CCM ikiamua hata Tambwe Hiza anaweza kuwa rais wa tano wa Tanzania

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
WanaJF,
Nani anayebisha kwamba sisiem ikiamua hata mpayukaji tambwe hiza anaweza kuwa rais wa tano wa Tanzania?
 
CCM hata mgambo na FFU-afande anafaa kuwa raisi...hiki sio chama ni ziwa la uchafu.
 
Nimekuwa nikitoa ushauri mara nyingi kwamba kwa sasa CHADEMA hakipaswi kuwa chama cha kisiasa bali kiwe chama cha ukombozi, tukishawaondoa hawa wakoloni weusi ndio chadema irudi kwa msajiri mpya ili kisajiliwe tena kama chama cha kisiasa. siamini tena katika kuwaondowa watawala dharimu kwa sanduku la kura, nasema siamini tena. ni nguvu ya umma pekee ndio silaha ya mwisho ya kuwang'oa hawa wakoloni weusi. mbwa kabisa hawa.
 
U know wat new Tz is coming no matter how late it will but we gonna make it .it starts with u .
Always strong people don't blame but they stand on making decisions .we prove strong people by puporse in them and not the emosion
 
jamaa ametupwa dustbin,hasikiki,nafikiri karudia biashara yake ya kukaanga samaki
 
Back
Top Bottom