CCM imeishiwa pumzi, upinzani upo ICU, nani atuongoze kwenye mapambano ya ukombozi?

simon mato

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
926
500
Ndugu wanajamvi;

Ni dhahiri kuwa CCM kwa sasa imeishiwa pumzi kabsaa, lakini mpambanaji wetu mkuu naye yupo ICU chini ya uangalizi maalum! Nani atuongoze kwenye field Battle ya ukombozi huu dhidi ya utawala huu ambao umeshindikana kutoka madarakani!

Kwanini nasema MBOWE yupo ICU? majibu mtayapata hapo chini:

:NAOMBA TUANGALIA SURA KIDOGO YA UKOMBOZI WA KUTOA CHAMA KAMA CCM: HASA MKOMBOZI/MPAMBANAJI WA KWELI NI NANI???

Mnamo tarehe 7 Jan 1945 anazaliwa Raila Odinga katika jimbo la maseno ambaye anafanikiwa kusoma na hatimaye kupata masters ya Mechanical engineering. Akiwa chuoni anaona suala la demokrasia nchini kenya ni kama ugonjwa sugu usiotibika!

Mnamo mwaka 1978 anaingia kwenye harakati za siasa rasmi nchini Kenya chini ya utawala wa Daniel Arap Moi. Utawala wa MOI ulikuwa umejaa rushwa na haufuati haki za binadamu, wakenya walikuwa wanasema bora ata utawala wa mkoloni.

Raila Odinga akaanzisha vuguvugu la kudai demokrasia chini ya utawala wa Moi, Baada ya Moi kumuona anapata support kubwa kwa wananchi na taasisi mbalimbali akamtupa Raila Odinga korokoroni mwaka 1982 kwa miezi saba, ambapo watu wengi waliipinga vikali kunung'unika huku na kule bila kufanikiwa kitendo cha Raila kutiwa mbaroni.

Baada ya miezi sita akaachiwa huru, Raila aliporudi kutoka korokoroni ndipo aliendeleza mapambano makali dhidi ya utawala wa Moi na kuungwa mkono kwa nguvu zote na raia na taasisi mbalimbali. Kumbuka utawala wa Moi ulikuwa wa kidhalimu mno na ulipingwa vikali na wananchi.

Mwaka 1984 Moi aliona huyu kijana anakuwa tishio kubwa ndani ya kenya akaagiza Raila akamatwe na kukutwa na hatia ya uchochezi ambapo alihukumiwa kifungo cha miaka saba jela. Mnamo February 1988 mamake Raila alikufa na huruma ya Moi ikapita baada ya watu kupiga kelele huku na kule Raila akaachiwa huru kwenda msibani kwa mamake.

Raila baada ya kuachiwa huru hali yake ya kiafya haikuwa nzuri baada ya kupata mateso ya kila aina Jail ambapo alitoka jicho lake la kushoto lilipofuka, akaamua kwenda kukaa nyumbani kwenye msiba wa mamake na kupata huduma za kienyeji kwenye jicho lake.

Raila baada ya mda mfupi akaanzisha harakati za nguvu za kumpinga Moi na mnamo September 1988 alikamatwa tena na kukutwa na hatia ya uchochezi na kupewa kifungo tena, mnamno tarehe 12 june 1989 hali yake ya kiafaya ilizidi kuwa mbaya na Moi akaagiza aachiwe huru akapate matibabu.

Raila alivyo achiwa huru akapata matibabu na kipindi hiki alikuwa ameshavuna umaarufu mkubwa nchini kenya kama mpambanaji wa kweli na aliungwa mkono na wasomi wengi ata ndani ya chama cha KANU kuna ambao walikuwa wanamsupport.

Raila baada ya kupata ahueni akaanzisha vuguvugu la mabadiliko na kuungwa mkono hadi na wanachama na baadhi ya viongozi wa KANU, Mnamo 5 july 1990 akatiwa mbaroni pamoja na wenzake KENNETH MATIBA, na mayor wa Nairobi kipindi hicho CHARLES RUBIA.

Mnamo 21 june 1991 waliachiwa huru ila alipewa onyo kwa mara ya mwisho kuwa akithubutu tena atatolewa kichwa, baada ya mateso makali akiwa jail hali yake kiafya haikuwa nzuri akapata msaada na kukimbilia NORWAY kuomba hifadhi na matibabu.

Baada ya kutoka Norway afya yake ikiwa imeimarika 1994 anarudi tena kwenye mapambano lengo kubwa ni kuitoa madaraki KANU ambayo ilikuwa inaongozwa na MOI. Alistruggle huku na kule lakini hakuona mafanikio kupitia vyama tofauti tofauti.

Mnamo 2000 akakubali yaishe akajiunga na KANU jambo ambalo lilishtua Kenya nzima, alikaribishwa kwa fijo na nderemo maana KANU ilikuwa imechokwa mno nchini Kenya ila kwa ushwawishi wa Raila Odinga ingeungwa tena na wafuasi wengi kumbuka kipindi hicho watu wanajiandaa na uchaguzi wa 2002.
Baada ya hapo alipewa cheo kikubwa tuuh ndani ya KANU kama makubaliano ya kujiunga nao GENERAL SECRETARY. Na kipindi hicho aliwashawishi wanasiasa vijana maarufu kujiunga na KANU kama G. SAITOTI, K. MUSYOKA . Baada ya muda wa uchaguzi ulipofika Moi alisikika akisema kwamba ni wakati wa UHURU KENYATA ambaye mda huo alikuwa na umri wa miaka 38.

Baada ya mizengwe hayo kutokea, Raila na wenzake wakaona hapa hakukaliki iweje mtu ambaye ata chama hiki hakijui vizuri ata kiasa hajakomaa leo anataka kupitiswa kwa nguvu atuongoze, Raila na wenzake wakaform kile kilichoitwa "RAINBOW MOVEMENT" ndani ya KANU yote ilikuwa ni kupinga uharamia wa MOI na genge lake, kilichofuata baada ya hapo ali resign na kuachana na KANU.

:MKAKATI KABAMBE WA KUING'OA KANU:
Mnamo 20 February 2002 "PANAFRIC HOTEL" jijini nairobi Raila aliitisha mkutano wa siri uliohudhuriwa na wajumbe kumi wa vyama tofauti na vigogo wa serikali. Wajumbe wa kikao hawa hapa;
1. RAILA ODINGA
2. MWAI KIBAKI
3. PROFESA NYONG'O
4. JAMES ORENGO
5. MUSALIA MUDAVADI
6. KALONZO MUSYOKA
7. WILLIAM RUTO
8. ABAB NAMWAMBA
9. JOSEPH NYAGA
10. MICHAEL KIJANA WA MALWA.

Kikao kikaanza kwa Raila Odinga kuutambulisha agenda kuwa ni "THE END OF KANU IN KENYA" wajumbe walishangaa na wengine wakifurahi, huku JAMES ORENGO aliupinga vikali agenda ya hicho kikao kwa kuwa aliamini KANU hakiwezi kutoka madarakani alitulizwa lakini hakuafiki na kuacha kikao kikiwa kimegawanyika bila kuufikia muafaka.

Mnamo 30 February mwaka 2002 kikao kingine kiilitishwa na baadhi ya wajumbe kuachwa huku wengine wakiongezwa kama CHARITY NGILU & NAJIB BALALA. Agenda ikawekwa ileile kikao kilifanyika kwa ufanisi mkubwa na wakatoka na agenda kuunganisha vyama vyetu vyote na kumweka mgombea moja! Ambaye huyo mgombea hakupatikana kwa sikuile.

Mnamo 23 kikao hicho baada ya kuparanganyika na kutofautiana na kuupelekea kuundwa kwa kamati teule chini ya Profesa. Nyong'o ilimpitisha Jina la MWAI KIBAKI chini ya mwamvuli wa NARC kuwa mgombea wa Urais kwenda kupambana na genge la MOI. Na hatimaye walishinda kwa 67 % ukawa udhalalishaji kwa D. A . MOI na chama cha KANU ndo ikawa mwisho wake.

