CCM ijue kuna tofauti kati ya chama (CCM) na serikali

Second July

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
234
323
Nimeshangazwa sana na huyu msemaji wa ccm Ole Sendeka kwa kauli yake "Serikali haijapiga marufuku mikutano ya siasa ila imepiga marufuku maandamano" na kuwaambia madiwani ruksa kufanya mikutano ya maendeleo. Anasema ''hatujazuia mikutano...maandamano marufuku''

Anaongea yale na kutoa matamko yake yeye kama nani? Pia kuna wakati viongozi wa ccm huwa wanatoa ufafanuzi rasmi juu ya maagizo, maamuzi ya serikali na mipango ya serikali, wakati hilo ni jukumu la vyombo husika vya serikali kuyatolea ufafanuzi mambo yake katika idara au mamlaka husika. Mipango ya serikal inaweza kuwa imeanzia ndani ya chama lakin utekelezaji wake na mlolongo wake wote including kulizungumzia linabaki kuwa ni jukumu la chombo husika cha serikali kama ni polisi, wizara, jeshi, tra n.k. Tujifunze kwa wenzetu waliotulea mfumo wa vyama vingi, wenzetu mambo ya chama yanaishia ndani ya mikutano yao ya kichama baada ya hapo serikali inaendelea na mambo yake na utaratibu wake.

CCM karibu wote wanashindwa kutofautisha kati ya serikali na chama, wanashinda kutofautisha mamlaka ya serikali na mamalaka ya chama, wanashindwa kutofautisha mikutano ya serikali na mikutano ya chama, wanashindwa kumtofautisha Raisi na Mwenyekiti wa chama, wanashindwa kutofautisha mali za serikali na mali za chama. Yani hapa ni vurugu tupu. Kila kiongoz wa ccm anajiona na ye ni serikali, yaani ni vurugu tupu.Kuna baadhi ya viongozi wa cmm inafikia wakati wanaliagiza jeshi ya polisi wafanye hili wafanye lile mpaka mtu unakaa na kustaajabu nini nchi hii inafanya.

Hili suala ni la kulaaniwa na vyama vyote, msajili wa vyama, serikali, jeshi la polisi na mwenyekiti wa ccm wakiwa kwenye vikao vyao awaeleze bayana kuwa serikali ni kitu kingine (mchanganyiko wa watumish wa umma plus baadhi ya wanaccm wachache waliopigiwa kura navkuteuliwa) na ccm ni nyingine.
Ndo mana sipendi kusikia kauli ya "hii ni serikali ya ccm", maana inawafanya wanaccm kuwa wehu na kufikiri kwamba wao ndio ndo wenye mamlaka na wana uwezo wa kufanya chochote.

Nawaomba CCM muelewe kuwa, ccm sio serikali bali kuna baadhi ya wanaccm wachache wamechaguliwa na kuteuliwa kuongoza kwenye serikali, hivyo sio kila mwana ccm ni serikali, nukta.

Siku tutakayoanza kutofautisha seriakali na chama, ndio siku tutakayoona faida ya vyama vingi vya siasa na kuelekea wenye maendeleo ya kweli.

Second July.
 
Waliotuletea mfumo wa vyama vingi wanalielewa sana hili and they do it to perfection.
 
Hata mm nimemshangaa sana! Anawaambia madiwan waliohudhuria . Ruksa kufanya mikutano lakn maandano no .nimejiuliza olesendeka ni nani nchi hii??
 
It is very true.

Naona taratibu nchi yetu imeanza kuurejesha ule mfumo wa Chama kushika hatamu..........

Sote tumemsikia Ole Sendeka kupitia luninga akitoa ufafanuzi utadhani yeye ndiye Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu...........

Hata hivyo bado kuna mkanganyiko mkubwa sana, hata katika ufafanuzi wake.

Yeye Ole Sendeka anasema Serikali haijapiga marufuku mikutano bali kilichopigwa marufuku ni maandamano.............

Lakini Umma wa watanzania tulimsikia Mkuu wa nchi LIVE akieleza kuwa amevipiga marufuku vyama vyote vya upinzani kufanya shughuli zozote za kisiasa hadi mwaka 2020, lakini akatoa 'ruksa' kwa chama chake cha CCM kuendelea kufanya shughuli za kisiasa bila kubughuziwa na Polisi.......

Tukumbuke kuwa na Msajili wa vyama vya siasa, Jaji Mutungi naye alijitokeza hadharani kumkingia 'kifua' bosi wake kudai kuwa wamemnukuu vibaya.......

Yaani kinachoonekana watendaji wengi serikani na viongozi wengi wazito ndani ya Chama chake wanaona kabisa namna Bosi wao anavyozidi kuboronga......

Lakini kama katika ile story ya yule Mfalme aliyekuwa akitembea uchi barabarani na hakuna hata mwananchi mmoja aliyethubutu kumwambia kuwa Mfalme unatembea uchi kutokana na ukali wake wa kutisha, hadi alipojitokeza yule mtoto jasiri na kumwambia mama yake kuwa, mbona Mfalme anatembea uchi?

Ambapo mama mtu alimuonya vikali mtoto wake kuwa asirudie tena kuyatamka hayo maneno kwa kuwa atasababisha yeye mama mtu akione cha moto....

Kama ilivyo kwenye hiyo story ya Mfalme mtembea uchi, ndicho kilichopo hapa nchini hivi sasa kuwa watendaji wakubwa serikalini na viongozi waandamizi ndani ya Chama chake wote wamejawa na HOFU kubwa sana, kiasi ambacho hakuna anayethubutu na kumpasulia ukweli kama yule mtoto kwenye ile hadithi na kumueleza kuwa hakika Mfalme unatembea uchi kabisa mitaani..........
 
Huenda ikulu haina wasemaji ole sendeka ameamua kujaza ombwe.
Ukweli sikubaliani naye ila kauli ile inaashiria mikutano haijazuiliwa na serikali Bali imezuiwa na chama cha mapinduzi Tu hasa mwenyekiti wa chama
 
Rais kalewa madaraka na wanaCCM wote wamelewa madaraka!!wanajiona kama ndo miungu kutoa hotuba elekezi!!mikutano elekezi!!yaani!!!
 
Jana Wakati naangalia akitokwa povu nilishikwa na hasira kali sana!! Tena pale Anasema eti. “Hatujapiga marufuku mkutano bali maandamano” nikajiuliza huyu Nani? Waziri wa mambo ya ndani? WA katiba na sheria? Au kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu? Ninachokiona ni kuwa hii one man show ya ngosha imewaacha wanaccm wenzake bila road map!! Na viongozi waandamizi wenye dhamana ya kutoa matamko kama hayo wamefreeze!! Hawana uhakika kama zao zitampendeza Ngosha,maana wanajua kama ngosha akichukizwa na kauli yako unaweza kupoteza kibarua!! Hivyo basi watu wanaojiona wako in the safe ground kuropoka ni hao vimbelembele wa chama, upuuzi mtupu man.
 
hakuna kitu kinachoniumiza katika taifa langu kama viongozi tuliowaamini na kuwapa mamlaka kuvunja katiba ya nchi yetu mchana kweupe. kukiuka kiapa cha kulinda katiba ni kosa kubwa sana kwa kiongozi.
 
Nimeshangazwa sana na huyu msemaji wa ccm Ole Sendeka kwa kauli yake "Serikali haijapiga marufuku mikutano ya siasa ila imepiga marufuku maandamano" na kuwaambia madiwani ruksa kufanya mikutano ya maendeleo. Anasema ''hatujazuia mikutano...maandamano marufuku''

Anaongea yale na kutoa matamko yake yeye kama nani? Pia kuna wakati viongozi wa ccm huwa wanatoa ufafanuzi rasmi juu ya maagizo, maamuzi ya serikali na mipango ya serikali, wakati hilo ni jukumu la vyombo husika vya serikali kuyatolea ufafanuzi mambo yake katika idara au mamlaka husika. Mipango ya serikal inaweza kuwa imeanzia ndani ya chama lakin utekelezaji wake na mlolongo wake wote including kulizungumzia linabaki kuwa ni jukumu la chombo husika cha serikali kama ni polisi, wizara, jeshi, tra n.k. Tujifunze kwa wenzetu waliotulea mfumo wa vyama vingi, wenzetu mambo ya chama yanaishia ndani ya mikutano yao ya kichama baada ya hapo serikali inaendelea na mambo yake na utaratibu wake.

CCM karibu wote wanashindwa kutofautisha kati ya serikali na chama, wanashinda kutofautisha mamlaka ya serikali na mamalaka ya chama, wanashindwa kutofautisha mikutano ya serikali na mikutano ya chama, wanashindwa kumtofautisha Raisi na Mwenyekiti wa chama, wanashindwa kutofautisha mali za serikali na mali za chama. Yani hapa ni vurugu tupu. Kila kiongoz wa ccm anajiona na ye ni serikali, yaani ni vurugu tupu.Kuna baadhi ya viongozi wa cmm inafikia wakati wanaliagiza jeshi ya polisi wafanye hili wafanye lile mpaka mtu unakaa na kustaajabu nini nchi hii inafanya.

Hili suala ni la kulaaniwa na vyama vyote, msajili wa vyama, serikali, jeshi la polisi na mwenyekiti wa ccm wakiwa kwenye vikao vyao awaeleze bayana kuwa serikali ni kitu kingine (mchanganyiko wa watumish wa umma plus baadhi ya wanaccm wachache waliopigiwa kura navkuteuliwa) na ccm ni nyingine.
Ndo mana sipendi kusikia kauli ya "hii ni serikali ya ccm", maana inawafanya wanaccm kuwa wehu na kufikiri kwamba wao ndio ndo wenye mamlaka na wana uwezo wa kufanya chochote.

Nawaomba CCM muelewe kuwa, ccm sio serikali bali kuna baadhi ya wanaccm wachache wamechaguliwa na kuteuliwa kuongoza kwenye serikali, hivyo sio kila mwana ccm ni serikali, nukta.

Siku tutakayoanza kutofautisha seriakali na chama, ndio siku tutakayoona faida ya vyama vingi vya siasa na kuelekea wenye maendeleo ya kweli.

Second July.
Nic presentation bra

Second July
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom