CCM ilivyomdhalilisha Marehemu Reginald Mengi

Mafanikio ya Marehemu Mengi ni juhudi zake binafsi wapi Serikali ya CCM ilimjengea kiwanda? soma kitabu chake jinsi alivyopingwa kujenga kiwanda cha bonite.
Hili huwezi kulielewa na huta lielewa,naomba usinikoti,utanipotezea muda
 
Tungekutaka uweke ushahidi lakini potezea kwa kuwa ligi itakuwa ndefu sana hasa ukizingatia hata UPDP nao wangeweza kusema marehemu alikuwa mwanachama wao, ila hawakutaka kuibua mzozo. Sio vema kutafuta giaya kuingilia msibani!
Unateseka nn sasa, ccm inafahamu wanachama wake wote. Na Mzee alikuwa na kadi ya CCM .hakuna ubaya hapo.
 
Kwani wakisema Alikuwa wa ccm na HAYUPO TENA NINI FAIDA???
ngoja tutafute kick ya kuwaweka busy maana ya Askofu Gwaj imeshaisha na ya Mh Ndugai na Mh masele ni kama inakwamakwama hv labda hii ya Mh Ngugai na Mh Assad
 
Kwenye ugomvi wa marehemu na manji.
Manji alikuwa anatumia wabunge na mawaziri wajinga kumdhalilisha mengi

Kuna kaada wa ccm alimdhalilisha mengi kwa kusema mengi sio ccm ni mpinzani

Mzee akiongea na wanahabari alionyesha Kadi mbili za chama TANU and CCM
Yes mtoa mada hajui, Mengi alikuwa kada wa CCM na ilikuwa inajulikana, isipokuwa hakupenda kujihusisha na siasi kwani alijua madhara ya siasi kwa wafanya biashara.
 
wewe ni mu

Wewe ni muongo,tena muongo kwelikweli ,muongo wa kiwango cha lami.Mengi alipotuhumiwa kuwa siyo mwana CCM,alitoka na kadi yake toka enzi za TANU na akarushwa katka taarifa ya habari ITV saa mbili usiku ,kama alivyofanya siku anakama madai ya yeye kuwa na kale kagonwa cha nyumbani.Au unataka kusema mzee alikuwa mnafiki?
Mtoa mada hana taarifa sahihi, amejaa mihemko, afanye research kabla ya kuleta mada zake hapa kwa watu wengi
 
Mbona unaongea kama dish limecheza ?
Mwana CCM mwenye akili timamu ni Dr Bashiru Ally pekee yake mliobakia wote ni mapunguani, na wewe kama una watoto basi walipata mkosi mkubwa mno kupata mzazi shwaini Kama wewe
 
wewe ni mu

Wewe ni muongo,tena muongo kwelikweli ,muongo wa kiwango cha lami.Mengi alipotuhumiwa kuwa siyo mwana CCM,alitoka na kadi yake toka enzi za TANU na akarushwa katka taarifa ya habari ITV saa mbili usiku ,kama alivyofanya siku anakama madai ya yeye kuwa na kale kagonwa cha nyumbani.Au unataka kusema mzee alikuwa mnafiki?
Kwani TANU ni CCM? halafu kwa nini mnaleta siasa kwenye msiba mbuzi nyie?
 
Wewe ndio ulikua hujui yeye ni chama gani ,ila ilikua wazi yeye ni ccm kitambo sana ,na mafanikio yake yametokana na serikali ya ccm,kama hutaki acha
Pumbavu kweli wewe Punda, eti serikali ya CCM ndo ilimfanya Mengi afanikiwe na wewe imekufanikisha nini?
 
Ccm ni wazandiki ndiyo maana chairman wao wa sasa aliwafananisha na kamongo
 
MIMI ni mwanaCCM ninaetamani mno kutokee pigo moja takatifu la kuua ndege kumi kwa jiwe moja tu pigo la pale lile genge lote la ufipa lililopata mhemko na joto la uchaguzi na kuingia barabarani bila utaratibu na kusababisha Akwilina akauwawa bila makosa genge lile lote fasta lifungwe jela Segerea leo hii ili mtaani kutulie bariiidi bila kelele kelele, yule binti asie na hatia ananiuma kweli kama mwanangu wa kumzaa! si unaona hapa nimesema mwenyewe itikadi yangu ndo inatakiwa hivi!

ila naungana nawe mtoa mada kukemea tabia za kumsemea mtu kitu chochote ambacho yeye mwenyewe hakukisema! ni moja ya alama za watu maskini wa akili walio nyuma katika human civilization kusikia watu wakisemeana kwa kila kitu, baba akimsemea mkewe au watoto, ambayo mara nyingi ni tabia duni za kunyamazisha sauti za wengine zisisikike! mara nyingi kwenye mkutano wa hadhara kijijini utasikia mtu mzima bila kutumia akili akipayuka "tunakufa njaa" Mkuu! kisaikolojia sio sahihi kusema "tunakufa njaa", sahihi ni kusema mimi Mary "nakufa njaa" mkuu nisaidie, sababu matumbo ya wengine huyajui yana nini ndani yake kama ni uji, ugali dona au Azam Sembe, maharage, viazi, maboga, mihogo au magimbi etc!

kama yeye mwenyewe hakusema na hakutaka ajulikane alikuwa na maana yake ni vizuri aheshimiwe, we can not prove alikuwa mwanachama wetu!
Ni kweli mkuu
 
yaani uanachama wake ulianzia TANU na hata ilipozaliwa CCM akawa mwanachama wa CCM. Hayo aliyathibitisha mwenyewe kwa kadi zake ndani ya kifuatacho ITV,labda kama video na taarifa ya habari na ITV vilieditiwa.
Sawa, aliwaambia akifa mfanye siasa kwenye msiba wake? utadhani msiba wa Polepole, yaani mlivaa hadi sare za CCM, nyie watu ni wajinga hasa
 
Kama ulienda shule na vyuo miaka ya kuanzia 67 na kuendelea mpaka labda 1995 ulilazimishwa uwe na kadi ya TYL halafu TANU na baadaye 1977 wote tulilazimishwa kujiunga na CCM kuanzia vijana mpaka CCM yenyewe. Ukienda kuchukua form ya chuo kikuu inabidi upitie kwa balozi wa nyumba kumi, uende kwa wodi na kuonyesha kadi yako ndo form yako ipitishwe. Wengine tulishindwa masharti tukasepa.
 
Hili huwezi kulielewa na huta lielewa,naomba usinikoti,utanipotezea muda
Boya kweli wewe, wakati serikali ya CCM ilimfanyia hadi fitina asiinunue Hotel ya kilimanjaro ,CCM ipo kuharibu maisha ya watu na siyo kufanikisha, wewe imekufanikisha nini? Buku 7?
 
Kama ulienda shule na vyuo miaka ya kuanzia 67 na kuendelea mpaka labda 1995 ulilazimishwa uwe na kadi ya TYL halafu TANU na baadaye 1977 wote tulilazimishwa kujiunga na CCM kuanzia vijana mpaka CCM yenyewe. Ukienda kuchukua form ya chuo kikuu inabidi upitie kwa balozi wa nyumba kumi, uende kwa wodi na kuonyesha kadi yako ndo form yako ipitishwe. Wengine tulishindwa masharti tukasepa.
Na mimi nathibitisha hilo. Wote waliokwenda JKT kwa mujibu wa sheria miaka hiyo hadi miaka ya mwanzo ya 1990 ilikuwa ni lazima kujiunga na Umoja wa Vijana wa CCM.
 
Mbona unakuja na hoja nyepesi sana mkuuu yaani mtu kusema marehemu alikuwa mwanachama wa chama cha nanihii ndo imekuwa nongwa ?
 
Hilo la Mengi kuwa mwana CCM siyo issue sana maana kwa nchi hii ambamo usalama wa mtu kimaisha na kiuchumi inategemes chama alichomo haishangazi Mengi kuwa na kadi ya CCM. Siku za mwanzo wakati mwili wa marehemu ukisubiriwa toka Dubai (WAZEE WA FURSA) walitaka kuubeba kama mali ya Chama, labda familia ilishituka na majoho ya kijani yakaanza kupungua akabaki bwana MWENDATARATIBU na shati lake la mboga mboga.
Kuhusu Trump hilo pigia msitari kabisa. Umesahau jinsi ambavyo chombo kimoja cha habari nchini kilivyoeleza Dunia kwamba Bwana Donald mtoto wa Trump anahusudu sana "Mutu ya Chattle hadi anatakamani kuiga style yake ya uongozi"???
Kuna uwezekano Trump na yeye akapigwa chini second term. Be careful what you wish for.
 
Unaweza ukawa CCM ila ni mwema au mshenzi tu, vivyo hivyo waweza kuwa upinzani ukawa mwema ama mshenzi sana. So zingatia matendo ya marehemu siyo hayo mavyama yako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom