Ccm imepoteza hekima na busara na kubaki na kauli

Jan 16, 2007
721
176
Hekima na busara ni kitu muhimu kwa binadamu,kinapokosekana kwa binadamu ufanya vitu vya ajabu,hasa inapotokea kwa binadamu huyo kupoteza hekima na busara na kubaki na kauli.Hili limetokea kwa CCM ushahidi na kipimo ni kauli za viongozi wake.Kauli zao tumezizoea,lakini hizi za sasa baada ya kutangaza kujivua magamba zimetia fora.Kila dakika tunasikia kauli za viongozi hao zisizo na kichwa miguu wala mantiki zinazopingana zenyewe kwa zenyewe.Kauli hizi zinatoka kinywani ni vigumu kuamini kua zinatoka kichwani tunaweza kuziita "UHARO WA MDOMO"Waungwana walinene"Muungwana akinyang'anywa nguo huchutama"
"CCM MMEPOTEZA HEKIMA NA BUSARA NA KUBAKI NA KAULI"HILI NI HATARI KWA TAIFA!!!!!!!!!!!
 
huo ndo ukwel!ndo kufa kwake hivo!taaratibu itabakia kuwa chama pinzan
 
Back
Top Bottom