Elections 2010 Ccm imekula jasho la watanzania sasa inataka kunywa damu

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Chondechonde viongozi wa ccm tumieni busara kupokea matokeo ya uchaguzi ili kuepusha vurugu zisizo za lazima. kwa nini hamuamini kwamba wananchi wamewachoka. kubalini matokeo nchi ipite kipindi hiki kwa amani. mmekula jasho la watanzania tangu nchi ilipoachwa na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere hamjashiba sasa mnataka kunywa damu. Ole wenu viongozi wa ccm msidiriki kunywa damu ya wananchi wanyonge hamtadumu hata mwezi mmoja.
 
Back
Top Bottom