Chini ya Raila Odinga kama mpinzani Kenya imepata vifuatavyo:
1. Katiba mpya inayokidhi
2. Demokrasia iliyokomaa
3:Tume huru ya kusimamia uchaguzi
4. Uhuru wa vyombo vya habari.

Kwa hizo sifa mmeona na kumtambua mpiganaji na mpambanaji wa kweli anatakiwa aweje. Hivyo basi turudi kwenye swali letu kwanini nasema MBOWE yupo ICU tumtafute Mwingine;

1:Kama mpambanaji mkuu ameshindwa kutuletea Katiba mpya ambayo ndiyo kimbilio ya wananchi
2:Ameshindwa kuishinikiza serikali kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, hivyo 2020 tutegemee mambo yaleyale ya Jecha na Maalim
3:Uhuru wa vyombo vya habari ni tatizo sugu
4:Demokrasia inayotia shaka kuanzia kwenye chama chake hadi kitaifa anaubariki.

Nielewekee tuuh kuwa sifa za mpambanaji mkuu yupi tiyari kuuwa, kuteswa na kutiwa korokoroni hivyo vitu ni kawaida tena kwa nchi zetu hizi za kiafrika sio kama upinzani wa nchi ulaya ambao walishapiga hatua wakatuacha.

Kwa maoni yangu mimi naona MBOWE amefanya mema yametosha amuachie mwingine atuongoze kwenye mapambano ya kweli vijana wapo wengi, kumbukeni tunamtaka mtu ambaye ni popular na mwenye ushawishi atayetuunganisha kiitikadi bila kujali vyama.

Lakini kama watu bado ni walewale eti mgombea ni yuleyule 2020 tume ni ileile inayoteuliwa na mtu fulani basi na mimi nawaapia mambo yatakuwa vilevile ata wafanyeje.

"Ni wako kijana mzalendo, mwanaharakati na mtiifu wa kweli Tz"
 
kamanga2016

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
588
500
Upinzani Bongo bado sana Ni sawa na mtu anayetamani kwenda mbinguni lakin kufa anaogopa je,huko mbinguni utafika vp Bila kufa
 
simon mato

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
926
500
Kenya wiki moja tuu walipata tume huru,sisi tunafikiria bila kutenda.
Aina ya upinzani tulionao ni kama wanafanya maigizo vilee hapa ndipo tunaona umuhimu wa watu kama mtikila bora ata angekuwa hai atuongoze kwenye mapambano ya kupata ata Tume huru. Upinzani chini ya Mbowe unasubiri 2020 ndo waanze kuutafuta tume huru kweli tutafika??
 
simon mato

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
926
500
Upinzani Bongo bado sana Ni sawa na mtu anayetamani kwenda mbinguni lakin kufa anaogopa je,huko mbinguni utafika vp Bila kufa
Mkuu umenena!! Yaani wapo kama vile hawapo mimi nashindwaga kuwaelewa kabsaa wakati mwingine unamlaani Jecha wakati leo anateuliwa Jecha mwingine upo kmya??? Halafu ikifika 2020 ndipo unaanza kupiga kelele zisizokuwa na tija
 
mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,298
2,000
Ndugu wanajamvi;

Ni dhahiri kuwa CCM kwa sasa imeishiwa pumzi kabsaa, lakini mpambanaji wetu mkuu naye yupo ICU chini ya uangalizi maalum! Nani atuongoze kwenye field Battle ya ukombozi huu dhidi ya utawala huu ambao umeshindikana kutoka madarakani!

Kwanini nasema MBOWE yupo ICU? majibu mtayapata hapo chini:

:NAOMBA TUANGALIA SURA KIDOGO YA UKOMBOZI WA KUTOA CHAMA KAMA CCM: HASA MKOMBOZI/MPAMBANAJI WA KWELI NI NANI???

Mnamo tarehe 7 Jan 1945 anazaliwa Raila Odinga katika jimbo la maseno ambaye anafanikiwa kusoma na hatimaye kupata masters ya Mechanical engineering. Akiwa chuoni anaona suala la demokrasia nchini kenya ni kama ugonjwa sugu usiotibika!

