CCM ilivyotumia mbinu za Mugabe kuiba kura uchaguzi wa 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ilivyotumia mbinu za Mugabe kuiba kura uchaguzi wa 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Jan 21, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa takwimu za uchaguzi wa 2010 zilizotolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC), watu 20,398,394 wamejiandikisha kupiga kura Tanzania.
  Hata hivyo, watu 8,626,283 tu walijitokeza kupiga kura, sawa na asilimia 42.84 tu. Turnout ndogo namna hii haijawahi kutokea kwenye historia.
  Vijana wengi walizuiwa kupiga kura kwa kutokuta majina yao kwenye vituo vya kupiga kura. Hii ilikuwa ni mbinu ya kuzuia vijana wasipige kura ya kuleta mabadiliko.
  Kuna haja ya kuhakiki daftari la wapiga kura kubaini uhalali ya majina yaliyopo. Hii ni mbinu inayotumiwa na wezi wa kura waliobobea kama kina Mugabe wa Zimbabwe.

   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wapo wengi tu huku Africa
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yani unamaanisha huyu images2.jpeg  Alikutana na mwenzake hapa images3.jpeg


  Ili ampe maujanja ya kuiba kura waje wakutane hapa images.jpeg


  Mmh!!! ila kweli maana wanafanana sana traits zao
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  CCM wameona Watz ni majuha
   
Loading...