CCM imeivulia serikali shati lilochakaa

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,846
2,936
Sitaki kusema mengi, ila kitendo cha CCM kuipatia Serikali shule yake ya wazazi iliyopo kule Kagera, nakifananisha na kitendo cha mtu kumpatia ndugu yake shati lililochakaa badala ya kumpatia shati jipya, CCM ina mali nyingi tu, kwa nini wamechagua zawadi ya shati lilochakaa badala ya uwanja wa CCM kirumba?.
 
we nae umeona umepost uzi..ni bora hizo MB na mda ulopoteza ungeutumia hata kujifunza "ufahamu na uchambuzi wa habari"
 
asante mkuu, ndo uhuru wa kujieleza huo.
 
Sitaki kusema mengi, ila kitendo cha CCM kuipatia Serikali shule yake ya wazazi iliyopo kule Kagera, nakifananisha na kitendo cha mtu kumpatia ndugu yake shati lililochakaa badala ya kumpatia shati jipya, CCM ina mali nyingi tu, kwa nini wamechagua zawadi ya shati lilochakaa badala ya uwanja wa CCM kirumba?.
Wewe yawezekana hukusikiliza vizuri hotuba ya Rais au hukuelewa. CCM hawajaipatia serikali shule bali wameiuzia. Rais amesema CCM wapeleke madai yao serikalini, serikali itawalipa fidia.
 
....meaning serikali sasa imeanza kufanya biashara na CCM, right? double standards!
 
Wewe yawezekana hukusikiliza vizuri hotuba ya Rais au hukuelewa. CCM hawajaipatia serikali shule bali wameiuzia. Rais amesema CCM wapeleke madai yao serikalini, serikali itawalipa fidia.
wewe ndo unaharibu zaidi, ndo unaichonganisha zaidi CCM kwa wananchi kwa kudhani unaitetea kumbe ndo unaiangamiza. Kama ndivyo unavyosema basi tatizo ni kubwa zaidi ya nilivyodhani.
 
Sitaki kusema mengi, ila kitendo cha CCM kuipatia Serikali shule yake ya wazazi iliyopo kule Kagera, nakifananisha na kitendo cha mtu kumpatia ndugu yake shati lililochakaa badala ya kumpatia shati jipya, CCM ina mali nyingi tu, kwa nini wamechagua zawadi ya shati lilochakaa badala ya uwanja wa CCM kirumba?.
Mkuu cjakupata sawasawa,huu uchakavu ni upi?
 
mkuu fatilia kwa nini CCM wameigawa kwa serikali, ilikuwa imewashinda kuiendesha ndo maana, kwa nini hujiulizi kwa nini hawarudishi viwanja kama kile cha CCM kirumba?
 
Kwan ccm kirumba ipo kagera?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom