CCM imepasuka vipande viwili, nchi inapita kipindi kigumu kuliko wakati wowote. Wastaafu liokoeni Taifa

Iwe chadema, nccr, cuf na Act wazalendo.
Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya ccm.
Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu)

Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda nchi, wananchi,viongozi wa chama tawala na viongozi was juu nchi kwa umuhimu mkubwa.

Hali so shwari kwa Sasa ndani ya ccm( chama tawala)
Kuna makundi mawili
1. Kundi la marehemu magufuli, hili linajiona Lina
haki ya kuendesha nchi kwa kusimama na
ubabe, kejeri zilezile za magufuli kwa
wanaompinga. ( Fuatilie bunge)
Kundi hili magufuli angali akiishi mioyoni mwao
na huenda wanaamini kuwa amesafiri tu na
akirudi akute wakiendeleza kazi zake.
Haliko tayari kuamini ktk kuongozwa na
na Rais yeyote licha ya mwanamke.

2. Kundi la Rais Samia suluhu
Hili nilichoshwa na ubabe wa magufuli,
Kundi hili ni Kama lilitengwa na aliyekuwa
mwenyekiti wa chama, kundi hili lilishindwa
kukosoa kabla ya kifo cha magufuli
lilihofia usalama wao na waliokosoa
Atuliwaona wakienda kupiga magoti.
Kundi hili kwasasa limefungua vinywa
kusema yaliyojaza mioyo yao.
SWALI
Vyombo vya dola visimame wapi?
Kwa muktadha huu,vyombo vyombo hivi vikilalia upande was kundi la Kwanza itakuwa Zimbabwe ya pili,hapo ndipo penye hatari

Kwa mitafaruku Kama hii maadui wa nchi hasa walioko nje,hutumia moja ya pande zilizofarakana kutoa ufadhiri was siraha au fedha ili nchi isitawalike na umwagaji wa damu utokee.

NASHAURI
Viongozi wa juu wastahafu waingilie Kati ili kuinusuru nchi
AMA RAIS AVUNJE BUNGE NA BARAZA LA MAWAZIRI TURUDI KWENYE UCHAGUZI
NA HII ITAKUWA DAWA YA HUU MPASUKO WA CCM.

MODS MNAFUTA MABANDIKO YANGU,MNATAKA NIANDIKE NINI?
Ndani ya CCM kuna demokrasia ya kweli. Watu tunatofautiana na mwisho wa siku tunafikia mwafaka. Tunasonga mbele! Tofautiana na Mbowe ndani ya Chadema uone kama utabaki salama!
 
Iwe chadema, nccr, cuf na Act wazalendo.
Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya ccm.
Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu)

Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda nchi, wananchi,viongozi wa chama tawala na viongozi was juu nchi kwa umuhimu mkubwa.

Hali so shwari kwa Sasa ndani ya ccm( chama tawala)
Kuna makundi mawili
1. Kundi la marehemu magufuli, hili linajiona Lina
haki ya kuendesha nchi kwa kusimama na
ubabe, kejeri zilezile za magufuli kwa
wanaompinga. ( Fuatilie bunge)
Kundi hili magufuli angali akiishi mioyoni mwao
na huenda wanaamini kuwa amesafiri tu na
akirudi akute wakiendeleza kazi zake.
Haliko tayari kuamini ktk kuongozwa na
na Rais yeyote licha ya mwanamke.

2. Kundi la Rais Samia suluhu
Hili nilichoshwa na ubabe wa magufuli,
Kundi hili ni Kama lilitengwa na aliyekuwa
mwenyekiti wa chama, kundi hili lilishindwa
kukosoa kabla ya kifo cha magufuli
lilihofia usalama wao na waliokosoa
Atuliwaona wakienda kupiga magoti.
Kundi hili kwasasa limefungua vinywa
kusema yaliyojaza mioyo yao.
SWALI
Vyombo vya dola visimame wapi?
Kwa muktadha huu,vyombo vyombo hivi vikilalia upande was kundi la Kwanza itakuwa Zimbabwe ya pili,hapo ndipo penye hatari

Kwa mitafaruku Kama hii maadui wa nchi hasa walioko nje,hutumia moja ya pande zilizofarakana kutoa ufadhiri was siraha au fedha ili nchi isitawalike na umwagaji wa damu utokee.