Mnamo mwaka 1978 anaingia kwenye harakati za siasa rasmi nchini Kenya chini ya utawala wa Daniel Arap Moi. Utawala wa MOI ulikuwa umejaa rushwa na haufuati haki za binadamu, wakenya walikuwa wanasema bora ata utawala wa mkoloni.

Raila Odinga akaanzisha vuguvugu la kudai demokrasia chini ya utawala wa Moi, Baada ya Moi kumuona anapata support kubwa kwa wananchi na taasisi mbalimbali akamtupa Raila Odinga korokoroni mwaka 1982 kwa miezi saba, ambapo watu wengi waliipinga vikali kunung'unika huku na kule bila kufanikiwa kitendo cha Raila kutiwa mbaroni.

Baada ya miezi sita akaachiwa huru, Raila aliporudi kutoka korokoroni ndipo aliendeleza mapambano makali dhidi ya utawala wa Moi na kuungwa mkono kwa nguvu zote na raia na taasisi mbalimbali. Kumbuka utawala wa Moi ulikuwa wa kidhalimu mno na ulipingwa vikali na wananchi.

Mwaka 1984 Moi aliona huyu kijana anakuwa tishio kubwa ndani ya kenya akaagiza Raila akamatwe na kukutwa na hatia ya uchochezi ambapo alihukumiwa kifungo cha miaka saba jela. Mnamo February 1988 mamake Raila alikufa na huruma ya Moi ikapita baada ya watu kupiga kelele huku na kule Raila akaachiwa huru kwenda msibani kwa mamake.

Raila baada ya kuachiwa huru hali yake ya kiafya haikuwa nzuri baada ya kupata mateso ya kila aina Jail ambapo alitoka jicho lake la kushoto lilipofuka, akaamua kwenda kukaa nyumbani kwenye msiba wa mamake na kupata huduma za kienyeji kwenye jicho lake.

Raila baada ya mda mfupi akaanzisha harakati za nguvu za kumpinga Moi na mnamo September 1988 alikamatwa tena na kukutwa na hatia ya uchochezi na kupewa kifungo tena, mnamno tarehe 12 june 1989 hali yake ya kiafaya ilizidi kuwa mbaya na Moi akaagiza aachiwe huru akapate matibabu.

Raila alivyo achiwa huru akapata matibabu na kipindi hiki alikuwa ameshavuna umaarufu mkubwa nchini kenya kama mpambanaji wa kweli na aliungwa mkono na wasomi wengi ata ndani ya chama cha KANU kuna ambao walikuwa wanamsupport.

Raila baada ya kupata ahueni akaanzisha vuguvugu la mabadiliko na kuungwa mkono hadi na wanachama na baadhi ya viongozi wa KANU, Mnamo 5 july 1990 akatiwa mbaroni pamoja na wenzake KENNETH MATIBA, na mayor wa Nairobi kipindi hicho CHARLES RUBIA.

Mnamo 21 june 1991 waliachiwa huru ila alipewa onyo kwa mara ya mwisho kuwa akithubutu tena atatolewa kichwa, baada ya mateso makali akiwa jail hali yake kiafya haikuwa nzuri akapata msaada na kukimbilia NORWAY kuomba hifadhi na matibabu.

Baada ya kutoka Norway afya yake ikiwa imeimarika 1994 anarudi tena kwenye mapambano lengo kubwa ni kuitoa madaraki KANU ambayo ilikuwa inaongozwa na MOI. Alistruggle huku na kule lakini hakuona mafanikio kupitia vyama tofauti tofauti.

Mnamo 2000 akakubali yaishe akajiunga na KANU jambo ambalo lilishtua Kenya nzima, alikaribishwa kwa fijo na nderemo maana KANU ilikuwa imechokwa mno nchini Kenya ila kwa ushwawishi wa Raila Odinga ingeungwa tena na wafuasi wengi kumbuka kipindi hicho watu wanajiandaa na uchaguzi wa 2002.
Baada ya hapo alipewa cheo kikubwa tuuh ndani ya KANU kama makubaliano ya kujiunga nao GENERAL SECRETARY. Na kipindi hicho aliwashawishi wanasiasa vijana maarufu kujiunga na KANU kama G. SAITOTI, K. MUSYOKA . Baada ya muda wa uchaguzi ulipofika Moi alisikika akisema kwamba ni wakati wa UHURU KENYATA ambaye mda huo alikuwa na umri wa miaka 38.

