CCM ilimkata Lowassa haikumuonea na Kamwe haiwezi kumuomba radhi!

Kwani aliyekatwa kule dodoma alikuwa ni Lowassa tu? Si walikuwa wengi kwenye wengi lazima apatikane mmoja
 
Kwahiyo wewe unatafuta UDC au maana naona thread zako zote za Lumumba lumumba unalipwa bei gani??huna kipya kaa kimya haya yalisha jadiliwa wewe unakuja hapa jana unaturudisha kule kule!Mtoto wakike kaa kwanza usome tabia!
BRO ! DADA YUKO SAHIHI LAKINI HIVYO SIJAONA SABABU YAKUMTOA AKILI
 
Dhambi. Ya. Herodia Mungu aliiacha ijae kikombe,Dhambi ya Ahabu iliachwa ikomae,Dhambi ya watoto Wa Yakobo dhidi ya Yisufu mdogo wao naye ilifanikiwa na ikaachwa idhihirike,
Muda Wa kutoa adhabu ulipotimia alitoa adhabu

Naamini dhambi ya ccm inahitaji ijae kikombe cha gadhabu kama cha Adolf Hitler
Mungu hamsikilizi mnafki...
 
Picha haiakis haya

unaonekana kapicha katamuuuu wadada watam huwa hawana muda wakufanya haya

i wish ungekuwa mtam kama picha inavyosema hapo ungkuwa busy na maisha sio mambo yaliopita

sasa lowasa na CCM huu ni muda kweli wakuanza kujiuliza ***** kabisa maisha watu washapagawa na 18% unaleta ngonjera za kijinga KIJANI mpauko wowe
Siyo tu busara umekosa hekima na akili pia ..mwenye akili huwa hawezi leta vituko kwenye hoja..nilitegemea ungekuja na hoja siku nyengine ukiona maada imekuzidi maarifa subiri wenzako waliokuzidi upeo wakupe maarifa
 
Ktk msafara wa mamba hata kenge wapi. Mbona hii kauri mbiu ya lowassa fisadi imepata nguvu na ccm baada ya kutoka huko?
Kama lowassa hawezi kujieleza kwann basi mnapiga hata marufuku za mikutano?
Niambie uchaguzi gani ambayo kamati ya maadili iliweza kukata jina LA mgombea?
Anakashifa ya Richmond lkn mbona aliyepo anakashifa ya nyumba zetu?
Huwezi kuunganisha nchi, aliyepo amefanya nn kama sio kuwatenganisha kabisa wazanzibar?
Huyu aliyepo amewabagua watanzania kwa mfumo wa vyama ktk nafasi za uteuzi, kesho atawabagua kwa ukabila, ukanda, najinsia.
Aliye kuwa anatafutwa kukatwa tena na kundi mdogo LA watu waliojilimbikizia madaraka ccm ni lowassa lkn kuziba aibu wakawaingiza na wengine.
Ila ninacho jua wewe ni MTU wa ndiooooo hivyo sishangai na mada uliyoileta.
 
KWA NINI CCM ILIMKATA LOWASA ([HASHTAG]#HAIKUMUONEA[/HASHTAG])...NA KAMWE HAIWEZI KUMWOMBA RADHI....."BY THE WAY, WHO IS HE"??
.....................Chama cha Mapinduzi kisingeweza kumpa ridhaa mtu huyu kwasababu nyingi, baadhi tu zikiwa ni hizi zifuatazo:

1. Historia ya Uteuzi ndani ya CCM ilimhukumu. Hakuna Waziri Mkuu au aliyepata kuwa na cheo hicho amepata kuwa Rais, isipokuwa Mwl. Nyerere enzi za Uhuru miaka ya 1960. Waliojaribu siku zote walishindwa, Rejea Chaguzi za Mwaka 1985, 1995, 2005, Malicela,Warioba,Salim,Msuya na Sumaye.

Hawa wote (pamoja na Pinda) hakuna aliewahi kusimama au kutuma mtu amsemee kwamba CHAMA kilimwonea, malalamiko yaliyowahi kusikika ni ya hujuma kati ya makundi na sio dhidi ya maamuzi ya chama...

2. Kashfa za Utendaji, Lowassa alijiuzuru kwa aibu juu ya Sakata la Richmond Mwaka 2008 ambalo anahusishwa moja kwa moja na sakata hilo. Hili ni DOA sugu lisilofutika, CCM ingealpata wakati mugumu kumnadi mbele ya wananchi na dhidi ya Chadema ambao kwa miaka 9 waliuambia umma wanao ushahidi wa ufisadi wa Lowasa

3. Lowassa kahusishwa kwenye skendo za ufisadi tangu enzi za Mwinyi,Mkapa na Kikwete, kuhujumu uchumi wa Chama cha Mapinduzi kupitia hisa za Vodacom, Sukita na Viwanja, amejilimbikizia Mali zenye utata, na mwaka 2007 alitajwa kuwa ni miongoni mwa Mafisadi 11 wanaolihujumu Taifa, huku yeye akisemwa kuwa hatari zaidi.

Pia ana historia mbaya ya kukataliwa na Nyerere na alinyooshewa kidole mara kadhaa na Baba wa Taifa na hili halijapata kufutika kwenye kumbukumbu licha ya wafuasi wake kujaribu bila mafanikio.

4. Lowassa alitumia Fedha nyingi kuwanunua wafanya maamuzi ndani ya Chama chake hasa Wajumbe wa NEC na akaenda mbali zaidi kwa kuamua kuwalipa Mishahara kabisa kila mwezi ili amalizane nao kabisa pia ikiwa mbinu ya kuwakwepa TAKUKURU maana hakulazimika kumwaga pesa pale Dodoma kwakuwa alikwisha malizana na wajumbe kabla, alionywa lakn mara zote alidharau kwani alijiamini kwamba hakuna wa kumzuia madhali kishamalizana na Wajumbe...mzee alijawa kiburi cha pesa.

Matendo ya Lowassa yalikidhalilisha Chama cha Mapinduzi hasa kipindi kile ambacho chuki ya Wananchi ilikuwa juu dhidi ya Matendo ya Rushwa,Wizi wa Mali za Umma na Ufisadi.
CCM ingekuwa na wakati mugumu kumnadi kwa Wananchi.

5. Lowassa ni mfano wa kuigwa wa Viongozi wala Rushwa na wanaotokana na Rushwa na Wanaonuka Rushwa kwa Matendo na Maneno yao. Mpaka leo hii, Lowassa akiulizwa swali "Katika Malengo yako una mpango gani wa kupambana na Rushwa na Ufisadi?" Hawezi kujibu swali hili kwani nafsi yake na Historia yake ni zao la Matendo hayo, yeye ni Mkubwa wa wala Rushwa.

CCM ingemteua Lowasa ingekuwa ni kuutangazia Umma na Dunia kuwa Tanzania ni wala Rushwa na CCM ni Chama Cha Mafisadi na Mfano Mzuri ni Mgombea wao 2015.

6. Lowassa asingeweza kushindana na Ukawa, hajui kujenga hoja wala kujitetea, hakuwa (na hana) historia ya kufanya siasa za Ushindani na asingeweza kupambana na Wabobezi wa Majukwaani kama Dr.Slaa, Lipumba na Zitto. Ilikuwa ni lazima CCM ipate Kada mwenye uwezo wa Kujenga hoja, mwenye ushawishi na mzoefu kwenye majukwaa na ushindani siasa. Hebu fikiria, zile dakika 2 alizokuwa anaongea, zingetosha kujibu makombora ya Dr. Slaa, Mbowe, Lisu, Mnyika, Lema n.k?

7. CCM ilihitaji Mgombea ambaye ni kiungo imara ambaye angeweza kuitetea CCM upande wa Zanzibar na anayeweza kuunganisha makundi ya kisiasa na kidini (Lowassa sifa hii hana).

8. Lowassa ni mtu wa Visasi na amekuwa kwenye mivutano na Kundi kubwa la Wana CCM hivyo hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chama na Chama kikasimama ili kuisimamia Serikali, chama makini kama
CCM kisingeweza kuwakabidhi Chama mtu ambaye angeendeleza makundi, minyukano na visasi baada ya uchaguzi.

Wito kwa Mnaosema Lowasa alionewa, msiishie hewani...ELEZENI KWANINI MNASEMA AU MNADHANI ALIONEWA NA KWANINI AWE NI YEYE TU ALIEONEWA NA SIO WATANGAZA NIA WENGINE AMBAO NAO WALIKATWA?

Au ni kwamba mnaendelea kulipa fadhila kwa posho alizowalipa? Au ni machungu ya kutozifikia ahadi alizokuwa amewaahidi endapo mngefanikiwa kumfikisha Ikulu?
naisi unamuta
 
Kipengele cha sita. CCM wangekoma. Kwanza kuzungumza ili kutetea hoja toka kwa Dr Slaa Na Lissu. Wacha mbali Mbowe Na mnyika. Wangekimbia nchi wrote.
 
Alifanikiwa kuwazoa misukule wasiojitambua wakamshabukia!
 
Nimesoma nimeelewa ya wewe uliyetoa mada swali kwa nilivyoona mimi na kuelewa Lowasa anapaswa kushtakiwa kwa maelezo yako maana anaonekana kila idara ya uhalifu ndani ya chama chenu sasa ni kipi kiwakwamisha kumpeleka mahakamani kama mlivyowapeleka wale wengine wakati tayari alikuwa hana kinga yeyote ya kutokushitakiwa , ushindi mmepata mkatangaza kuundwa mahakama ya mafisadi lakini leo mnadai hakuna watuhumiwa inaingia akilini kwa uliyoeleza kuhusu Lowassa kwa sababu hata waziri husika alikuwa ndiyo mwenyekiti wa tume iliyomwondoa madarakani ushahidi gani unaweza kueleza ulikuwa unahitajika pia ku swali dogo alikataliwa na Nyerere sababu isiyo na mashiko kwani kabla hajafa alimpendekeza huyu tuliye naye kwa awamu ya tano kwamba ndiyo ataongoza? Acheni imani za wapiga ramli kahama huko bado mnamuogopa sasa mnamuogopa kwa lipi?
 
Back
Top Bottom