Ccm ilipigania mapinduzi yapi? Hatukukubaliana mipango ya ufisadi!


N

niweze

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
1,008
Likes
2
Points
0
N

niweze

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
1,008 2 0
CCM Walitueleza Watanzania Tushikane Mikono na Wao Kutafuta Mapinduzi ya Ukoloni. Sasa Mapinduzi Mengine Wameyaleta Baada ya Mkuloni Kuondoka:
  1. Kuongeza Mafisadi Tanzania
  2. Kuongezeka Kwa Rushwa
  3. Kuongezeka kwa Matabaka Tanzania
  4. Kuelimisha Familia Chache
  5. Kuongezea Ajira kwa Wachache
  6. Kuongeza Ukandamizaji kwa Wananchi
  7. Kudumisha Huduma ya Afya kwa Wachache
  8. Kuhakikisha Hakuna Haki kwa Kila Mtanzania
Sasa CCM Wanataka Tuchague Majibu Sahii Nane Ili Tuendelee Kuwachagua. Inawekana Kabisa Watanzania Hatukujua Malengo ya CCM Tangu Uhuru na Sasa Hawataki Kushindwa Kwenye Uchaguzi na Kuwatawala Watanzania Milele. Hii Haitawezekana Hata Mara Moja. Wakati wa Kutegemea Vyombo vya Habari TBC na Daily News na IPP Media Umekwisha. Katiba Katiba Katiba Thats IT...No Less.
 
K

KunjyGroup

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2009
Messages
352
Likes
1
Points
33
K

KunjyGroup

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2009
352 1 33
Kudai Katiba ni uzalendo. Kwa Katiba mpya, sisiem hawana chao.
Chama chao kinajali maslahi yao na si ya umma. Kinachonishangaza nikwamba bado tumewaacha waendelee na upuuzi huu eti sisi ni watu wa amani
 

Forum statistics

Threads 1,238,329
Members 475,877
Posts 29,316,372