Baada ya mizengwe hayo kutokea, Raila na wenzake wakaona hapa hakukaliki iweje mtu ambaye ata chama hiki hakijui vizuri ata kiasa hajakomaa leo anataka kupitiswa kwa nguvu atuongoze, Raila na wenzake wakaform kile kilichoitwa "RAINBOW MOVEMENT" ndani ya KANU yote ilikuwa ni kupinga uharamia wa MOI na genge lake, kilichofuata baada ya hapo ali resign na kuachana na KANU.

:MKAKATI KABAMBE WA KUING'OA KANU:
Mnamo 20 February 2002 "PANAFRIC HOTEL" jijini nairobi Raila aliitisha mkutano wa siri uliohudhuriwa na wajumbe kumi wa vyama tofauti na vigogo wa serikali. Wajumbe wa kikao hawa hapa;
1. RAILA ODINGA
2. MWAI KIBAKI
3. PROFESA NYONG'O
4. JAMES ORENGO
5. MUSALIA MUDAVADI
6. KALONZO MUSYOKA
7. WILLIAM RUTO
8. ABAB NAMWAMBA
9. JOSEPH NYAGA
10. MICHAEL KIJANA WA MALWA.

Kikao kikaanza kwa Raila Odinga kuutambulisha agenda kuwa ni "THE END OF KANU IN KENYA" wajumbe walishangaa na wengine wakifurahi, huku JAMES ORENGO aliupinga vikali agenda ya hicho kikao kwa kuwa aliamini KANU hakiwezi kutoka madarakani alitulizwa lakini hakuafiki na kuacha kikao kikiwa kimegawanyika bila kuufikia muafaka.

Mnamo 30 February mwaka 2002 kikao kingine kiilitishwa na baadhi ya wajumbe kuachwa huku wengine wakiongezwa kama CHARITY NGILU & NAJIB BALALA. Agenda ikawekwa ileile kikao kilifanyika kwa ufanisi mkubwa na wakatoka na agenda kuunganisha vyama vyetu vyote na kumweka mgombea moja! Ambaye huyo mgombea hakupatikana kwa sikuile.

Mnamo 23 kikao hicho baada ya kuparanganyika na kutofautiana na kuupelekea kuundwa kwa kamati teule chini ya Profesa. Nyong'o ilimpitisha Jina la MWAI KIBAKI chini ya mwamvuli wa NARC kuwa mgombea wa Urais kwenda kupambana na genge la MOI. Na hatimaye walishinda kwa 67 % ukawa udhalalishaji kwa D. A . MOI na chama cha KANU ndo ikawa mwisho wake.

Chini ya Raila Odinga kama mpinzani Kenya imepata vifuatavyo:
1. Katiba mpya inayokidhi
2. Demokrasia iliyokomaa
3:Tume huru ya kusimamia uchaguzi
4. Uhuru wa vyombo vya habari.

Kwa hizo sifa mmeona na kumtambua mpiganaji na mpambanaji wa kweli anatakiwa aweje. Hivyo basi turudi kwenye swali letu kwanini nasema MBOWE yupo ICU tumtafute Mwingine;

1:Kama mpambanaji mkuu ameshindwa kutuletea Katiba mpya ambayo ndiyo kimbilio ya wananchi
2:Ameshindwa kuishinikiza serikali kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, hivyo 2020 tutegemee mambo yaleyale ya Jecha na Maalim
3:Uhuru wa vyombo vya habari ni tatizo sugu
4:Demokrasia inayotia shaka kuanzia kwenye chama chake hadi kitaifa anaubariki.

Nielewekee tuuh kuwa sifa za mpambanaji mkuu yupi tiyari kuuwa, kuteswa na kutiwa korokoroni hivyo vitu ni kawaida tena kwa nchi zetu hizi za kiafrika sio kama upinzani wa nchi ulaya ambao walishapiga hatua wakatuacha.