NASHAURI
Viongozi wa juu wastahafu waingilie Kati ili kuinusuru nchi
AMA RAIS AVUNJE BUNGE NA BARAZA LA MAWAZIRI TURUDI KWENYE UCHAGUZI
NA HII ITAKUWA DAWA YA HUU MPASUKO WA CCM.

MODS MNAFUTA MABANDIKO YANGU,MNATAKA NIANDIKE NINI?
Unamawazo ya hovyo sana, ivi kwajinsi ulivyoona kwaakiliyako kurudi kwenye uchaguzi ndio dawa ya kumaliza hayo makundi kama yapo?.

Hujui uchaguzi ndio utafanya mambo kuwa ma gumu, alafu nani aliekuambia ccm kuna vurugu, kwanini mnapenda kupiga ramli chinganishi.
 
Iwe chadema, nccr, cuf na Act wazalendo.
Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya ccm.
Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu)

Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda nchi, wananchi,viongozi wa chama tawala na viongozi was juu nchi kwa umuhimu mkubwa.

Hali so shwari kwa Sasa ndani ya ccm( chama tawala)
Kuna makundi mawili
1. Kundi la marehemu magufuli, hili linajiona Lina
haki ya kuendesha nchi kwa kusimama na
ubabe, kejeri zilezile za magufuli kwa
wanaompinga. ( Fuatilie bunge)
Kundi hili magufuli angali akiishi mioyoni mwao
na huenda wanaamini kuwa amesafiri tu na
akirudi akute wakiendeleza kazi zake.
Haliko tayari kuamini ktk kuongozwa na
na Rais yeyote licha ya mwanamke.

2. Kundi la Rais Samia suluhu
Hili nilichoshwa na ubabe wa magufuli,
Kundi hili ni Kama lilitengwa na aliyekuwa
mwenyekiti wa chama, kundi hili lilishindwa
kukosoa kabla ya kifo cha magufuli
lilihofia usalama wao na waliokosoa
Atuliwaona wakienda kupiga magoti.
Kundi hili kwasasa limefungua vinywa
kusema yaliyojaza mioyo yao.
SWALI
Vyombo vya dola visimame wapi?
Kwa muktadha huu,vyombo vyombo hivi vikilalia upande was kundi la Kwanza itakuwa Zimbabwe ya pili,hapo ndipo penye hatari

Kwa mitafaruku Kama hii maadui wa nchi hasa walioko nje,hutumia moja ya pande zilizofarakana kutoa ufadhiri was siraha au fedha ili nchi isitawalike na umwagaji wa damu utokee.

NASHAURI
Viongozi wa juu wastahafu waingilie Kati ili kuinusuru nchi
AMA RAIS AVUNJE BUNGE NA BARAZA LA MAWAZIRI TURUDI KWENYE UCHAGUZI
NA HII ITAKUWA DAWA YA HUU MPASUKO WA CCM.

MODS MNAFUTA MABANDIKO YANGU,MNATAKA NIANDIKE NINI?
Hilo kundi ambalo bado wanaamini kuwa meko bado yupo ni kundi dogo sana na ndio maana CDF, alishawaambia!!wananchi wengi tuko upande wa mama.Hapo inatakiwa tu Mama awatoleee uvivu tu, wao wanafikiria huyu mama amemshikia tu jamaa!!hii ni awamu ya sita , ni jukumu lake kufanya nini na kuacha nini.
 
