CCM imehalalisha ukabila? Magufuli anahutubia kilugha

Kasalimia zaid ya makabila 15 hiyo yote n kuonesha umoja wa kitaifa, mbona hulalamik kuona mwenyekit wa ukawa, mgombea urais na mkuu wa kampein wote n wakaskazini?
Kwani kaskazini kuna kabila moja tu?

Sent from my K-KOOL using JamiiForums mobile app
 
Hapo hakuna cha CCM,tume wala nani,huyo ni RAIA namba moja hakuna wa kumzuiya

Tena uzi wako unaviashiria vya uchochezi
 
Huo ni mtazamo wako ,kuna wengine hawajui kiswahili wanajua kisukuma tu kwa nini asiongee ,mbona kila mkoa anaongea lugha yao
Angalia mbele wewe huo ni wivu tu.


Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom