CCM imepoteza ushawishi wa makundi muhimu ya kijamii

kwa maoni yangu chama changu kipenzi kinaendelea kupoteza ushawishi wa makundi muhimu kijamii.
Ilianza kwa kugombana na wafanyakazi wote kwa kuwaita mbayuwayu,ikifuatia madaktari kwa kumteka na kumtesa Ulimboka,ikaendelea kwa kukwakurazana na walimu na kuamua kuwanyima kusimamia zoezi la sensa na baadaye imeingia kubaya kwa kufungia gazeti la mwanahalisi na kumuua mwandishi wa chanel ten.
Ni hakika sasa ccm imefikia nyakati za mwisho.mwenye macho na ajionee,mwenye masikio...

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Time will tell!Njaa hainaga mbabe!
Wote tutakutana mtaani!
 
kwa maoni yangu chama changu kipenzi kinaendelea kupoteza ushawishi wa makundi muhimu kijamii.
Ilianza kwa kugombana na wafanyakazi wote kwa kuwaita mbayuwayu,ikifuatia madaktari kwa kumteka na kumtesa Ulimboka,ikaendelea kwa kukwakurazana na walimu na kuamua kuwanyima kusimamia zoezi la sensa na baadaye imeingia kubaya kwa kufungia gazeti la mwanahalisi na kumuua mwandishi wa chanel ten.
Ni hakika sasa ccm imefikia nyakati za mwisho.mwenye macho na ajionee,mwenye masikio...

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
.....
.....laana itawaangamiza
 
Umeanza kukomaa kifikra
 
Jingalao siku hizi ameingizwa kwenye pay roll ya buku 7 ya Lumumba.Kesha jitoa ufahamu tayari!
 
Back
Top Bottom