JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,954
Sitaki kusema mengi, ila kitendo cha CCM kuipatia Serikali shule yake ya wazazi iliyopo kule Kagera, nakifananisha na kitendo cha mtu kumpatia ndugu yake shati lililochakaa badala ya kumpatia shati jipya, CCM ina mali nyingi tu, kwa nini wamechagua zawadi ya shati lilochakaa badala ya uwanja wa CCM kirumba?.