CCM imepasuka vipande viwili, nchi inapita kipindi kigumu kuliko wakati wowote. Wastahafu liokoeni Taifa

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,042
2,000
Iwe chadema, NCCR, CUF na ACT wazalendo. Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya CCM. Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu)

Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda nchi, wananchi,viongozi wa chama tawala na viongozi was juu nchi kwa umuhimu mkubwa.

Hali so shwari kwa Sasa ndani ya ccm( chama tawala). Kuna makundi mawili
1. Kundi la marehemu magufuli, hili linajiona Lina haki ya kuendesha nchi kwa kusimama na ubabe, kejeri zilezile za magufuli kwa wanaompinga. (Fuatilie bunge) Kundi hili magufuli angali akiishi mioyoni mwao na huenda wanaamini kuwa amesafiri tu na
akirudi akute wakiendeleza kazi zake. Haliko tayari kuamini ktk kuongozwa na Rais yeyote licha ya mwanamke.

2. Kundi la Rais Samia suluhu Hili nilichoshwa na ubabe wa magufuli, Kundi hili ni Kama lilitengwa na aliyekuwa mwenyekiti wa chama, kundi hili lilishindwa kukosoa kabla ya kifo cha Magufuli lilihofia usalama wao na waliokosoa Atuliwaona wakienda kupiga magoti.
Kundi hili kwasasa limefungua vinywa kusema yaliyojaza mioyo yao.

SWALI
Vyombo vya dola visimame wapi?
Kwa muktadha huu,vyombo vyombo hivi vikilalia upande was kundi la Kwanza itakuwa Zimbabwe ya pili,hapo ndipo penye hatari

Kwa mitafaruku Kama hii maadui wa nchi hasa walioko nje,hutumia moja ya pande zilizofarakana kutoa ufadhiri was siraha au fedha ili nchi isitawalike na umwagaji wa damu utokee.

NASHAURI
Viongozi wa juu wastahafu waingilie Kati ili kuinusuru nchi
AMA RAIS AVUNJE BUNGE NA BARAZA LA MAWAZIRI TURUDI KWENYE UCHAGUZI
NA HII ITAKUWA DAWA YA HUU MPASUKO WA CCM.
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
4,062
2,000
Dunia uwanja wa fujo mwache kila mwenye ngoma yake acheze mpaka ipasuke.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,208
2,000
Sizani kama kuna kundi la Magufuli

Magufuli alikufa na falsafa zake kama ilivyokuwa kwa Nyerere na Ben

Tanzania kwa sasa ni sehemu salama zaidi

Na katika kipindi ccm watakuwa wamoja ni kipindi hiki

Tuendelee kuwepo ila kitabu cha Magufuli kimefungwa na hakuna mtu timamu ataendelea kujipendekeza kwa mtu alifeli kiuchumi na kudondoka.
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
6,949
2,000
Hii nidhana ya wapinga maendeleo ambao wangependa au walikuwa wana a mini serikali ya ccm ya awamu zilizopita itakuwa kama ya awamu ya tano. Sasa awamu ya sita ndio inasubiriwa kuonyesha muelekeo wa miradi ya awamu ya kabla ya awamu ya tano dhidi ya miradi ya awamu ya tano iwe ya Bandari, umeme, n.k
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
9,731
2,000
Kuanguka kwa CCM hakuwezi kuiweka nchi katika sehemu ngumu. Vyama vingi katika nchi zao na maisha yaliendelea tu. Wastaafu hawahitajiki
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
27,631
2,000
Kuanguka kwa CCM hakuwezi kuiweka nchi katika sehemu ngumu. Vyama vingi katika nchi zao na maisha yaliendelea tu. Wastaafu hawahitajiki
Hakika Maisha yataendelea mimi nakumbuka Kifo cha Mwalimu tuliingiwa na taharuki tukawa tunajisemea "Jamani tutakuwa Wageni wa nani sisi Watanzania"
 
MNFUMAKOLE

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
1,026
2,000
Iwe chadema, nccr, cuf na Act wazalendo.
Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya ccm.
Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu)

Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda nchi, wananchi,viongozi wa chama tawala na viongozi was juu nchi kwa umuhimu mkubwa.

Hali so shwari kwa Sasa ndani ya ccm( chama tawala)
Kuna makundi mawili
1. Kundi la marehemu magufuli, hili linajiona Lina
haki ya kuendesha nchi kwa kusimama na
ubabe, kejeri zilezile za magufuli kwa
wanaompinga. ( Fuatilie bunge)
Kundi hili magufuli angali akiishi mioyoni mwao
na huenda wanaamini kuwa amesafiri tu na
akirudi akute wakiendeleza kazi zake.
Haliko tayari kuamini ktk kuongozwa na
na Rais yeyote licha ya mwanamke.