Kwa maoni yangu mimi naona MBOWE amefanya mema yametosha amuachie mwingine atuongoze kwenye mapambano ya kweli vijana wapo wengi, kumbukeni tunamtaka mtu ambaye ni popular na mwenye ushawishi atayetuunganisha kiitikadi bila kujali vyama.

Lakini kama watu bado ni walewale eti mgombea ni yuleyule 2020 tume ni ileile inayoteuliwa na mtu fulani basi na mimi nawaapia mambo yatakuwa vilevile ata wafanyeje.

"Ni wako kijana mzalendo, mwanaharakati na mtiifu wa kweli Tz"
Wenye akili timamu na zinazoangalia mizania tumekuelewa.

Japo hawatakawia kuwaambia struggle za Odinga zinafanana na za Lema.

Akili ndogo kuongoza kubwa hupatikana kwa hawa wakuu wa upinzani hapa nchini.
 
simon mato

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
926
500
Wenye akili timamu na zinazoangali mizania tumekuelewa.

Japo hawatakawia kuwaambia struggle za Odinga zinafanana na za Lema.

Akili ndogo kuongoza kubwa hupatikana kwa hawa wakuu wa upinzani hapa nchini.
Ok!! Kama umenielewa sawasawa hapo fresh but ukiacha itikadi na uchama pembeni we unahisi nani? Atuongoze kwenye mpambano upya tunaoutaka sisi
 
mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,298
2,000
Ok!! Kama umenielewa sawasawa hapo fresh but ukiacha itikadi na uchama pembeni we unahisi nani? Atuongoze kwenye mpambano upya tunaoutaka sisi
ACT wazalendo.....wana strategy kali na vision. Wanafanya mambo yao kitaalamu....shida hawaungwi mkono kwa kuwa Watanzania wanaangalia MTU na si sera ama ideology.

Pata muda uwasome ACT wazalendo utagindua.
 
simon mato

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
926
500
Vijana amkeni tumtafute mpambanaji mkuu atuongoze kwenye vita tutafite katiba mpya na tume huru tusiwategemee hawa wanaofanya siasa za maigizo tutakwama milele na milele
 
HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
2,045
1,500
Ndugu wanajamvi;

Ni dhahiri kuwa CCM kwa sasa imeishiwa pumzi kabsaa, lakini mpambanaji wetu mkuu naye yupo ICU chini ya uangalizi maalum! Nani atuongoze kwenye field Battle ya ukombozi huu dhidi ya utawala huu ambao umeshindikana kutoka madarakani!

Kwanini nasema MBOWE yupo ICU? majibu mtayapata hapo chini:

:NAOMBA TUANGALIA SURA KIDOGO YA UKOMBOZI WA KUTOA CHAMA KAMA CCM: HASA MKOMBOZI/MPAMBANAJI WA KWELI NI NANI???

Mnamo tarehe 7 Jan 1945 anazaliwa Raila Odinga katika jimbo la maseno ambaye anafanikiwa kusoma na hatimaye kupata masters ya Mechanical engineering. Akiwa chuoni anaona suala la demokrasia nchini kenya ni kama ugonjwa sugu usiotibika!

Mnamo mwaka 1978 anaingia kwenye harakati za siasa rasmi nchini Kenya chini ya utawala wa Daniel Arap Moi. Utawala wa MOI ulikuwa umejaa rushwa na haufuati haki za binadamu, wakenya walikuwa wanasema bora ata utawala wa mkoloni.

Raila Odinga akaanzisha vuguvugu la kudai demokrasia chini ya utawala wa Moi, Baada ya Moi kumuona anapata support kubwa kwa wananchi na taasisi mbalimbali akamtupa Raila Odinga korokoroni mwaka 1982 kwa miezi saba, ambapo watu wengi waliipinga vikali kunung'unika huku na kule bila kufanikiwa kitendo cha Raila kutiwa mbaroni.

Baada ya miezi sita akaachiwa huru, Raila aliporudi kutoka korokoroni ndipo aliendeleza mapambano makali dhidi ya utawala wa Moi na kuungwa mkono kwa nguvu zote na raia na taasisi mbalimbali. Kumbuka utawala wa Moi ulikuwa wa kidhalimu mno na ulipingwa vikali na wananchi.