Viongozi wa juu wastahafu waingilie Kati ili kuinusuru nchi
AMA RAIS AVUNJE BUNGE NA BARAZA LA MAWAZIRI TURUDI KWENYE UCHAGUZI
NA HII ITAKUWA DAWA YA HUU MPASUKO WA CCM.

PENGINE UNGEWATAJA HAO VIONGOZI WA JUU WASTAAFU UNAODHANI WATASAIDIA HUKO UNAKOKUITA MPASUKO WA NCHI!!

KWA BAHATI MBAYA HAO UNAODHANI WANAWEZA KUSAIDIA NAO WAMEGAWANYIKA KATI YA HAYO MAKUNDI MAWILI!! MZEE MWINYI NA BUSARA ZAKE ZOTE NI MTU MZIMA SASA SIDHANI KAMA ATAKUWA NA MSAADA SANA. KIKWETE USIMTEGEMEE KAMA ANAWEZA KUWA MSULUHISHI KWANI ANAFAHAMIKA YUKO WAPI KATI YA HAYO MAKUNDI MAWILI!!! HAPO AMEBAKIA MZEE WA MAFAILI [ MZEE MANGULLA] PEKE YAKE KATIKA VIONGOZI WA CCM AMBAE HANA KUNDI!
 
Iwe chadema, NCCR, CUF na ACT wazalendo. Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya ccm. Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu)

Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda nchi, wananchi,viongozi wa chama tawala na viongozi was juu nchi kwa umuhimu mkubwa.

Hali so shwari kwa Sasa ndani ya ccm( chama tawala). Kuna makundi mawili
1. Kundi la marehemu magufuli, hili linajiona Lina haki ya kuendesha nchi kwa kusimama na ubabe, kejeri zilezile za magufuli kwa wanaompinga. (Fuatilie bunge) Kundi hili magufuli angali akiishi mioyoni mwao na huenda wanaamini kuwa amesafiri tu na
akirudi akute wakiendeleza kazi zake. Haliko tayari kuamini ktk kuongozwa na Rais yeyote licha ya mwanamke.

2. Kundi la Rais Samia suluhu Hili nilichoshwa na ubabe wa magufuli, Kundi hili ni Kama lilitengwa na aliyekuwa mwenyekiti wa chama, kundi hili lilishindwa kukosoa kabla ya kifo cha Magufuli lilihofia usalama wao na waliokosoa Atuliwaona wakienda kupiga magoti.
Kundi hili kwasasa limefungua vinywa kusema yaliyojaza mioyo yao.

SWALI
Vyombo vya dola visimame wapi?
Kwa muktadha huu,vyombo vyombo hivi vikilalia upande was kundi la Kwanza itakuwa Zimbabwe ya pili,hapo ndipo penye hatari

Kwa mitafaruku Kama hii maadui wa nchi hasa walioko nje,hutumia moja ya pande zilizofarakana kutoa ufadhiri was siraha au fedha ili nchi isitawalike na umwagaji wa damu utokee.

NASHAURI
Viongozi wa juu wastahafu waingilie Kati ili kuinusuru nchi
AMA RAIS AVUNJE BUNGE NA BARAZA LA MAWAZIRI TURUDI KWENYE UCHAGUZI
NA HII ITAKUWA DAWA YA HUU MPASUKO WA CCM.

MODS MNAFUTA MABANDIKO YANGU,MNATAKA NIANDIKE NINI?

Hakuna jambo litakuwa la afya kama hilo genge haramu liitwalo ccm litagawanyika. Namna pekee ya nchi hii kupata katiba mpya, na kuanza tukiwa na mabadiliko ya kweli, ni hilo genge ovu liitwalo ccm kupasuka. Kitendo cha Magufuli kuwa rais na kufanya aliyoyafanya kiutawala, kisha kufia madarakani, kuna mapenzi ya Mungu ambayo anataka taifa hili lifikie. Tuchukue mwaka huu kisha utaona nini kitalikumba hilo genge haramu la ccm.
 
Back
Top Bottom