CCM imejivua Magamba au Magwanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imejivua Magamba au Magwanda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mushobozi1978, Apr 11, 2011.

 1. m

  mushobozi1978 New Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uwezo wa CCM kufikiri umefikia kikomo na imepoteza hati miliki ya kuwaongoza watanzania, kwani Watanzania hawawezi kuongozwa na fikra mgando. Kitendo cha ccm kufikri kuwa matatizo yanaokizamisha chama chao ni captain Makamba and his friend na kuhamua kuwatosa ni fikra finyu. hawa wanajeshi wakina makamba wamevuliwa magwanda hila bado wana magamba yao na wala Watanzania hawana shida na Magwanda yao , shida ya watanzania ni magamaba ya kagoda, richmond,IPTL,EPA etc. na magamba hayo amevaliwa na Lowasa, Rostamu aziz na Baba Lidhwani.HaO wakijivua MAGWANDA kIDOGO watanzania wanawezakurudisha imani kwA CCM.
  Makamba ni mtu mdogo sana kwenye nchi hii he has got no impact in our economy crisis yeye ni mpiga debe tu wa mafisadi ili apate rziki ya kila siku tatizo ni baba Ridhwani lowasa na rostam hao ndo wakutoswa.
   
 2. A

  Anyambilile Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani wamejivua magwanda na magamba bado wanayo, chama cha mapinduzi angalieni kashfa zinazo wakabili viongozi wenu kwa kutumia rasmali za nchi hii vibaya haja ni kubadirisha sera za chama na kuwa chama cha kibepari na hata hao mabepari huwa wna sera nzuri za kulinda maslahi ya nchi mkapumzike tu.
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Uoga wa CDM, maana moto ni mkubwa balaa. Kila wanachokifanya wanacheza muziki wa CHADEMA. Bravo makamanda
   
 4. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sure,hii ni sawa na shehe au padri kubaili kanzu atabaki ni yule yule:help:
   
 5. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sure,hii ni sawa na shehe au padri kubadili kanzu atabaki ni yule yule:help:
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Panya wamekula sumu...hawaonekani..tusubiri harufu ya uvundo tu...finito!
   
Loading...