CCM imepoteza ushawishi wa makundi muhimu ya kijamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imepoteza ushawishi wa makundi muhimu ya kijamii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jingalao, Sep 2, 2012.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 14,472
  Likes Received: 6,144
  Trophy Points: 280
  kwa maoni yangu chama changu kipenzi kinaendelea kupoteza ushawishi wa makundi muhimu kijamii.
  Ilianza kwa kugombana na wafanyakazi wote kwa kuwaita mbayuwayu,ikifuatia madaktari kwa kumteka na kumtesa Ulimboka,ikaendelea kwa kukwakurazana na walimu na kuamua kuwanyima kusimamia zoezi la sensa na baadaye imeingia kubaya kwa kufungia gazeti la mwanahalisi na kumuua mwandishi wa chanel ten.
  Ni hakika sasa ccm imefikia nyakati za mwisho.mwenye macho na ajionee,mwenye masikio...


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 2. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 14,472
  Likes Received: 6,144
  Trophy Points: 280
  hala hala tusije poteza udhibiti wa majeshi yetu!  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 3. m

  markj JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,750
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  bora nchi ipinduliwe tujue moja tu!
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 874
  Trophy Points: 280
  And this marks the continuation of its downfall!!!!
   
 5. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2013
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 14,472
  Likes Received: 6,144
  Trophy Points: 280
  naona matusi na udhalilishaji wa viongozi wa dini vimeanza.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 6. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2013
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 22,341
  Likes Received: 27,708
  Trophy Points: 280
  Na sasa inaanza kukorofishana na viongozi wa dini!

  Simmesikia majibu ya polisi kwa Pengo?

  Kwa waislamu pia hali si shwari.

  Tusubiri hatima yao.
   
 7. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,322
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mungu aepushie mbali
   
 8. mayuni

  mayuni JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2013
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  dont regret 4 what you plan 4
   
Loading...