CCM iliyochoka ndiyo chanzo kikuu cha migomo hapa nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM iliyochoka ndiyo chanzo kikuu cha migomo hapa nchini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 1, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  CCM iliyochoka ndiyo chanzo cha migomao mbali mbali nchini. katika kila sekta ya huduma za jamii hali inazorota kwa ufisadi wa magamba hali ambayo inawafanya wafanyakazi wa sekta hizo kuminywa masilahi yao.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hayo si yanajulikana mkuu. Karibu 98% ya hoja humu ndani zinakubali hilo.
   
 3. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dhambi ya kumsingizia Lowassa urichimond ikiwa ni Kikwete aliyemkata kuifukuza baada ya kuona ni hewa, hata tume ya bunge haikuwa hata kumhoji aseme ukweli.
   
 4. MrIsidori

  MrIsidori Senior Member

  #4
  May 6, 2015
  Joined: Apr 3, 2014
  Messages: 192
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Siku za hivi karibuni watu wameamua kudai haki zao kwa kufanya migomo na maandamano kwa sababu wamechoka kuburuzwa na kudanganywa! ie wafanyabiashara, walimu, madaktari, madereva, jeshi nalo likigoma itakuwaje? tahadhari serkali ichukue hatua!
   
Loading...