The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,393
- 12,977
Kitu unacho kikataa ndio umekiweka kwanini umeweka record za GDP?
So Tanzania ya pili kwa umasikini Africa? Kama huna data kaa kimya
Mimi sjasema TZ ni nchi ya pili kwa umaskini. Angalia data hapo juu.............Inawekana kukwa na data zinazotofautiana ila TZ bado ni one of the poorest countries on this earth, period!!! Halafu ninachotakak kukuambia National Gross Product (GDP) siyo kipimo cha utajiri.......... ila kama unazungumzia utajiri wa nchi atleast kipimo cha karibu ni Per Capital GDP. Kitu ambacho inaelekea hujui tofauti yake........ wewe umekurupuka na hiyo table tu kila ukiona nweno GDP unafikiri watu wanaongelea kitu kilekile.