hata kwa jambo lisilohitajiwa vurugu ili mradi tu chama Tawala kitumie nguvu na kuonekana kama inanyanyasa wananchi wa mkoa/mikoa hiyo.

Hapo CHADEMA wanajiharibia sana kwani watathibitisha kwa wananchi kuwa ni chama cha Mikoa miwili tu yaani Arusha na Moshi. Kama CHADEMA imeenea nchi nzima kwanini hayo maandamano na vurugu zisitokee Kigoma, Dodoma, singida au Mrogoro?

Ndugu zanguni hayo ni mambo ya kupangwa na yapo kwenye ajenda za chama hicho. Tukidharau chama hiki na tukigeuzie mgongo.

Hahahaha ahahaha!!!!!!! naona mkuu kama kawa unaendelea kulipa fadhila!
 
Back
Top Bottom