haina watu intelectualsa wala heavywehight communicators kama malecela, nyerere au watu wengine wenye nvuto kwa kiwango cha slaa. Wanadhani kuwa pesa zao ndio ngao, ng'o! Pesa twawala, na kura twawala pia.
na hili ndiyo kosa kubwa sana walilofanya ccm, kuweka bei kila kitu sasa inawatafuna. Hata hao mawakala wao sidhani kama itakuwa ni wale ccm damu, bali itafanywa kifisadi kuhusisha ndugu na jamaa wa makada wa ccm ambao wanaweza hata wasimpigie kura jk.