CCM: ILIZALIWA, IKAKUA na SASA INAKUFA

Hakika napenda sikuniione CCM mpya,CCM iliyojikita katika misingi yake ya kutetea wanyonge,CCM ya wakulima na wafanyakazi,CCM yenye sera za kweli za kumkomboa Mtanzania kutoka katika lindi la umaskini uliokithiri.Njia moja wapo ya kufikia haponi kurudia miiko na misingi iliyounda chama chetu,kuwatosa makupe (mafisadie),kuwawajibisha wavivu,na kuweka viongozi wenye nia thabiti na uwezo na kuonyesha njia kule tunakotaka kwenda.Tukifanya hivyo hakikia Tanzania yenye maendeleo,amani na utulivu tutaiona.Kamwe sitavaa gwanda na kamwe sitatetea mafisadi.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Hatutaki porojo!
 
kumtumia mtu asiye na mvuto kama Dr. Bana kukipamba.
Pia kumtumia Nepi asiye na busara wala hekima katika matamshi yake, serikali yake kutochukua maamuzi muhimu kwa wabadhirifu wa mali ya umma ususani mawazili.
 
"......Bila upinzani mzuri wa nje, na bila demokrasia halisi ndani ya Chama cha Mapinduzi, chama hiki kitazidi kudidimia chini ya uzito wa uongozi mbovu. Kwa hali yetu ya kisiasa ilivyo nchini hili si jambo la kutarajia bila hofu na wasiwasi!" (Ukurasa 66), Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania, Mwl Nyerere, 1993.

haki kitabu "uongozi wetu na hatma ya tanzania kinapatikana wapi" - mwl j. k nyerere kinapatikana wapi, au ni mtandao gani nijaribu ku-browse nipate maarifa!
 
Ni bora inge kufa kifo cha heshima kuliko hiki kifo cha aibu. Ahadi hewa zisizotekelezeka, wizi wa mali ya Watanzania, dharau kwa wenye nchi, ufisadi ulio tukuka, kuwarusha watumishi mishahara, kuwatukana Watanzania ati sisi ni wapuuzi, sisi ni vifaranga nk nk nk. Shetani andaa kuni za mpingo kuwachoma Ccm na utawala wao!RIP chama cha magamba
 
Back
Top Bottom