CCM Ilikataliwa Tangu Zamani

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
1,195
Tujikumbushe Maneno ya Waliowahi kuwa viongozi wandamizi wa Chama hicho;

1. CCM siyo baba wala mama yangu - Mwasisi wa Chama Mwl. Nyerere

2. Watanzania wanataka Mabadiliko wakiyakosa CCM watayatafuta kwingineko- Mwasisi wa Chama Mwl. Nyerere

3. CCM imekosa Dira -Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Horace Korimba


Agalizo: Kama walio wahi kuwa viongozi wandamizi wa chama hicho walikikataa, inakuwaje leo hii mtanzania wa kawaida unaiunga mkono ccm, huko kutakuwa ni kupenda kusiko kuwa na sababu za msingi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom