Uchaguzi 2020 CCM imeshinda uchaguzi kuanzia kwenye uandishi wa ilani, wengine ilani ni za utani

Ukitaka kufanya analysis nzuri usiwe biased, mbona hujaongelea suala la kujenga Private sector-driven economy, pure market economy ambayo serikali ni regulator pekee, issue ya bima na matibabu ya defered payments kwa wasiokua na cash kwa utaratibu maalum.

Hii bias inakusaidia nini?

Btw ukubwa wa ilani sio tija ndio maana CCM pamoja na kurasa zote hizo wametekeleza 32% pekee.

Hata bajeti kivuli ilikua ndogo ili itekelezeke ila ya serikali kila mwaka ni Trillion 30+ ila utekelezaji haufiki hta Trillion 25!! Funny
 
IMG_20200901_104806.jpg
 
Yaani Leo ninaletewa barabara ya lami Isongole Kasumulu km 90.7 nishabikie Ilani za kulalamika?

Yaani Leo ninaletewa barabara ya Lami KK-Luswisi-Lubanda-Sange-Ubungu Km 56 nishabikie Ilani za kulialia?
Yaani Leo ninaletewa barabara ya lami mbalizi Shigamba nishabikie ilani za kulialia?

Ni kweli ni ache kushangilia barabara ya Iyula-Mlale- Itumba nianze kununu?

Lakini kweli hujaona mapinduzi makubwa ya Hospital zetu za Ibaba, Lubanda, Isoko na Itumba?

Hujaona mapinduzi ya Elimu Wilayani kwetu?

Leo acha nishabikie CCM kwani Wilaya yetu sasa naona tunakimbia. Vijiji 64 kati ya 71 vimeshawashwa Umeme.

Au utaghendite nakamu mukaya?
Shemeji uelewa wako mdogo sana! Hivi umeona kwenye ilani za wapinzani hakuna kitu miundombinu? Yaani wewe unaona ni fadhila ya CCM hiyo? Hovyo kabisa shemeji!
 
Tume ikiwa huru, CCM hata ikisimama na gunia la viazi mbatata ambalo halina ilani na kampeni haliwezi piga bado tu gunia la viazi mbatata litaibuka kidedea!
Yaaah ni vizuri kupata commets kama hizi humu JF ili kusaidia kuelewana na kuondoa seriousness all the time. Asante Blac kid lete vichekesho vingine.
 
Yaaah ni vizuri kupata commets kama hizi humu JF ili kusaidia kuelewana na kuondoa seriousness all the time. Asante Blac kid lete vichekesho vingine.

Hivi unaona ni vichekesho ??? Kumbuka ule uchaguzi wa marehani kule Pemba na hiyo Tume yenu ya Lumumba , mliambulia nini ???? sifuri ,0
 
Yaaah ni vizuri kupata commets kama hizi humu JF ili kusaidia kuelewana na kuondoa seriousness all the time. Asante Blac kid lete vichekesho vingine.
We unaona ni vichekesho lkn ndugai Leo akisikia NEC wamebandika jina lolote hata kama viazi ili ashindane nalo, nakwambia hivi ataanguka na presha yule Mzee
 
Yaani Leo ninaletewa barabara ya lami Isongole Kasumulu km 90.7 nishabikie Ilani za kulalamika?

Yaani Leo ninaletewa barabara ya Lami KK-Luswisi-Lubanda-Sange-Ubungu Km 56 nishabikie Ilani za kulialia?
Yaani Leo ninaletewa barabara ya lami mbalizi Shigamba nishabikie ilani za kulialia?

Ni kweli ni ache kushangilia barabara ya Iyula-Mlale- Itumba nianze kununu?

Lakini kweli hujaona mapinduzi makubwa ya Hospital zetu za Ibaba, Lubanda, Isoko na Itumba?

Hujaona mapinduzi ya Elimu Wilayani kwetu?

Leo acha nishabikie CCM kwani Wilaya yetu sasa naona tunakimbia. Vijiji 64 kati ya 71 vimeshawashwa Umeme.

Au utaghendite nakamu mukaya?
Hapa umekili kuwa ndani ya miaka 43 toka Chama hiki kizaliwe na kishike hatamu hivi vyote havijawahi kuletwa ila ni ahadi tu.kiswahili chako kingekua tuliletewa na sio ninaletewa...hizo ni ahadi ndani ya 43 years!!utanyelite Ubhukomu gwenyachala kujugashe ubhumiashe!! Baada ya kuwapa kura watasepa kama walivyoahidi 50m kila kijiji Sasa walipeleka?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ajira mil 8 ni moja ya ahadi!Hebu tuambieni miaka 5 iliyopita mmetengeneza ajira ngapi?
 
Wao ni kama mbwa anayemnyatia binadamu anayetembea akitegemea atadondosha mkono aokote!

Ndiyo maana hata uteuzi wa wagombea wanangojea CCM itangaze kisha waokote waliotoswa!

Na Ilani walitegea CCM itoe, wakishaisoma waone matobo kisha watunge yao yenye mwelekeo wa kukosoa. Kushtuka, ya CCM imeshona na haina matobo, kwa nini wasipaniki!
 
Back
Top Bottom