Mwaka 1984 Moi aliona huyu kijana anakuwa tishio kubwa ndani ya kenya akaagiza Raila akamatwe na kukutwa na hatia ya uchochezi ambapo alihukumiwa kifungo cha miaka saba jela. Mnamo February 1988 mamake Raila alikufa na huruma ya Moi ikapita baada ya watu kupiga kelele huku na kule Raila akaachiwa huru kwenda msibani kwa mamake.

Raila baada ya kuachiwa huru hali yake ya kiafya haikuwa nzuri baada ya kupata mateso ya kila aina Jail ambapo alitoka jicho lake la kushoto lilipofuka, akaamua kwenda kukaa nyumbani kwenye msiba wa mamake na kupata huduma za kienyeji kwenye jicho lake.

Raila baada ya mda mfupi akaanzisha harakati za nguvu za kumpinga Moi na mnamo September 1988 alikamatwa tena na kukutwa na hatia ya uchochezi na kupewa kifungo tena, mnamno tarehe 12 june 1989 hali yake ya kiafaya ilizidi kuwa mbaya na Moi akaagiza aachiwe huru akapate matibabu.

Raila alivyo achiwa huru akapata matibabu na kipindi hiki alikuwa ameshavuna umaarufu mkubwa nchini kenya kama mpambanaji wa kweli na aliungwa mkono na wasomi wengi ata ndani ya chama cha KANU kuna ambao walikuwa wanamsupport.

Raila baada ya kupata ahueni akaanzisha vuguvugu la mabadiliko na kuungwa mkono hadi na wanachama na baadhi ya viongozi wa KANU, Mnamo 5 july 1990 akatiwa mbaroni pamoja na wenzake KENNETH MATIBA, na mayor wa Nairobi kipindi hicho CHARLES RUBIA.

Mnamo 21 june 1991 waliachiwa huru ila alipewa onyo kwa mara ya mwisho kuwa akithubutu tena atatolewa kichwa, baada ya mateso makali akiwa jail hali yake kiafya haikuwa nzuri akapata msaada na kukimbilia NORWAY kuomba hifadhi na matibabu.

Baada ya kutoka Norway afya yake ikiwa imeimarika 1994 anarudi tena kwenye mapambano lengo kubwa ni kuitoa madaraki KANU ambayo ilikuwa inaongozwa na MOI. Alistruggle huku na kule lakini hakuona mafanikio kupitia vyama tofauti tofauti.

Mnamo 2000 akakubali yaishe akajiunga na KANU jambo ambalo lilishtua Kenya nzima, alikaribishwa kwa fijo na nderemo maana KANU ilikuwa imechokwa mno nchini Kenya ila kwa ushwawishi wa Raila Odinga ingeungwa tena na wafuasi wengi kumbuka kipindi hicho watu wanajiandaa na uchaguzi wa 2002.
Baada ya hapo alipewa cheo kikubwa tuuh ndani ya KANU kama makubaliano ya kujiunga nao GENERAL SECRETARY. Na kipindi hicho aliwashawishi wanasiasa vijana maarufu kujiunga na KANU kama G. SAITOTI, K. MUSYOKA . Baada ya muda wa uchaguzi ulipofika Moi alisikika akisema kwamba ni wakati wa UHURU KENYATA ambaye mda huo alikuwa na umri wa miaka 38.

Baada ya mizengwe hayo kutokea, Raila na wenzake wakaona hapa hakukaliki iweje mtu ambaye ata chama hiki hakijui vizuri ata kiasa hajakomaa leo anataka kupitiswa kwa nguvu atuongoze, Raila na wenzake wakaform kile kilichoitwa "RAINBOW MOVEMENT" ndani ya KANU yote ilikuwa ni kupinga uharamia wa MOI na genge lake, kilichofuata baada ya hapo ali resign na kuachana na KANU.

