CCM ilianza kuumba kwa ulimi tangia 2016 lakini wapinzani hawakuelewa. Maneno "Tanzania ya kijani"

Wengi watapotea kwa kukosa kujua roho na matumizi yake, Wanangu mnaangamia kwa kukosa maafifa.
Angalia Toyota c jina la gari ni jina la ukoo wa familia, angalia Panasonic c jina la redio au deki ni jina la ukoo haya makampuni yapo kwa zaidi ya miaka 150. Kuna Benz ina miaka zaidi ya 180 sasa Benz ni jina la mtu.
Tuna aja ya kujifunza sana hapa wanangu, ndiyo maana angalia mshindani wa Panasonic akajiita Pamasonic, unaweza elewa kitu.
Mtaishia kuferi kwa ubishi tafuteni sadaka mje hili kuelekea katika ushindi.

Mtoto wa mchungaji.
 
Hili neno CCM YA KIJANI lilianza kutumika rasmi kwa mara ya kwanza baada ya uchaguzi wa 2015 wakati CCM ikishuhudia kichapo kikali kutoka upinzani ambacho hakijawai tokea tangia kuasisiwa kwa chama hicho.
Kwa mfano hapa Dar kati ya majimbo ya uchaguzi 10 CCM iliambulia jimbo 1 la Segerea tu halkadhalika na udiwani pia.

Ukiliangalia hili neno unaweza kugundua kuwa lilitumika kama uchungu lakini CCM ina siri pia katika sipiriti kwasababu ulimi unaumba. Unaweza jiuliza kwanini huko nyuma CCM haikulitumia hili neno CCM YA KIJANI mpaka baada ya kupata kichapo ndiyo ilianza kutumia neno hilo.

Tulianza kuona slogani mpya kila mkoa, kila wilaya, kila tarafa, kila kata, kila kijiji, kila mtaa, kila kitongoji na kila shina neno CCM ya KIJANI lilitumika kama tai.
Hivyo kuvunja nguvu upinzani ulikuwa mkakati ambao roho za kusababisha zilialikwa kusababisha swala hilo.

Hivyo wapinzani wa Tanzania wawe makini wanaposhindana na CCM kwani wenzao wanashirikisha na roho pia.
Huko nyuma CCM ilitumia KIDUMU CHA CHA MAPINDUZI na kinadumu, mimi najaribu kuwadadavulia wapinzani haya mambo ya kiroho na kama wanataka kufanya kweli waje kwangu na sadaka wataweza kuwa wapinzani kweli kwa sababu ni ngumu kushindana na mtu anayetumia silaha ya roho, wewe unakuja na mwili tupu lazima uumie.

Mtoto wa mchungaji.
Tanzania ya kijani tunaishi kama swala porini tunawindana. Mbogo wakigeuka muwindaji hati hati.
 
Back
Top Bottom