CCM ilianza kuumba kwa ulimi tangia 2016 lakini wapinzani hawakuelewa. Maneno "Tanzania ya kijani"

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Hili neno CCM YA KIJANI lilianza kutumika rasmi kwa mara ya kwanza baada ya uchaguzi wa 2015 wakati CCM ikishuhudia kichapo kikali kutoka upinzani ambacho hakijawai tokea tangia kuasisiwa kwa chama hicho.
Kwa mfano hapa Dar kati ya majimbo ya uchaguzi 10 CCM iliambulia jimbo 1 la Segerea tu halkadhalika na udiwani pia.

Ukiliangalia hili neno unaweza kugundua kuwa lilitumika kama uchungu lakini CCM ina siri pia katika sipiriti kwasababu ulimi unaumba. Unaweza jiuliza kwanini huko nyuma CCM haikulitumia hili neno CCM YA KIJANI mpaka baada ya kupata kichapo ndiyo ilianza kutumia neno hilo.

Tulianza kuona slogani mpya kila mkoa, kila wilaya, kila tarafa, kila kata, kila kijiji, kila mtaa, kila kitongoji na kila shina neno CCM ya KIJANI lilitumika kama tai.
Hivyo kuvunja nguvu upinzani ulikuwa mkakati ambao roho za kusababisha zilialikwa kusababisha swala hilo.

Hivyo wapinzani wa Tanzania wawe makini wanaposhindana na CCM kwani wenzao wanashirikisha na roho pia.
Huko nyuma CCM ilitumia KIDUMU CHA CHA MAPINDUZI na kinadumu, mimi najaribu kuwadadavulia wapinzani haya mambo ya kiroho na kama wanataka kufanya kweli waje kwangu na sadaka wataweza kuwa wapinzani kweli kwa sababu ni ngumu kushindana na mtu anayetumia silaha ya roho, wewe unakuja na mwili tupu lazima uumie.

Mtoto wa mchungaji.
 
Kiumbe mbaya sana weye, usingewafunulia hawa makengeza
 
Hamna cha silaha ya roho zaidi ya matumizi mabaya ya madaraka ya urais. Chochote ambacho chenye nia ovu kupitia madaraka ya urais yanayotumika vibaya, kinawezekana kufanyika ndani ya nchi hii. Kama maneno huumba, mbona Tanzania ya viwanda haijafanikiwa?
 
Hili neno CCM YA KIJANI lilianza kutumika rasmi kwa mara ya kwanza baada ya uchaguzi wa 2015 wakati CCM ikishuhudia kichapo kikali kutoka upinzani ambacho hakijawai tokea tangia kuasisiwa kwa chama hicho.
Kwa mfano hapa Dar kati ya majimbo ya uchaguzi 10 CCM iliambulia jimbo 1 la Segerea tu halkadhalika na udiwani pia.

Ukiliangalia hili neno unaweza kugundua kuwa lilitumika kama uchungu lakini CCM ina siri pia katika sipiriti kwasababu ulimi unaumba. Unaweza jiuliza kwanini huko nyuma CCM haikulitumia hili neno CCM YA KIJANI mpaka baada ya kupata kichapo ndiyo ilianza kutumia neno hilo.

Tulianza kuona slogani mpya kila mkoa, kila wilaya, kila tarafa, kila kata, kila kijiji, kila mtaa, kila kitongoji na kila shina neno CCM ya KIJANI lilitumika kama tai.
Hivyo kuvunja nguvu upinzani ulikuwa mkakati ambao roho za kusababisha zilialikwa kusababisha swala hilo.

Hivyo wapinzani wa Tanzania wawe makini wanaposhindana na CCM kwani wenzao wanashirikisha na roho pia.
Huko nyuma CCM ilitumia KIDUMU CHA CHA MAPINDUZI na kinadumu, mimi najaribu kuwadadavulia wapinzani haya mambo ya kiroho na kama wanataka kufanya kweli waje kwangu na sadaka wataweza kuwa wapinzani kweli kwa sababu ni ngumu kushindana na mtu anayetumia silaha ya roho, wewe unakuja na mwili tupu lazima uumie.

Mtoto wa mchungaji.
Sijui kwa nini viongozi wengi wa dini wanazaa Mazuzu!!
 
Mkuu Upinzani haujawahi kushindana na CCM bali Serikali. CCM imebaki jina tu.
 
Faida ya upinzani
Faida ya transparency
Faida ya checks and balances..

Hivi vyote chama kikongwe hakijui umuhimu wake?
Wao kushinda hata Kwa faulo ndo muhimu?
 
sasa kama neno CCM YA KIJANI lilikuwa silaha ya kuwashindia upinzani, kwann tena mkaiba kura 'uchafuzi' mkuu wa mwaka jana 2020?!.
Waliokuaminisha kuwa uchaguzi haukuwa wa haki na huru, na kwamba kura ziliibiwa wanakuzumu tu kwa ulofa wako 🤣🤣🤣
 
Waliokuaminisha kuwa uchaguzi haukuwa wa haki na huru, na kwamba kura ziliibiwa wanakuzumu tu kwa ulofa wako
Zero analysis, mpango wowote lazima upite kwenye uhalisia wa mpango kazi wenyewe, Sasa ccm ya kijani kwa kuiba kura? ccm ya kijani kwa kutumia dola? ccm kijani kwa tume charles mahera? Kimsingi mpango wa ccm ya kijani ulikuwa wa kwenyee makaratasi tu, hakuna kilichotekelezwa.
 
Katika kirusi kilinachosumbua Nchi hii ni hicho kirusi cha kijani,, na tusipo kipatia antibiotic kitaendelea kusumbua wananchi na Nchi kwa ujumla..
 
Zero analysis, mpango wowote lazima upite kwenye uhalisia wa mpango kazi wenyewe, Sasa ccm ya kijani kwa kuiba kura? ccm ya kijani kwa kutumia dola? ccm kijani kwa tume charles mahera? Kimsingi mpango wa ccm ya kijani ulikuwa wa kwenyee makaratasi tu, hakuna kilichotekelezwa.
Ni sawa kusema zero analysis kwa sababu hata unayoyaeleza ni zero tu, kwa hiyo ni lazima analysis yake iwe ya namna sawa nayo. Hakuna jipya uliyoyasema katika hayo isipokuwa ni yaleyale yasemwayo na hao waliokukaririsha upuuzi, achana na ulofa jifunze kutumia akili zako binafsi.
 
Kwa nini usiwape hiyo roho bure,au wewe hiyo nguvu umeinunua?

Back
Top Bottom