:MKAKATI KABAMBE WA KUING'OA KANU:
Mnamo 20 February 2002 "PANAFRIC HOTEL" jijini nairobi Raila aliitisha mkutano wa siri uliohudhuriwa na wajumbe kumi wa vyama tofauti na vigogo wa serikali. Wajumbe wa kikao hawa hapa;
1. RAILA ODINGA
2. MWAI KIBAKI
3. PROFESA NYONG'O
4. JAMES ORENGO
5. MUSALIA MUDAVADI
6. KALONZO MUSYOKA
7. WILLIAM RUTO
8. ABAB NAMWAMBA
9. JOSEPH NYAGA
10. MICHAEL KIJANA WA MALWA.

Kikao kikaanza kwa Raila Odinga kuutambulisha agenda kuwa ni "THE END OF KANU IN KENYA" wajumbe walishangaa na wengine wakifurahi, huku JAMES ORENGO aliupinga vikali agenda ya hicho kikao kwa kuwa aliamini KANU hakiwezi kutoka madarakani alitulizwa lakini hakuafiki na kuacha kikao kikiwa kimegawanyika bila kuufikia muafaka.

Mnamo 30 February mwaka 2002 kikao kingine kiilitishwa na baadhi ya wajumbe kuachwa huku wengine wakiongezwa kama CHARITY NGILU & NAJIB BALALA. Agenda ikawekwa ileile kikao kilifanyika kwa ufanisi mkubwa na wakatoka na agenda kuunganisha vyama vyetu vyote na kumweka mgombea moja! Ambaye huyo mgombea hakupatikana kwa sikuile.

Mnamo 23 kikao hicho baada ya kuparanganyika na kutofautiana na kuupelekea kuundwa kwa kamati teule chini ya Profesa. Nyong'o ilimpitisha Jina la MWAI KIBAKI chini ya mwamvuli wa NARC kuwa mgombea wa Urais kwenda kupambana na genge la MOI. Na hatimaye walishinda kwa 67 % ukawa udhalalishaji kwa D. A . MOI na chama cha KANU ndo ikawa mwisho wake.

Chini ya Raila Odinga kama mpinzani Kenya imepata vifuatavyo:
1. Katiba mpya inayokidhi
2. Demokrasia iliyokomaa
3:Tume huru ya kusimamia uchaguzi
4. Uhuru wa vyombo vya habari.

Kwa hizo sifa mmeona na kumtambua mpiganaji na mpambanaji wa kweli anatakiwa aweje. Hivyo basi turudi kwenye swali letu kwanini nasema MBOWE yupo ICU tumtafute Mwingine;

1:Kama mpambanaji mkuu ameshindwa kutuletea Katiba mpya ambayo ndiyo kimbilio ya wananchi
2:Ameshindwa kuishinikiza serikali kuundwa kwa Tume huru ya uchaguzi, hivyo 2020 tutegemee mambo yaleyale ya Jecha na Maalim
3:Uhuru wa vyombo vya habari ni tatizo sugu
4:Demokrasia inayotia shaka kuanzia kwenye chama chake hadi kitaifa anaubariki.

Nielewekee tuuh kuwa sifa za mpambanaji mkuu yupi tiyari kuuwa, kuteswa na kutiwa korokoroni hivyo vitu ni kawaida tena kwa nchi zetu hizi za kiafrika sio kama upinzani wa nchi ulaya ambao walishapiga hatua wakatuacha.

Kwa maoni yangu mimi naona MBOWE amefanya mema yametosha amuachie mwingine atuongoze kwenye mapambano ya kweli vijana wapo wengi, kumbukeni tunamtaka mtu ambaye ni popular na mwenye ushawishi atayetuunganisha kiitikadi bila kujali vyama.

Lakini kama watu bado ni walewale eti mgombea ni yuleyule 2020 tume ni ileile inayoteuliwa na mtu fulani basi na mimi nawaapia mambo yatakuwa vilevile ata wafanyeje.

"Ni wako kijana mzalendo, mwanaharakati na mtiifu wa kweli Tz"
umeongelea siasa na unajua siasa kwanza nikutambue kwa hilo.watanzania wapo wa kufanya hayo ukiwemo wewe kwa na mimi na wengineo uzi wako ni mpana na unahitaji majibu mapana mno .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom