CCM ili kuokoa jahazi Bukoba Mjini Ubunge, Mch. King James atafaa

Mimi si mzawa wa Bukoba ila nazijua vizuri siasa za Bukoba. Kwa sasa hivi CCM haina mtu wa kumtikisa mgombea ubunge wa CHADEMA Ndg. Chief Kalumuna.

Nasema ukweli kabisa bila kuficha, Chief anatakiwa apambanishwe na vichwa vyenye nguvu ya ushawishi kama King James otherwise wanaCCM tujiandae kuongozwa tena mpinzani.

Kwa bahati mbaya jamii ya Bukoba huwa haitishiwi na nguvu ya Vyombo vya Dola, na mnajua kabisa hata mambo ya kupelekana Mahakamani huku ni kama kwenda mgahawani.

I love u CCM
Chadema oyeeeee
 
Kwa kadiri jamii inavyozidi kuelimika ndivyo ambavyo unazidi kuikataa CCM. Msingi mkubwa wa kustawi kwa CCM ni kutamalaki kwa ujinga, umaskini na maradhi. CCM imeota mizizi na huwezi kuwaambia watu kitu chochote kile dhidi yake ktk maeneo yaliyotopea kwa ujinga na umaskini, hasa hasa maeneo ya vijijini.

Ukiangalia hata sera zao mijijini na katika majiji, ni za kutaka tu kuungwa mkono na wafunjaji wa makusudi wa sheria ndogo ndogo za Halmashauri. Wanaona ni vyema mama ntilie na machinga wasiguswe hata kama wanafanya biashara zao ktk maeneo yasiyoruhusiwa kisheria, kisa eti kutaka kuwaonyesha wanyonge kuwa inawakumbuka.

Wanasahau kitu kimoja, Ndiyo! Mama ama baba utamdanganya kwa hilo, lakini nyuma yao lipo jushi la vijana ambao hawajaajiliwa na lipo mtaani, ambalo hakuna mikakati yoyote ile ya kuwaajiri isipokuwa kuwalisha ngonjera kupitia kauli za maendeleo ya vitu.
Hilo kosa ndiyo wamelifanya Mwanza mjini.
 
Huo ni wivu wako, suala la kwamba ni fake au siyo fake in politics doesn't matter, kwa bukoba manispaa King James ni mdau mkubwa wa maendeleo ,kachangia miradi mingi ya maendeleo

King James mpuuzi kanisani kwake anakosa mpaka waumini pale Mafumbo Migela sasa umekula hela ili umpigie debe.
 
Huo ni wivu wako, suala la kwamba ni fake au siyo fake in politics doesn't matter, kwa bukoba manispaa King James ni mdau mkubwa wa maendeleo ,kachangia miradi mingi ya maendeleo
Dogo acha bangi. King James huyu mjingamjinga ndo unampambanisha na Chief? Mbona huna adabu kabisa. Huo umaarufu unaodai anao ni sawa na Senga au Pembe wanavyofahamika. Hana lolote la kufanya mbele ya Chief, usitake kunambia CCM wamebaki viazi tu mpaka wamteue King.
 
Mimi si mzawa wa Bukoba ila nazijua vizuri siasa za Bukoba. Kwa sasa hivi CCM haina mtu wa kumtikisa mgombea ubunge wa CHADEMA Ndg. Chief Kalumuna.

Nasema ukweli kabisa bila kuficha, Chief anatakiwa apambanishwe na vichwa vyenye nguvu ya ushawishi kama King James otherwise wanaCCM tujiandae kuongozwa tena mpinzani.

Kwa bahati mbaya jamii ya Bukoba huwa haitishiwi na nguvu ya Vyombo vya Dola, na mnajua kabisa hata mambo ya kupelekana Mahakamani huku ni kama kwenda mgahawani.

I love u CCM
Kuna kada wao anaitwa rutabosholwa ndio chagua la bashiru
 
Hakuna wa kumtikisa mtoto wa mchungaji Karumuna, ccm wajiandae kuwa chini ya uongozi wa cdm kwa mara nyingine
Mimi si mzawa wa Bukoba ila nazijua vizuri siasa za Bukoba. Kwa sasa hivi CCM haina mtu wa kumtikisa mgombea ubunge wa CHADEMA Ndg. Chief Kalumuna.

Nasema ukweli kabisa bila kuficha, Chief anatakiwa apambanishwe na vichwa vyenye nguvu ya ushawishi kama King James otherwise wanaCCM tujiandae kuongozwa tena mpinzani.

Kwa bahati mbaya jamii ya Bukoba huwa haitishiwi na nguvu ya Vyombo vya Dola, na mnajua kabisa hata mambo ya kupelekana Mahakamani huku ni kama kwenda mgahawani.

I love u CCM
 
Chief anayatoa jasho maccm hadi yanaona magalasa yao yote hayawezi kupambana naye, lakin si mumpeleke bashiru naye si wa huko!
 
Wewe humjui king vizuri
Navyo mfahamu King Jemsi hunifikii hata robo mkuu usifanye mjadala kuwa mrefu jina lake la nyumbani anaitwa Lombiza mdg wake anaitwa venna (alikuwa mwalimu) anamdogo wake pia anaitwa mwesi

Mama yake alikuwa mwalimu Ngara P/s na amenifundisha ama wataka taarifa gani?

muulize anawafahamu watu hawa karanga, hailehaile,Abbas.

alafu njoo unibishie tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom