Ccm imezeeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm imezeeka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngomo, Feb 6, 2011.

 1. Ngomo

  Ngomo Senior Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Chama cha mapinduzi kimekaa madarakani kwa muda mrefu mpaka umefika wakati mwenyekiti wake anakiri kwamba kimekosa mvuto kwa wananchi. Hii yote inathibitisha kwamba sasa CCM hakijui nini cha kufanya ila kujichukulia dola. kama watanzania tungekuwa na nia thabiti ya kukiondoa madarakani huu ndio wakati muafaka wa kuwaweka pembeni. Tusipowatoa sasa basi maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto tu. Kumbe kikwazo cha maisha bora ya kila mtanzania ni CCM na si vinginevyo
   
Loading...