Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,696
Hayati Reginald Mengi ktk uhai wake hakuwahi kujionyesha hadharani kuwa yeye alikuwa ni mwanachama wa chama gani cha siasa.
Bali alijikita ktk kusaidia watu wenye shida mbali mbali za kimaisha wakiwemo walemavu, yatima na wajane.
Hiyo ndo ilikuwa ibaada ya hayati Reginald Mengi, ibaada njema kuliko zote ni kusaidia yatima, wajane na maskini.
Hakupenda kujihusisha na siasa kwa namna yoyote ile, na wala jamii haikujua Kama ni mwanachama wa chama gani cha siasa,na yeye hakupenda kujulikana kabisa.
Mara baada ya kutwaliwa na Mungu wakaibuka CCM na kuanza kutoa kiki kwamba alikuwa ni mwanachama wa CCM, huku ni kumdhalilisha Marehemu, Kama yeye hakupenda kujionyesha kwa nini nyie mwonyeshe uanachama wake baada ya kifo chake?
CCM ni chama kilichojaa watu wenye inferiority complex isipokuwa Katibu mkuu Dr Bashiru Ally, huyu ni mtu wa aina yake, aliyezungukwa na na vipofu wa akili.
Na ndo maana hata wanachama wa CCM si watu wa kawaida, mnaanzaje kutafuta kiki kwa Marehemu? ili watu waone kuwa CCM ni chama kizuri sana?
Mnakoelekea mtasema hata Trump ni mwana CCM.