2. Kundi la Rais Samia suluhu
Hili nilichoshwa na ubabe wa magufuli,
Kundi hili ni Kama lilitengwa na aliyekuwa
mwenyekiti wa chama, kundi hili lilishindwa
kukosoa kabla ya kifo cha magufuli
lilihofia usalama wao na waliokosoa
Atuliwaona wakienda kupiga magoti.
Kundi hili kwasasa limefungua vinywa
kusema yaliyojaza mioyo yao.
SWALI
Vyombo vya dola visimame wapi?
Kwa muktadha huu,vyombo vyombo hivi vikilalia upande was kundi la Kwanza itakuwa Zimbabwe ya pili,hapo ndipo penye hatari

Kwa mitafaruku Kama hii maadui wa nchi hasa walioko nje,hutumia moja ya pande zilizofarakana kutoa ufadhiri was siraha au fedha ili nchi isitawalike na umwagaji wa damu utokee.

NASHAURI
Viongozi wa juu wastahafu waingilie Kati ili kuinusuru nchi
AMA RAIS AVUNJE BUNGE NA BARAZA LA MAWAZIRI TURUDI KWENYE UCHAGUZI
NA HII ITAKUWA DAWA YA HUU MPASUKO WA CCM.

MODS MNAFUTA MABANDIKO YANGU,MNATAKA NIANDIKE NINI?
Hili hawajafuta mkuu!!
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
1,694

Mkuu point yako ya mwisho ina mashiko, Sana nimesema Sana Hili kwamba ili mh SSH RAIS kuweka Mambo sawa ni kulifunja bunge
 
jailos mrisho

Senior Member
Aug 22, 2012
170
500
Iwe chadema, nccr, cuf na Act wazalendo.
Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya ccm.
Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu)

Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda nchi, wananchi,viongozi wa chama tawala na viongozi was juu nchi kwa umuhimu mkubwa.

Hali so shwari kwa Sasa ndani ya ccm( chama tawala)
Kuna makundi mawili
1. Kundi la marehemu magufuli, hili linajiona Lina
haki ya kuendesha nchi kwa kusimama na
ubabe, kejeri zilezile za magufuli kwa
wanaompinga. ( Fuatilie bunge)
Kundi hili magufuli angali akiishi mioyoni mwao
na huenda wanaamini kuwa amesafiri tu na
akirudi akute wakiendeleza kazi zake.
Haliko tayari kuamini ktk kuongozwa na
na Rais yeyote licha ya mwanamke.

2. Kundi la Rais Samia suluhu
Hili nilichoshwa na ubabe wa magufuli,
Kundi hili ni Kama lilitengwa na aliyekuwa
mwenyekiti wa chama, kundi hili lilishindwa
kukosoa kabla ya kifo cha magufuli
lilihofia usalama wao na waliokosoa
Atuliwaona wakienda kupiga magoti.
Kundi hili kwasasa limefungua vinywa
kusema yaliyojaza mioyo yao.
SWALI
Vyombo vya dola visimame wapi?
Kwa muktadha huu,vyombo vyombo hivi vikilalia upande was kundi la Kwanza itakuwa Zimbabwe ya pili,hapo ndipo penye hatari

Kwa mitafaruku Kama hii maadui wa nchi hasa walioko nje,hutumia moja ya pande zilizofarakana kutoa ufadhiri was siraha au fedha ili nchi isitawalike na umwagaji wa damu utokee.

NASHAURI
Viongozi wa juu wastahafu waingilie Kati ili kuinusuru nchi
AMA RAIS AVUNJE BUNGE NA BARAZA LA MAWAZIRI TURUDI KWENYE UCHAGUZI
NA HII ITAKUWA DAWA YA HUU MPASUKO WA CCM.

MODS MNAFUTA MABANDIKO YANGU,MNATAKA NIANDIKE NINI?
Hii thread yako tu inaonesha ww pia uko kwenye kundi la kwanza..hivyo bas sichelei kusema wewe pia u mnafk kama hao wengine.
Pili nikutoe ujinga tu hapo kwenye hayo makundi mawil..hakuna kundi la mama samia hapo, kundi la pili ni la msoga ambalo linajipendekeza kwa mama samia..
Kwa hiyo wewe ni kundi msoga unaejipendekeza kwa mama samia asie na makundi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom