CCM imekosa DIRA?

CCM inayo dira. Inayo dira kwa muda mrefu tu. Dira ambayo wamiandika hadi kwenye vitabu vyao na wanajitahidi kutekeleza. Dira ambayo wana CCM wameikumbatia na kuitetea kile kukicha. Kuwaambia kuwa CCM haina dira ni sawa na kumuambia dereva hana usukani, ni sawa na kumuambia nahodha kuwa meli haina dira wakati yuko katikati ya bahari.

tatizo ni kuwa hiyo dira wanaitumia kwenda wapi? Ndio maana wakati mwingine inasemwa CCM imepoteza mwelekeo; inayo dira lakini haifuati dira hiyo matokeo yake inaelekea kule ambako dira haielekezi. Kutokana na ugumu wa manahodha wake, CCM haitaki kurudia dira, inataka kueendelea kuelekea inakoelekea.

Lakini uweezekano mkubwa ni kuwa siyo hawana dira bali wameipoteza na hakuna mwenye utayari wa kukila hilo!
 
Mkuu dira unayoizumgumzia hasa ni ipi?
Dira tunayoifahamu siyo ile election manifesto , ambayo ni malengo ya muda mfupui, bali malengo yaa kisiasa/kiuchumi ambayo ndiyo unakuwa mhimili wa mawazo yote ya chama,
Watu wanaposema CCM imepoteza au haina dira ya kisiasa maana yake hasa ni mfumo upi wa kisiasa unaoendeshwa kwa sasa.
Baada ya uhuru dira ya kisiasa ilikuwa Uhuru na kazi
Baadaye ikawa kutafakari maadui wa maendeleo ambao ni Ujinga(Elimu),Afya
Baadaye baada ya kupata wasomi kidogo tukawa na falsafa pana tu ya kuelezea mahitaji yetu ya maendeleo ambayo ni:
1 Watu(na kuwaendeleza kielimu, afya)
2 Siasa safi(wakati huo ya ujamaa)
3 Ardhi -ambayo ipo kwa wingi tu
4 Uongozi bora

Chama cha Mapinduzi sasa hivi hakina muelekeo unoeleweka katika itikadi.
Ni jambo la kusikitisha kuwa sasa hivi yanajitokeza malumbano ambayo hayana tija, Malumbano ya kidini na kibaguzi wa kieneo , mambo ambayo haykuwepo katika historia ya Tanzania.
Sasa Mwanakijiji unaposema dira ipo hebu tupe dire yenyewe na inakoelekeza.
 
Hahahaaa,

Hii ni sawa na kusema, gari hii inajua inakoenda, ila madereva ndo hawajui njia wanaipeleka gari isikotaka. I mean, chama ni uongozi na wanachama. Uongozi ndio unaotoa mwelekeo na wanachama wanauunga mkono. Sasa uongozi ukiwa hauna dira, ni vigumu kusema chama kina dira!!! Yaani gari inajua inakoenda, ila dereva mbaya?

kwa mfano wako wa gari na dira ya ccm ni hivi,
chukulia kwamba sote tupo kwenye gari,tunae dereva na makondakta,na sote tunajua tunakoenda.dereva na makondakta wetu huyu ni viongozi wa ccm,abiria tuliomo humo ni sisi wananchi,sote tunajua wapi tunatokawapi tulipo,na wapi tunakwenda[wote pamoja na dereva wetu tunajua]sasa tumefika mahali dereva na makondakta hawaelewani tufuate uelekeo gani,wengine wanataka twende njia tuliyokubaliana tokea mwanzoni tunapoaza safari,wengine wanataka tubadiri uelekeo na hawatuambii tunakoeleekea haswa[wanakotaka tuelekee]umetokea mkanganyiko dereva amefikia mahali ameshabadili njia na anatuambia kuwa msijali tutafika tu kule tuendako lakini kwa njia hii mpya.ni kama vile daladala ya kutokea posta kwenda mwenge imeacha njia ya ali hassani mwinyi pale moroko imeingia njia ya kawawa kuelekea magomeni,na dereva anasema tutafika mwenge.
lakini ndani gari tupo abiria na baadhi ya wasaidizi wa dereva ambao hatuamini njia hii itatufikisha mwenge kwa ufanisi kuliko ile ya ali haasan mwinyi

anyway, ni mtazamo tu
 
Kwanini title isiwe Taifa halina DIRA?
Dira ya vyama come second.

Dira ya CCM inaweza kuwa kudhibiti kuundwa kwa katiba mpya?
 
Ukirejea vizuri uongozi na nyakati CCM ilishafeli tangu TANU. Muungano ulikuwa ku-dilute failures za TANU, na hata TANU ilishafeli kabla ya kuwapo. Na muungano therefore ulishafeli pia kabla ya kuwapo. It takes a very good and firm foundation for top quality and durable shelter. Huwezi jenga ghorofa katika msingi wa matope. Never! CCM is a product of all these ideology
 
Back
Top Bottom